Hakuna asiejua Maria Sarungi , Mange Kimambi ni Waccm wa kuzaliwa, Kukulia, na wamewahi kutumika kuijenga Ccm.
Je watu Hawa sio Mpango wa Watu wale?
Chadema tunawapenda Jitafakarini.
Heche Kaa chini na Mwenzako malizeni Tofauti zenu.
Kupishana isiwe chanzo cha kuanikana hadharani kwa maana...