CCM acheni mnayofanya kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,528
2,695
Wasalaam,

Hii nchi si Mali ya CCM ni Mali ya watanzania wote inashangaza na kusikitisha jinsi CCM mnavyochezea amani ya taifa hili. Ni kwanini mnawanyima form wagombea wa vyama pinzani?

Mna hofu gani wakati chama kinapendwa na wadanganyika takribani wote?

Kwanini mnaagiza watendaji wa kata kufunga ofisi ili wagombea wa upinzani wasichukue form ili hali wagombea wa CCM wanapekekewa form nyumbani?

Acheni ubabaishaji na mambo ya kishamba ya kubaka democrasia ipo siku mtakumbuka shuka kumekucha mnakera kwa kweli. Ovà.
 
Kwahiyo una taka kusema nyinyi ma cdm doo mnarida amani ya tafia hiri kabura hamja wepo amani haikuwepo acha upoyoyo
 
Bila kuwaadabisha hao watu "individually" basi upuuzi huu utakuwa kila siku unaendelea. Vyama vya upinzani viache sasa kulalamika tu, ni lazima watoe "demo" mbili tatu hivi ili kuleta heshima. Hivi kwa kuchezewa rafu wanafikiri nani ambaye atawasikiliza? Watu ambao tayari wamepewa maelekezo na kuhakikishiwa usalama!
 
Subira leta ushahidi wa unachokisema sio bra bra. Ungetuwekea na ushahidi tungekusaport Sana lkn kwa kuwa hauna ushahidi ngoja nipite tu.
 
Makosa yote ya kutowajibika kwa mgombea au viongozi wa tume au serikali wakati wa uchaguzi ni swala baya sana linaweza kuleta hali ya Shari.
 
Kwahiyo una taka kusema nyinyi ma cdm doo mnarida amani ya tafia hiri kabura hamja wepo amani haikuwepo acha upoyoyo
Ccm hawawezi kutoka madarakani kwa katiba iliyopo hata kama watashindwa kwenye uchaguzi,sasa wameshaanza kuwa-train wanamgambo ambao watawatumia kwenye chaguzi zijazo!
 
Na wao wana akili gani kwenda kuchukua fomu?Hivi ni kweli watanzania ni vilaza kiasi cha kutojua mazingira ya uchaguzi na mwelekeo wa ushindi utakuwaje?
Huenda mimi nina tatizo kwani naona ukweli uko wazi mno
 
Nawashangaa wanaikata tamaa hawa jamaa tunawajua hata kabla ya uchaguzi hzo ndio mbinu zao labda tuwasaidie mbinu za ushindi sema cjui wanatuahid nn tukiwasaidia mbinu za ushindi na wakashinda .......
I see lots of souls of the poor people tearing out blooded tears.....it's a matter of tricks only
 
Back
Top Bottom