Bila ya CCM kukubali kukaa nanyi mezani na kukubaliana kuunda taratibu mpya na namna bora ya kuendesha uchaguzi, wapinzani kamwe msikubali kurejea kwenye uchaguzi.
Mkisha kaa mezani tarehe mpya ya uchaguzi itangazwe ili kutoa muda wa kutosha kwa vyama vya upinzani kurejesha kuweka mipango sawa iliyokuwa imesitishwa.
Kwa kuwa sasa wametambua umuhimu wenu na ninyi sasa ndiyo muda wa kuwabana kisawa sawa. Mkirejea kienyeji mtaporwa ushindi mchana kweupe.
"Demokrasia ni nyenzo muhimu ktk maendeleo ya taifa"