Ccm ni chama au ni jeshi la kicomunist.

Ccm ni chama au ni jeshi la kicomunist.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,759
Reaction score
37,374
Kusema kuna democracy hapa tukatae.

Hivi ushaona duniani kuna vyama vina vaa sale na kuweka vyeo vya mfano wa kijeshi.
Screenshot_20260725-081417.png
 
Kusema kuna democracy hapa tukatae.

Hivi ushaona duniani kuna vyama vina vaa sale na kuweka vyeo vya mfano wa kijeshi.View attachment 3636369
Vijana kwa sasa tumekuwa watu ambao hatujifunzi style za uongozi bali tunajifunza namna ya kumuwin mwenyekiti akupe cheo tu.Nina mifano mingi ya watu ambao wakiwa vijana walifaa kuwa viongozi wazuri lakini kwa ujinga wao wamepoteza sifa hasa wakati wa JPM waliamini kutukana wazee ndio njia ya kupata cheo haraka haraka.Wanacho sahau ni kuwa unayemtukana anawafuasi wanao mwamini.
 
Back
Top Bottom