• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Elections 2020 The end justifies the means. CHADEMA itumie mbinu za kijasusi kuuondoa mfumo CCM madarakani

N

ngusillo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2019
Messages
871
Points
1,000
N

ngusillo

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2019
871 1,000
Wengi wetu tunasoma jinsi USA walivyoisambaratisha USSR. Tunasoma jinsi mashirika nguli ya kijasusi kama CIA, MOSAD nk yanavyoendesha harakati za kuhujumu na kuwaondoa duniani maadui wa mataifa yao.

Bahati mbaya upinzani Tanzania (CHADEMA) wanadhani kuwa CCM ni chama kama wao walivyo. Wameshindwa kabisa kutambua kuwa CCM ni mfumo wa kidikteta uliohasisiwa na Nyerere kwa malengo ya kuwatawala watanzania, mtake msitake.

Wakati sasa umefika upinzani kujigeuza kuwa vikundi vya kijasusi na kijeshi vyenye lengo moja tu, la kuwakomboa watanzania dhidi ya mfumo ulioshindwa kuleta tija wa CCM.

Siamini na sitakaa niamini kuwa mifumo kama CCM huondoka kwa amani. Mifumo hii kung'oka labda impate mtu mwenye nia dhabiti kama Abiy Ahmed wa Ethiopia, aliyefanikiwa kuupunguza nguvu mfumo uliokuwepo wa kidikteta, japo hajamaliza.

CHADEMA 2020 mnalazimika kutumia ujasusi na mbinu za kivita zaidi. Ni ushauri tu, kama mnaona unafaa, na kwa nia njema kabisa, anzeni na kikundi kidogo cha intelligence. Siyo lazima kionekane kwenye katiba.

Na lengo la kikundi hiki liwe moja tu. Kuiondoa madarakani CCM na kuung'oa mfumo rushwa ulioshindwa wa CCM ndani ya miaka 10.
 
N

ngusillo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2019
Messages
871
Points
1,000
N

ngusillo

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2019
871 1,000
Ungewafuata huko kwenye vikao vyao siyo hapa JF. Sasa hapa siri si umeiweka wazi? Pia jua kuwa ndani ya Chadema wapo watu wazuri tu ambao watatoa siri zote kama unavyotoa wewe hapa!
Asante sana kwa ushauri. Najua kuwa wanapita huku pia. Na endapo wataona ni wazo jema, hawatafanya nilivyoandika hapa. Watabuni njia muafaka ya kutekeleza. Na njia za kuwashughulikia wavujisha siri pia.

Uwepo wa CIA, MOSAD, siyo siri, bali namna wanavyofanya kazi ndiyo siri.
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
21,771
Points
2,000
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
21,771 2,000
Ungewafuata huko kwenye vikao vyao siyo hapa JF. Sasa hapa siri si umeiweka wazi? Pia jua kuwa ndani ya Chadema wapo watu wazuri tu ambao watatoa siri zote kama unavyotoa wewe hapa!
Tuliza kishundu hicho wanaume wanapojadili mambo ya kiume.
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
47,299
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
47,299 2,000
Hamna laana mbaya tuliyonayo Watanzania Kama laana ya kuwa na chama Cha Mazezeta na mungu wao ambaye Ni Mwenge
 
LIMBOMAMBOMA

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
5,220
Points
2,000
LIMBOMAMBOMA

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
5,220 2,000
Nasikia baadhi ya wabunge wale Wa chadema walioko ccm waliounga juhudi wanaandaliwa kutumika kisiri Na chadema.
 
MsemajiUkweli

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Messages
11,883
Points
2,000
MsemajiUkweli

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2012
11,883 2,000
Wadanganye!

