CCM kwa mnayoyafanya leo hii msije kulalamika

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,636
8,776
Sheria za uchaguzi zinavunjwa wazi wazi kabisa na huku ccm mnashangilia. Mwaweza kudhani leo hii kuwa hiki mnachokifanya ni ujanja ila jueni kuwa dunia inatuangalia.

Dunia leo hii kama kuna kitu kinatiliwa mkazo ni mahusiano ya kiuchumi. Na katika uchumi hakuna kitu kinazingatiwa kama utawala wa sheria. Kwa huu uhuni unaofanyika leo ni wazi kuwa nchi inaelekea kuwa failed state. Mifumo inapovunjwa huwa kunaundwa utawala usio na taratibu zinazojulikana na kutokana na hali hiyo hakuna mtu atakaeweza kujua nini kitatokea iwapo atafanya jambo fulani. Watendaji watashindwa kutoa maamuzi yenye mantiki na lazima maamuzi yao yatapingana mara kwa mara.

Bottom line: hakuna kitakachofanikiwa kwa kuwa nchi hii itakuwa kama meli isiyo na usukani. Ni katika mazingira ya namna hiyo ndipo kina Al Shabaab wa dunia hii hupata nafasi. Msidhani mtaachiwa ili mvuruge utulivu wa ukanda huu.

Don't claim later that you were not told.
 
Hakuna kenge yoyote ya kupambana na CCM chama dume hizi ni kelele za vilaza kama wewe ,ukijichanganya na na CCM watakupoteza


State agent
 
Vyama hivi vya upinzani sijui kina Zitto, uchafu tu bora tusiwe na vyama vingi

Kuliko hawa wanaotumiwa na mabeberu
 
Screenshot_20191016-224559-picsay.jpeg
 
Hakuna kenge yoyote ya kupambana na CCM chama dume hizi ni kelele za vilaza kama wewe ,ukijichanganya na na CCM watakupoteza


State agent
mkuu nimekutamkia mambo mabaya sana yote duniani yakupate wewe ,wanaokutuma na ukoo wako siwezi yaandika hapa.
 
Ungemtamkia mamako kwa kushindwa kukulea vema

Laana hubadilishwa na kuwa Baraka


State agent
mkuu nimekutamkia mambo mabaya sana yote duniani yakupate wewe ,wanaokutuma na ukoo wako siwezi yaandika hapa.
 
Back
Top Bottom