ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Siasa ya kujitoa: Hata CCM ilitakiwa kujitangaza kuwa imejitoa kwenye uchaguzi

    Jamii yoyote huongoza Kwa misingi ya Sheria na Sheria ya uchaguzi inasema Chama KAZI yake ni kuteuwa wagombea pekeyake . Vyama vyote vimefanya hivyo ni muda wa CCM kutangaza kujitoa ili WAIACHIE mifumo ifanye KAZI yake... KAZI kwako Polepole
  2. N

    JamiiForums Tanzania CCM ya awamu ya tano inamuhitaji sana DC wa hai tena sana tu na wengine wa kaliba yake

    Chama hiki kinachosifika kwa kubadilikabadilika kama kinyonga na kinachojiendesha kisayansi kwa mfano ambao haupo popote duniani kwa sasa yaani hii awamu ya tano hakina ujanja zaidi ya kumtegemea DC wa hai, yule undercover wa TISS anayeenda kwa jina la eagle :D vuilevile RC wa Mbeya, RC wa DSM...
  3. JamiiForums Tanzania Wapinzani Chukueni Tahadhari, Njama Walizopanga CCM Kuelekea Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa 2019

    Chama cha mapinduzi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwezi huu, kimepanga yafuatayo baada ya mipango ya awali kufeli, mipango iliyohusisha maelekezo kwa Watendaji wa kata, makatibu tawala wa wilaya, maafisa usalama wa taifa wa wilaya na waziri waziri mwenye dhamana wa Tamisemi. Sina haja...
  4. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mzee Mkapa kuhusu CCM kujiona kama chama kimoja inahitaji kutafakari nini hasa msingi wake?

    Na Elius Ndabila Jana wakati Mh Mkapa akizindua kitabu chake, moja ya nukuu zake alisema CCM INADHANI IPO CHAMA KIMOJA. Kwa wanasiasa hii ilikuwa ni kauli nzito nainayohitajika kuchambuliwa kwa kina hasa na wachambuzi wa maswala ya siasa. Ni nukuu ambayo haihitaji tu kutafakari, lakini pia...
  5. JamiiForums Tanzania Nchi ya wanasiasa na siasa toka juu Taifa hadi Kijijini: CCM mna dhamana

    NCHI YA WANASIASA NA SIASA TOKA JUU TAIFA HADI KIJIJINI: CCM MNA DHAMANA Tanzania imegeuka Taifa la ajabu sana. Ni Taifa pekee siasa inafanywa na kila mtu, kila mahali na kila muda. Hakuna Taifa jingine duniani ambalo karibu kila mtu, kila kitu na kila sehemu kinachofanyika ni siasa. Na hali...
  6. JamiiForums Tanzania Wanachama wa CCM maji yamewafika shingoni

    Katika historia ya nchi hii, hakijawahi tokea kipindi cha majaribu ya aina hii, ambayo wanaccm wanapitia hivi sasa Huu uchaguzi wa serikali za mitaa, umewavua nguo na hivi sasa mpo uchi wa mnyama Kitendo cha hao wasimamizi wa uchaguzi, ambao ni makada wa CCM kukata majina ya wagombea wa...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
  8. JamiiForums Tanzania Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

    Wadau. Leo Novemba 12,2019 Mzee Wetu na Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Tatu Benjamin Mkapa Anatimiza Miaka 81 ya Kuzaliwa. Tukio Hilo linaambatana na sherehe Mubashara muda Huu wa Uzinduzi wa Kitabu Chake Cha "My Life, My Purpose" Hongera Sana Mzee Wetu. ---- Benjamin William Mkapa is a...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli ndio Rais wa mwisho kutawala kupitia CCM

    Nyakati za CCM kuendelea kutawala nchi hii zimefika mwisho na yote haya mnayoyashuhudia leo hii ni viashiria tu vya anguko la CCM katika siku zijazo. Kelele za wana-CCM majukwaani, mitandaoni, Bungeni na kwingineko, ni sawa tu na mateke ya farasi anaekata roho hivyo hayaepukiki na watarusha...
  10. JamiiForums Tanzania Diwani wa Kata ya Gwarama (CHADEMA) na aliyekuwa mgombea wa Ubunge kwenye uchaguzi mdogo jimbo la Buyungu aachana na CHADEMA na kujiunga CCM

    Diwani wa Kata ya Gwarama wilayani Kakonko na MwanaJF Ndugu Elia F Michael aliyekuwa mgombea wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo mwaka 2018 jimbo la Buyungu ameamua kuachana na Chadema na kujiunga na CCM. Pia soma...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wanamikakati wa CCM Mjifunze kilichotokea Zanzibar, Mtambue mabadiliko hayazuiliki na Bara sio Unguja

    Huo ujumbe uende moja kwa moja kwa wana mikakati wa CCM na washauri wa chama na Serikali. Mtakosea sana kufanya mbinu zenu za kuzorotesha Upinzani kwa kutumia mbinu za Zanzibnar huku Bara. Kwa hulka Wazanzibari ni wapole sana lakini ni wamejaaliwa uelewa wa kisiasa. CCM imetumia njia nyingi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hivi bado Watanzania tunajidanganya mfumo wa siasa uliopo utadumisha amani na umoja wa kitaifa?