Hii nchi ina historia na utendaji wa kipekee!
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
47,299
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
47,299 2,000
Hasa Saccos ya Chadema
Chama Cha Mazezeta kinaongozwa na Mashetani wanaofanya ibada za mwenge kwa kutumia mabilioni ya pesa za WANYONGE.
Mazezeta wanausujudu mwenge na wanauabudu na wanauomba mwenge uwape amani na tumaini.
Hivi hamjioni kwamba mnasababisha laana nchini?
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
47,299
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
47,299 2,000
Laana kwa Saccos ya Chadema ndiyo maana hata kuzaja fomu tu za kuomba uongozi yameshindwa sasa mkipewa nchi mtaendeshaje hiyo nchi?
Hi laana ya mwenge kijimungu chenu imeandikwa Hadi kwenye maandiko matakatifu.
Soma Isaya 50 verse11
 
Elice Elly

Elice Elly

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Messages
986
Points
1,000
Elice Elly

Elice Elly

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2018
986 1,000
Ungewafuata huko kwenye vikao vyao siyo hapa JF. Sasa hapa siri si umeiweka wazi? Pia jua kuwa ndani ya Chadema wapo watu wazuri tu ambao watatoa siri zote kama unavyotoa wewe hapa!
Kama walivyo baadhi ya watu wema ndani ya CCM wanaowapa wapinzani mipango ovu inayo endelea
 
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
6,158
Points
2,000
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
6,158 2,000
Hivi CCM kina wazazi wote wawili,au kinalelewa na mzazi mmoja,au ni yatima kabisa
Ni mtoto wa nje ya ndoa ambaye alizaliwa na Tanu na Asp... kama vilikufa basi yenyewe ni yatima mwenye kiburi
 
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Messages
4,774
Points
2,000
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2019
4,774 2,000
Wazo zuri walifanyie kazi, chama cha Mashetani, waabudu mungu wao mwenge Nyamrunda nchi wameiharibu sana. Sijui watanzania tumemkosea nini Mungu mpaka akaamua kumleta shetani kupitia ccm.
 
B

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
1,741
Points
2,000
B

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
1,741 2,000
Wengi wetu tunasoma jinsi USA walivyoisambaratisha USSR. Tunasoma jinsi mashirika nguli ya kijasusi kama CIA, MOSAD nk yanavyoendesha harakati za kuhujumu na kuwaondoa duniani maadui wa mataifa yao.

Bahati mbaya upinzani Tanzania (CHADEMA) wanadhani kuwa CCM ni chama kama wao walivyo. Wameshindwa kabisa kutambua kuwa CCM ni mfumo wa kidikteta uliohasisiwa na Nyerere kwa malengo ya kuwatawala watanzania, mtake msitake.

Wakati sasa umefika upinzani kujigeuza kuwa vikundi vya kijasusi na kijeshi vyenye lengo moja tu, la kuwakomboa watanzania dhidi ya mfumo ulioshindwa kuleta tija wa CCM.

Siamini na sitakaa niamini kuwa mifumo kama CCM huondoka kwa amani. Mifumo hii kung'oka labda impate mtu mwenye nia dhabiti kama Abiy Ahmed wa Ethiopia, aliyefanikiwa kuupunguza nguvu mfumo uliokuwepo wa kidikteta, japo hajamaliza.

CHADEMA 2020 mnalazimika kutumia ujasusi na mbinu za kivita zaidi. Ni ushauri tu, kama mnaona unafaa, na kwa nia njema kabisa, anzeni na kikundi kidogo cha intelligence. Siyo lazima kionekane kwenye katiba.

Na lengo la kikundi hiki liwe moja tu. Kuiondoa madarakani CCM na kuung'oa mfumo rushwa ulioshindwa wa CCM ndani ya miaka 10.
Mpaka sisi wananchi tuone haja hiyo. Maslahi ya kikundi kidogo hayawezi kutubabaisha. Kwani CHADEMA wana kipi cha maana kwetu wananchi ili tuwaunge mkono?
 
B

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
1,741
Points
2,000
B

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
1,741 2,000
Wengi wetu tunasoma jinsi USA walivyoisambaratisha USSR. Tunasoma jinsi mashirika nguli ya kijasusi kama CIA, MOSAD nk yanavyoendesha harakati za kuhujumu na kuwaondoa duniani maadui wa mataifa yao.

