Uchaguzi 2020 CHADEMA ina mbumbumbu kiwango cha SGR, wakihamia CCM wanakuwa Maprofesa

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,005
20,301
Imegundulika CHADEMA NA ACT, hawajui kujaza fomu, sehemu za kuandika mwaka na tarehe za kuzaliwa wao wanaandika tarehe na mwaka wahuu wa uchaguzi.
Hawajui vitu vingi na CCM imechukua advantage hiyo.
Nashindwa kuwa mnafiki ila mbinu za JIWE zimezaa matunda maana anajua

A.. Hawezi kampeni za majukwaani

b.. na kashfa za uuzaji nyumba, za yule mama wa ubungo na Kebbys.

c.. Ile 1.5 T walioficha visiwa vya FEROE, kama ni kweli ambayo ndiyo imemfanya kumwondosha CAG.

d. Kupotea kwa wapinzani, hii haijawahi kutokea tangu tupate uhuru, ukiacha vita ya kagera, vifo na mateso kwa watanzania vimerudi 2015 to date.

e. Kushindwa kilugha na kumtuma Samia na Kabudi huko kwa wanaume huku akiwananga kuwa ni mabeberu.

Swali la kujiuliza, je , hawa wapinzani nchi nzima peke yao hawajui kujaza fomu na CCM nchi nzima wanajua?
Wasukuma wenzangu nisaiddieni.

1. Kama majina yake yatatofautiana kati ya majina aliyojaza kwenye fomu na majina aliyojiandikisha kwenye daftari. Angalia kanuni ya 13 (e) Uk. 152

2. Endapo mdhamini hataandika majina matatu na cheo ktk vyama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (d) Uk. 10-11

3. Jina alilojaza wakati anachukua fomu lifanane na lililopo kwenye fomu ( dispatch book vs forms). Angalia kanuni ya 17 (1) Uk. 153

4. Mgombea arejeshe fomu mwenyewe na kusaini. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153

5. Majina ya mdhaminiwa yafanane na ya mgombea yaliyojazwa kwenye fomu. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (a-d) Uk. 10-11

6. Fomu ya kiapo iwe halisi iliyotolewa na msimamizi msaidizi na ishuhudiwe na msimamizi msaidizi ngaz husuka. Angalia kanuni ya 16 (e) Uk. 152

7. Fomu zijazwe na mhusika lazima ziwe zimesainiwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (e&f) Uk. 10-11

8. Fomu zishuhudiwe na ngazi ya chini ya chama itakayobainishwa na chama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.1 & 14.2 (a) Uk. 10-11

9. Ambaye hajajiandikisha hana sifa ya kuwa mgombea. Angalia kanuni ya 13 (e)Uk. 152, ilinganishe na Kanuni ya 16 (d) Uk. 152 na Kanuni ya 14 (a) Uk. 152

10. Aliyejiandikisha mara mbili atakuwa amepoteza sifa ya kugombea au kupiga kura. Angalia kanuni ya 14 (b)Uk. 152

11. Lazima aeleze shughuli halali inayomwingizia kipato na endapo atabainika kudanganya atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (d)Uk. 152

12. Atakayeomba nafasi zaidi ya moja kwenye fomu moja atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 17 (1) & (5) Uk. 152-153

13. Nafasi anayoomba ionekane mpaka kwenye fomu ya kiapo. Angalia kanuni ya 17 (1)Uk. 153 isome sambamba na Kanuni ya 16 (e) Uk. 153

14. Fomu zijazwe kwa ukamilifu. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153

15. Eneo la uraia ajaze uraia siyo nchi mfano: Mtanzania na siyo Tanzania. Angalia kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154

16. Usahihi wa maeneo kwa mujibu wa GN mfano chankobe akiandika chakobe atakuwa amepoteza sifa maana eneo hilo litakuwa halipo ktk GN. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152 & Kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154.

17. Mwombaji aeleze anaomba nafasi ipi na wapi mfano nafasi anayoomba mwenyekiti wa Kijiji cha Kagera vinginevyo atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152

18. Fomu ijazwe taarifa inayohitajika tu, kuwepo kwa maandishi au michoro isiyohitajika hilo ni kosa. Angalia kanuni ya 17 (5) Uk. 154

19. Mgombea arejeshe fomu zote mbili kinyume na hapo hana sifa. Angalia kanuni ya 17 (2), (3) na (4) Uk. 153-154

20. Kama mgombea ameomba nafasi mbili unaweza kumteua nafasi moja. Angalia kanuni ya 17 (1)& (5) Uk. 153-154

21. Mgombea akiwa na ajira, wadhifa au uteuzi wowote katika mihimili ya Serikali atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Anagalia kanuni ya 16 (f)Uk. 153

22. Ikiwa Mgombea alichukua fomu na hakurejesha atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia Kanuni ya 17 (2), (3) na (4)

23. Mgombea ambaye hatadhaminiwa na ngazi ya chini ya Chama chakeatakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi sehemu 14.1 na 14.2 (a)

Kabla ya kulalamika kukatwa majina,Jiridhisheni kwa kila hatua kama mmekidhi vigezo na masharti sio kulalama
 
umepitia fomu za wana ccm wote wamejaza kwa usahihi au ni wapinzani tu
 
Huo upumbavu wa kiwango cha lami hata kule kijijini kwenu hawawezi kukuelewa?

Hao chadema wakijaza fomu zao hazipitiwi na viongozi kiasi kwamba wote wawe na makosa yale yale?

Hao wa CCM elimu hiyo wamepata nchi gani kiasi kwamba fomu zao zote zisiwe na kasoro/

Watanzania si wajinga wakimaliza kwa wapinzani wanahamia kwenu mnaofuata upepo
 
Hv upinzan ndo mara yao ya kwanza kujaza fomu? Chaguzi zilizopita ilikuwaje? Au fomu ni mpya hazijawahi kutumika sampili hii kabla?
 
Swali hili Jafo analijua zaidi, mana alijitapa nalo kuwa lazima uongozi wake tamisemi aache ALAMA ya kukumbukwa daima, yaani TOFAUTI NA wenzake/
 
Back
Top Bottom