CCM ya awamu ya tano inamuhitaji sana DC wa hai tena sana tu na wengine wa kaliba yake

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Chama hiki kinachosifika kwa kubadilikabadilika kama kinyonga na kinachojiendesha kisayansi kwa mfano ambao haupo popote duniani kwa sasa yaani hii awamu ya tano hakina ujanja zaidi ya kumtegemea DC wa hai, yule undercover wa TISS anayeenda kwa jina la eagle :D vuilevile RC wa Mbeya, RC wa DSM, RC wa Manyara na mnyeti kule Manyara

CCM ya awamu ya tano ni dhaifu mno aisee kujieleza kwa kina mzee Polepole na Bashiru ni kazi ngumu bila msaada wa polisi na mahakama hawa jamaa hawachelewei kulia majukwaani kama wenzao wakiruhusiwa kufanya kazi za siasa
Huwezi amini hata mzee Kinana na Nape walijitahidi kupambana kwa hoja ingawa walikuwa wanaiba hawa wanapora mchana kweupe huku MWENYEKITI akiringia MAPESA ANAYOTOA MFUKONI mwake kuwalipa wakurugenzi wanaosimamia uchaguzi na akiwapiga mkwara kwamba atakayemtangaza mpinzani kashinda hana kazi wala gari wala nyumba

Wakati wakurugenzi hao na watendaji wakihangaika kuzima simu na kukimbia nyumba zao ili wapinzani washindwe kuchukua au kurudisha fomu yule DC wa Hai yeye kaweka rekodi ya kuteka kabisa
Jamaa lile ni noma sana hiyo ndiyo njia ya ku deal na wapinzani na watanzania wakijifanya wajanja ni KUWASWAGA TU KAMA wanyama.

HONGERENEI sana ccm ya awamu ya tano mko vizuuuri mnoo na hongera mwenyekeiti wa ccm wa awmu ya tano kwa imani yako kubwa uliyonayo KWA WANAJESHI WAKO WA MIAMVULI naamanisha SABAYA, BASHITE, MNYETI, HAPI, CHALAMILA wanafanya kazi nzuri wananchi tunawaelewa mno, shukrani sana mzee wetu kwa kuitunza nchi yetu katika UPENDO, UMOJA NA MSHIKAMANO
 
Yani mnavyotafuta vyeo au kutengeneza mazingira Ya vyeo vyenu muendeleee kuwa na vyo kwa awamu hiii yaa tano huuu ni msiba Mkubwa Kwa taifa yani kipindi cha awamu hiii mtu anaweza kumtafuta mtu akamuuua hadharani ili aonekane kwa mkuuu apate cheo au apongezwe tena awamu hiii tutafika mahali mtu atakuwa akitaka kwenda kumpiga mtu anatafuta waandishi wa habari wenye makamera yanammmlika anampiga mtu ili tu Yule bwana aoone maana unaweza ukakuta hata hiii post kaitoa mwenyewe huyo mkuu wa wilaya Ya hai
 
Back
Top Bottom