ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Chadema na watanzania kiujumla ni rahisi sana kuwaongoza milele kwakuwa ni rahisi sana kutolewa katika mjadala , mnabidi kujitafakari!

    Slogan ya No election no reform ilikuwa imeshaanza kueleweka mpaka vijijini . Ila sasa kinachotokea ni either kukosa Mwelekeo na kujua nini wanabidi wasimamie kwa wakati husika. Page zote za Chadema zinahangaika na Polepole . Huyu alibidi kupotezewa na sio kupewa airtime . Kwa style hii...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rashid Shangazi aibuka mshindi kura za maoni CCM Jimbo la Mlalo

    Mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi, ameongoza kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kushinda kwa kura 4,240 kati ya kura halali 6,901 zilizopigwa. Shangazi amewashinda wagombea wenzake wanne akiwemo Amiri Mkufya aliyeshika nafasi ya pili kwa kura...
  3. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pendekezo la Kimkakati: Nadhani sasa CCM tuanzishe chaneli yetu ya Televisheni kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2025

    Salamu Wakuu wa JF SSH 25 30 Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ni wazi kuwa ushindani wa kisiasa unazidi kuwa wa kisasa na unaotegemea zaidi teknolojia na mawasiliano ya umma. Kwa kuzingatia hali hiyo, chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinashauriwa kuangalia uwezekano wa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Babalevo akitokea upinzani kwa tofauti ya kura 88 kuna ujumbe kwa wenye CCM yao!!

    Wenye akili watalifanyia kazi awe ameshindwa au ameshinda ila haki ya kweli ingekuwa pale tu kuwashindanisha washindi wa3 wa mwanzo na kupata namba 1 isiyo na mazonge. Kama siasa ni lelemama kajaribu na wewe!! NAKUPONGEZA BABALEVO USIKATE TAMAA SUBIRI TU SAUTI YA WANANCHI ITAKUBEBA!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mjue bado tunajitaji reforms, Wapiga kura wa CCM wa uhakika ni wajumbe ambao ni sehemu ndogo sana ya wananchi

    Ni kweli , kuna mchezo unaochezwa na vyombo vya habari na kitengo cha propaganda cha CCM ionekane kuwa sehemu kubwa ya wananchi wapiga kura ni CCM , nawaambia wapiga kura wa uhakika wa CCM ni Wajumbe wao tu, ambao ni sehemu ndogo sana ya wananchi ambao ni wapiga kura wa ujumla wa Taifa. CCM...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Grace Tendega: Kura hazijatosha Ubunge kalenga, ila siondoki CCM

    Aliyekuwa mgombea wa ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Grace Tendega, amesema kuwa licha ya kutoshinda katika kura za maoni, ataendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa chama hicho na kushiriki kikamilifu katika kampeni za kuwanadi wagombea wa CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe wa CCM wamuhenyesha Mnyeti kura za maoni, aangushwa vibaya

    Wajumbe hawana utani, wamemtwanga vibaya ndugu Mnyeti. Anaitwa ‘𝘽𝙪𝙜𝙤𝙩𝙖 𝙬𝙖 𝙈𝙞𝙨𝙪𝙣𝙜𝙬𝙞’ (dawa ya Misungwi) jina maarufu alilopewa na wananchi wa Jimbo la Misungwi, wakimaanisha ‘dawa ya Misungwi’ kwa madai kwamba baada ya kuteswa na gonjwa sugu tafiti zimefanyika hatimaye tiba imepatikana...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mpina kafanya kosa kubwa sana kuhama ACT. Aliyemkata jina CCM, ndio huyo huyo atakeyemkata kuwa Mbunge

    Ni Kweli MPINA Hauna Mpinzani KISESA hili liko wazi Ila ilikupasa ukubaliana na Ukweli kua chini ya SAMIA SULUHU hutakiwi kua Mbunge Kwa Namna yoyote Ile . Angetaka uwe Mbunge ,asingekukata, Angekubakisha CCM, ila alikukata Licha ya yeye kujua ukweli kua unakubalika. Kilichomfanya akukate...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mgombea wa CCM Temeke, jimbo litakwenda mikononi mwa ACT-Wazalendo, Shehe Issa Ponda kushinda mchana kweupe

    KWA AINA YA MGOMBEA WA CCM TEMEKE, JIMBO LITAKWENDA MIKONONI MWA ACT-WAZALENDO – SHEHE ISSA PONDA Katika harakati za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu, macho mengi yameelekezwa katika majimbo yenye ushindani mkali – mojawapo likiwa ni Jimbo la Temeke. Kauli kali iliyotolewa na Shehe Issa Ponda...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katibu CCM: Matokeo ya Ubunge yamechelewa sababu ya mwingiliano wa majina