    Amani na umoja wa Watanzania, ni sifa ambayo ilijulikana juu ya Watanzania duniani kote. Kwa miaka mingi sana Tanzania ilikuwa haitajwi na vyombo vya habari kama BBC na CNN kwa kuwa hatukuwa na habarai mbaya ambazo vyombo vya magharibi hupenda kuzitangaza juu ya nchi zinazoendelea na masikini...
  13. N

    JamiiForums Tanzania MAONI BINAFSI: CCM waitishe maandamano ya amani kupinga kuporwa ushindi wao

    Turejee uchaguzi wa serikali za mitaa. Mpaka jana, CCM walikuwa na ushindi mnono wa asilimia 90. Ushindi huu ulikuwa kwenye ngome za wapinzani, mfano Kilimanjaro, Dar es Salaam, Mara, Manyara, Kigoma, Mbeya na kwengineko. Ilichokuwa imebakisha CCM ni kwenye ngome zake ambako ushindi wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani msikubali kurejea kwenye uchaguzi mpaka CCM wakubali mkae mezani

    Bila ya CCM kukubali kukaa nanyi mezani na kukubaliana kuunda taratibu mpya na namna bora ya kuendesha uchaguzi, wapinzani kamwe msikubali kurejea kwenye uchaguzi. Mkisha kaa mezani tarehe mpya ya uchaguzi itangazwe ili kutoa muda wa kutosha kwa vyama vya upinzani kurejesha kuweka mipango sawa...
  15. JamiiForums Tanzania Ushahidi namna wakurugenzi na CCM wanavyoshirikiana kuiba kura kwenye chaguzi

    Habari wanabodi, Haya yanayotokea hayatokei kwa bahati mbaya. Ni mipango ya makusudi ikiongozwa na kuratibiwa na vyombo vya ulinzi. Mwaka Jana nilikuwa kwenye jimbo moja la uchaguzi. Pale kulikuwa na madiwani wawili toka upinzani.Kati yao mmoja anatoka CUF na mwingine CDM.Ulikuwa msimu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wapinzani wa CCM wanasema CCM imejichimbia kaburi?

    Nimesoma maandiko mengi ya wadau wa vyama vya siasa na wafuasi wao bada ya CHADEMA NA ACT Wazalendo kujiondoa kwenye uchaguzi unaofanyika tr 24 ya mwezi huu. Hoja nyingi nilizosoma wengi wameandika CCM imejichimbia kaburi. Nimesoma Twitter ya Jussa pia nimeona amenukuu hivyo hivyo kuwa CCM...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi Utawala wa Rais Magufuli unavyoua ushawishi wa vijana ndani CCM

    Mwangalie Polepole wa utawala wa Kikwete na wa utawala huu, Mwangalie Nape alivyokuwa na ushawishi wakati akiwa Katibu Mwenezi na sasa, Mwangalie Mwigulu yule na huyu anayemshukuru Magufuli baada ya kupata ajali, Mwangalie January Makamba wa kipindi cha Kikwete na huyu anayeenda akiburuza miguu...
  18. JamiiForums Tanzania Ajali: Watu watatu wafariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari jijini Arusha

    Kuna ajali imetokea hapo jijini Arusha maeneo ya Mount Meru hotel karibu naofisi za Zola, taarifa isiyo rasmi watu zaidi ya 4 wanasadikiwa kugongwa na kupoteza maisha. Waliopata ajali inasemekana ni kina mama wafanya biashara pembeni mwa barabara ambapo gari aina ya saloon ndiyo iliyosababisha...
  19. JamiiForums Tanzania Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

    Wanabodi, Tangu kuanza kwa pilika pilika za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, sijawahi kuzungumza lolote kuhusu uchaguzi huu kutokana na kuwa bize na shughuli za kitaifa, kwanza ni Wiki ya Msaada wa Kisheria iliyofanyika kitaifa mjini Bariadi Mkoani Simiyu na kufuatiwa na Wiki ya Azaki...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa nini Point Tatu za Mezani Zinawaumiza CCM?

    Kujito kwa vyama Pinzani katika Uchaguzi ujao wa Wenyeviti wa serikali za Mitaa na Wajumbe wake ni sawa na CCM kupewa point 3 za Mezani kwa Timu Pinzani kutokufika Uwanjani. Nilitegemea hili liifurahishe CCM kwa kujichukulia Ushindi wa Point 3 mapema tena bila jasho lakini hali anaonekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…