ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Obama: Huwezi kusema una Demokrasia ukashinda kwa 90% + huku upinzani umeufungia, uhuru wa habari hakuna

    Alisema: huwezi kuwa na Demokrasia na ukashinda kwa zaidi ya 90+ huku mpinzani wako umemfunga, hakuna uhuru wa habari, hakuna uhuru wa vyama kukutana, kufanya mikutano, uhuruwa kukosoa serikali, hakunataasisi imara za check and balance ukasema kuna demokrasia. Unafanya uchaguzi kujidanganya...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe hakuna chama kinaitwa CCM, CHADEMA, CUF, ACT Wazalendo wala NCCR Mageuzi?

    Malisa GJ Juzi TAMISEMI walitoa taarifa kuwa moja ya sababu za wagombea wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwa 98% na kubakia 2% tu ni pamoja na kujaza kimakosa fomu za kugombea. Moja ya makosa ambayo TAMISEMI waliyaainisha ni wagombea kujaza vifupisho vya...
  3. JamiiForums Tanzania Upinzani tafuteni majadiliano na CCM, wanaogopa madudu waliyoyafanya upinzani ukiwa madarakani yataanikwa wazi

    CCM si chama chenye uadilifu katika matumizi ya pesa. Nani anafahamu budget iliyotumika katika vita ya Kagera, Tuliwahi kuhoji katika ukombozi wa bara la Afrika? Yote yalikuwa ni maamuzi ya mtu mmoja. Hata Chama kushika hatamu haikuwa ridhaa ya wananchi. Afadhali ya Nyerere yalikuwa ni maamuzi...
  4. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa: Ni huzuni, aibu, fedheha na si afya kwa Chama cha Mapinduzi(CCM)

    Tamko la kimaslahi, mimi ni nwanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivyo ni takayo yawasilisha hapa ni kwa manufaa ya ustawi wa chama changu CCM na Taifa letu kwa ujumla. Nimefatilia kwa umakini mchakato mzima wa uchaguzi wa viongozi wetu katika ngazi ya Serika za Mitaa. Hakika...
  5. JamiiForums Tanzania Hatuajiri wanawake kuonyesha sura, ATCL wamjibu mbunge CCM

    Wakati mbunge wa Kigoma Kusini (CCM), Husna Mwilima akisema wahudumu wa ndege za ATCL hawana mvuto kwa wateja, shirika hilo limesema haliwachagui kwa ajili ya kuonyesha sura 3. “Hatuchagui wanawake kwa ajili ya kuwapeleka kuonyesha uzuri kuna vigezo lazima tuwapime uelewa. Lazima kujua wana...
  6. JamiiForums Tanzania Viroja vya CHADEMA havina ukomo

    Awali ya yote niwape pole wale wote watakaofuata agizo la kutoshiriki uchaguzi kwa kutopiga kura. Watakuwa kwa hiyari yao wenyewe wamejinyima haki yao. Hakuna mwingine atakayeumia isipokuwa wao wenyewe na chama chao. Nadhani CHADEMA wanadhani kwa kususa mpango wao wa kuonyesha kuwa TANZANIA...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha...
  8. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 The end justifies the means. CHADEMA itumie mbinu za kijasusi kuuondoa mfumo CCM madarakani

    Wengi wetu tunasoma jinsi USA walivyoisambaratisha USSR. Tunasoma jinsi mashirika nguli ya kijasusi kama CIA, MOSAD nk yanavyoendesha harakati za kuhujumu na kuwaondoa duniani maadui wa mataifa yao. Bahati mbaya upinzani Tanzania (CHADEMA) wanadhani kuwa CCM ni chama kama wao walivyo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya unga wa Sembe yapanda, Serikali iingilie kati

    Natoa tu angalizo kwa katibu wa idara ya uchumi ya chama changu CCM, huku mtaani bei ya Unga wa Ugali ( Sembe na Dona) ni kati ya sh 1500 hadi 1700 kwa kilo. Ikumbukwe kuwa mahindi yamevunwa juzikati tu sasa ikifika February 2020 sijui hali itakuwaje? Serikali itoe ruzuku kwa wakulima wa...
  10. JamiiForums Tanzania Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kata ya Kigamboni, Mtaa wa Feri Wagombea wote wa upinzani Hawajateuliwa. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Kata ya Mabibo Mtaa wa Matokeo Wagombea wote wa Upinzani Hawajateuliwa. Jimbo la Ubungo, Kata ya Manzese: Mtaa Chakula Bora - Wagombea wote wa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA ina mbumbumbu kiwango cha SGR, wakihamia CCM wanakuwa Maprofesa