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mwanamasod Pazi akielezea sababu za matokeo ya Uchaguzi wa Kura za Maoni ya Ubunge ndani ya CCM kuchelewa kutangazwa. Pia soma ~ Nini kinaendelea majimbo ya CCM Mkoa wa Katavi mbona majibu hayawekwi wazi?
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sijaona Kada wa CCM mwenye uwezo wa kujibizana na Polepole

    Hii ipo wazi kabisa. Hata Steven Wassira na ujanja wake wa kupangua hoja amekwama. Mfano Wassira anakiri kuwa ni kweli katiba ya JMT imekiukwa maana rais Samia ametumika zaidi ya miaka 3. Hili la utamaduni wa kumuachia aendelee ni kinyume na katiba ya JMT. Mkuu wa mkoa wa Dar kuropoka kuwa...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nini kinaendelea majimbo ya CCM Mkoa wa Katavi mbona majibu hayawekwi wazi?

    Mkoa wa una majibo Matano; Jimbo la Mpanda Mjini, Jimbo la Katavi, Jimbo la Tanganyika, Jimbo la Katavi na Jimbo la Nsimbo yote naona kuna ukimya unatawala kuhusu majibu ya Kura za Maoni kuhusu wanaowania Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nini kinaendelea? Pia soma ~ Nini kinaendelea...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wajumbe CCM ni kirusi nchini, Wanakula rushwa na kupitisha viongozi wasiofaa

    Hello jf members, Hilo halina ubishi hawa wajumbe wamegeuka janga kwenye nchi yetu. Bora kura tupige wanachama wote.
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuitenganisha CCM na rushwa

    Unapotamani kwenye chaguzi za CCM kusiwepo na rushwa au upendeleo, ni kama unataka kusema CCM isiwepo! Huwezi kuitenganisha CCM na rushwa halafu CCM ikaendelea kuwepo. Rushwa kwa wana CCM wengi ni kama ndiyo damu na pumzi inayoifanya CCM iwe hai. Siasa za ndani ya CCM zinahitaji Hela nyingi...
  15. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Kwa Sinema tulizozionesha CCM, No Reforms No Election haipingiki

    Mabadiliko kwenye mfumo wa chaguzi zetu hayapuuziki wala hayazuiliki. Pamoja na jeuri ya kichama na kidola, mabadiliko ni muhimu kama chumvi na ndimu kwenye supu adimu. Muhimu kama elimu ya kumkomboa mwanadamu kutoka zamadamu. No Reforms, No Election imepata uungwaji mkono na sinema za CCM. Ni...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM: Kuongoza Kura za Maoni haimaanishi umeteuliwa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ubungo kimehitimisha zoezi la kura za maoni kwa ajili ya kuwapata wagombea wa nafasi ya Ubunge katika majimbo ya Ubungo na Kibamba, huku Prof. Kitila Alexander Mkumbo na Anjellah Kairuki wakiibuka vinara wa kinyang’anyiro hicho Akizungumza na waandishi wa...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tumchambue Rostam Aziz, ni mjamaa mwana CCM kweli?

    Billionea Rostam Aziz 'kada' wa CCM Moja ya misingi ya Imani ya mwana CCM ni kwamba : Binadamu wote ni sawa Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake jamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru Pamoja na Imani hizi ambazo ni...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Neto Kapalata amtwanga Kigwangalla kura za maoni Ubunge wa CCM Nzega Vijijini

    Katika jambo la kustaajabisha mithili ya Mende kuangusha kabati, Kada wa CCM Jimbo la Nzega Vijijini, Ndugu Neto Kapalata ameshinda kura za Maoni kwa kura 2,570 dhidi ya Ndugu Hamis Kigwangala. Kigwangalla ambaye ni Kada Mkongwe wa CCM na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, amepata kura 1,715, huku...
  19. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM 'walioanguka' kura za wajumbe

    Katika kile kinachoonekana kama mabadiliko ya upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wabunge kadhaa waliokuwa wakitetea nafasi zao wamejikuta wakitemwa na wajumbe wa chama hicho katika kura za maoni zilizofanyika Agosti 4, 2025, katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Ingawa...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kura za ubunge CCM ni faraja kwa Polepole, legasi ya JPM inazidi kuishi

    Mpaka sasa idadi kubwa ya wabunge waliopitishwa na wajumbe CCM kuwa wabunge 2025-2030 ni walewale waliokuwa wanakubalika au waliopitishwa na Magufuli kuwa wabunge mwaka 2020, mabadiliko ni madogo sana lakini nayo mengi inaonekana ni ya watu waliopata kibali cha JPM kama Masanja Kadogosa...
Back
Top Bottom