Bahati mbaya upinzani Tanzania (CHADEMA) wanadhani kuwa CCM ni chama kama wao walivyo. Wameshindwa kabisa kutambua kuwa CCM ni mfumo wa kidikteta uliohasisiwa na Nyerere kwa malengo ya kuwatawala watanzania, mtake msitake.

Wakati sasa umefika upinzani kujigeuza kuwa vikundi vya kijasusi na kijeshi vyenye lengo moja tu, la kuwakomboa watanzania dhidi ya mfumo ulioshindwa kuleta tija wa CCM.

Siamini na sitakaa niamini kuwa mifumo kama CCM huondoka kwa amani. Mifumo hii kung'oka labda impate mtu mwenye nia dhabiti kama Abiy Ahmed wa Ethiopia, aliyefanikiwa kuupunguza nguvu mfumo uliokuwepo wa kidikteta, japo hajamaliza.

CHADEMA 2020 mnalazimika kutumia ujasusi na mbinu za kivita zaidi. Ni ushauri tu, kama mnaona unafaa, na kwa nia njema kabisa, anzeni na kikundi kidogo cha intelligence. Siyo lazima kionekane kwenye katiba.

Na lengo la kikundi hiki liwe moja tu. Kuiondoa madarakani CCM na kuung'oa mfumo rushwa ulioshindwa wa CCM ndani ya miaka 10.
Kajifunzeni kusoma na kuandika kwanza ndipo mrudi kuomba uongozi.
 
K

kina kirefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2018
Messages
1,544
Points
2,000
K

kina kirefu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2018
1,544 2,000
Umenigusa sana ,hilo nimuhimu kuliko pengine wafikiliavyo
Wengi wetu tunasoma jinsi USA walivyoisambaratisha USSR. Tunasoma jinsi mashirika nguli ya kijasusi kama CIA, MOSAD nk yanavyoendesha harakati za kuhujumu na kuwaondoa duniani maadui wa mataifa yao.

Bahati mbaya upinzani Tanzania (CHADEMA) wanadhani kuwa CCM ni chama kama wao walivyo. Wameshindwa kabisa kutambua kuwa CCM ni mfumo wa kidikteta uliohasisiwa na Nyerere kwa malengo ya kuwatawala watanzania, mtake msitake.

Wakati sasa umefika upinzani kujigeuza kuwa vikundi vya kijasusi na kijeshi vyenye lengo moja tu, la kuwakomboa watanzania dhidi ya mfumo ulioshindwa kuleta tija wa CCM.

Siamini na sitakaa niamini kuwa mifumo kama CCM huondoka kwa amani. Mifumo hii kung'oka labda impate mtu mwenye nia dhabiti kama Abiy Ahmed wa Ethiopia, aliyefanikiwa kuupunguza nguvu mfumo uliokuwepo wa kidikteta, japo hajamaliza.

CHADEMA 2020 mnalazimika kutumia ujasusi na mbinu za kivita zaidi. Ni ushauri tu, kama mnaona unafaa, na kwa nia njema kabisa, anzeni na kikundi kidogo cha intelligence. Siyo lazima kionekane kwenye katiba.

Na lengo la kikundi hiki liwe moja tu. Kuiondoa madarakani CCM na kuung'oa mfumo rushwa ulioshindwa wa CCM ndani ya miaka 10.
 
M

MAPARA ZNZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
271
Points
225
M

MAPARA ZNZ

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2016
271 225
kama sikuhofia ban humu jamvini ningechangia kitu lakini 😒😒
 
N

ngusillo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2019
Messages
871
Points
1,000
N

ngusillo

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2019
871 1,000
kama sikuhofia ban humu jamvini ningechangia kitu lakini 😒😒
Una uhuru wa kuchangia. Mods nao ni binadamu kama wewe.

Ila soon tutawashtaki waache kupiga watu ban
 
Chilemba wamela pamputi

Chilemba wamela pamputi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
437
Points
500
Chilemba wamela pamputi

Chilemba wamela pamputi

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2019
437 500
Hawawezi hapo tunafuatilia mawasiliano yao yoote.
 
Forum statistics

Threads 1,402,880
Members 531,007
Posts 34,407,971
Top