    Imegundulika CHADEMA NA ACT, hawajui kujaza fomu, sehemu za kuandika mwaka na tarehe za kuzaliwa wao wanaandika tarehe na mwaka wahuu wa uchaguzi. Hawajui vitu vingi na CCM imechukua advantage hiyo. Nashindwa kuwa mnafiki ila mbinu za JIWE zimezaa matunda maana anajua A.. Hawezi kampeni za...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Wagombea wote walioondolewa kwa kuonewa haki itatendeka na watarejeshwa kwenye uchaguzi

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema wagombea wote wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao wameondolewa lakini wamekata rufaa malalamiko yao yatasikilizwa na haki kutendeka na kama wameonewa basi watarejeshwa uchaguzini. Chanzo: ITV habari Hizi ni habari njema kwa wapinzani ukizingatia ukweli...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM kwa mnayoyafanya leo hii msije kulalamika

    Sheria za uchaguzi zinavunjwa wazi wazi kabisa na huku ccm mnashangilia. Mwaweza kudhani leo hii kuwa hiki mnachokifanya ni ujanja ila jueni kuwa dunia inatuangalia. Dunia leo hii kama kuna kitu kinatiliwa mkazo ni mahusiano ya kiuchumi. Na katika uchumi hakuna kitu kinazingatiwa kama utawala...
  14. JamiiForums Tanzania Watishie CCM huyu jamaa kila mtu atatoa tamko, na hapa povu litawatoka tu

    Hadi Lugola anaweweseka!! jamaa anawanyoosha balaa Huyu jamaa anawaumiza kichwa hadi leo ***Mtapata taabu saaana***
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kuweka mpira " kwapani" je CCM inakwenda mbele au inarudi nyuma?

    Katika maisha yangu ya kisiasa sijawahi kushuhudia mgombea wa CCM akimkwepa au kukwepeshwa mpinzani wake hata mara moja kuanzia enzi za chama kimoja hadi vyama vingi. Kuanzia ubunge wa mzee Warioba vs Wassira, enzi za Augustino Lyatonga Mrema vs Abdul Cisco Mtiro hadi msimu wa mzee Malecela vs...
  16. JamiiForums Tanzania Kilichoiua CCM hadi kuogopa kushiriki uchaguzi wa vyama vingi hiki hapa

    Kabla Magufuli hajakabidhiwa Uenyekiti wa CCM Taifa , chama hiki kilikuwa mali ya wanachama wake , walijianzishia miradi yao kwenye matawi , walijipatia chochote kwa kulinda magari yaliyolazwa kwenye ofisi hizo , wengine walianzisha miradi ya kupangisha wafanyabiashara kwenye baadhi ya maeneo ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mbweni: Chadema yamsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM wa mtaa huo anayeishi kwa baba yake kugombea uenyekiti serikali ya mtaa

    Wakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha. Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake. Kiukweli nyakati nyingine...
  18. JamiiForums Tanzania CCM acheni mnayofanya kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wasalaam, Hii nchi si Mali ya CCM ni Mali ya watanzania wote inashangaza na kusikitisha jinsi CCM mnavyochezea amani ya taifa hili. Ni kwanini mnawanyima form wagombea wa vyama pinzani? Mna hofu gani wakati chama kinapendwa na wadanganyika takribani wote? Kwanini mnaagiza watendaji wa kata...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kutumia dhana ya " product life cycle" kwenye siasa CCM na Chadema ziko katika hatua gani?

    Naomba wataalamu wa masoko mnisaidie maana hivi vyama vya siasa vinajiuza kwa kunadi sera zao nasi tunanunua sera hizo kupitia mfumo wa ruzuku. Mimi siyo market researcher lakini nimeona graph moja ikielezea stages katika product life cycle kama R&D, Introduction, Growth, Maturity na Decline...
  20. JamiiForums Tanzania WanaCCM wote Tarime waliohamia CHADEMA na kupokelewa na Heche warudi tena CCM!

    Siku 7 zilizopita kuna thread ililetwa hapa ikitoa taarifa kuwa wanaCCM wote wa tawi la Kiterere kata ya Bumera katika jimbo la Tarime wamejiunga CHADEMA baada ya aliyekuwa kiongozi wa kijiji kwa tiketi ya CCM kukatwa jina lake katika kura za maoni ya kuchagua wagombea kwa tiketi ya CCM. Thread...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…