ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri Mbatia akubali kufanya kazi ya CCM

    Hapa akizuga kukamatwa ili ionekane hakutumwa Hapa akifanya kazi halisi aliyotumwa kuitekeleza ya kupokea walioitwa wanachama wa Chadema , hakuna mwanaccm wala mwingine wa chama kingine . Swali ni hili , kazi hii aliyopewa na kulipwa ujira wake ataweza kuifanya au itamtokea puani ? ...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajutia kupokea waliokatwa CCM na kudai haitapokea tena katika uchaguzi mkuu

    Chadema yajutia kupokea waliokatwa majina CCM CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kinajutia uamuzi kiliochukua wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, kuchukua wale waliokatwa kutoka CCM ambao sasa wamerejea katika chama chao cha zamani. Akizungumza ofisi za Makao...
  3. JamiiForums Tanzania Ubunge Simanjiro waibua balaa CCM, Millya maji ya shingo

    Maandiko matakatifu yameeleza kwamba Laana ya usaliti ni kubwa mno , na kwamba inaweza kutafuna hadi kizazi cha 4 cha mhusika , hii maana yake ni kwamba Laana aliyoitenda Babu mnyororo wake unavikumba hadi vitukuu . Hii ndio hali iliyomkumba Mbunge wa Simanjiro James Millya . Ameandaliwa raia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama wapinzani wanaohamia CCM wanaahidiwa kugombea, Je CCM asilia hawatagombea uchaguzi ujao?

    Kulingana upepo wa kisiasa ulivyo kwa Sasa Ni dhahiri Sasa wapinzani wengi Wana hofu ya kukosa ubunge kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, na ndio maana wengi wao wameamua kukimbilia Chama Cha Mapinduzi ili kuweza kuona kama wanaweza kurudi bungeni. Nimekuwa nikijiuliza Sana hili swali kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinachomfanya Dkt. Bashiru aweweseke hadi kutamani Membe arejee CCM?

    Kutokana na kauli alizotoa mfululizo katika siku chache zilizopita, mtu yeyote hana budi kujiuliza swali, kulikoni tena Dkt Bashiru amepoa na kutaka kujirudi hadi "kutamani" Membe aweze rejea CCM? Ametamka mwenyewe Dkt Bashiru, akiwasihi wanaccm wenzake, wasisheherekee kufukuzwa kwa kada...
  6. JamiiForums Tanzania Bashiru Ally: Milango kwa wanachama waliofukuzwa kuomba radhi wakasamehewa iko wazi

    CCM wanamuogopa B. Membe? Kwanini kauli hii ya Katibu Mkuu? Nimejiuliza kwanini asingeonywa badala yake wanamfukuza tena wanamtaka ombe radhi na kurudi? "Milango wanachama waliofukuzwa kuomba radhi wakasamemeha iko wazi, mimi tangu nimefika nimeshasaini barua za misamaha ya waliofukuzwa 14...
  7. JamiiForums Tanzania Video: Vijana wa CCM Wakitwangana kugombea posho

    Hii ndio sababu kubwa ya vijana hawa kutokwa povu hapa jf hata kwa mambo yasiyo na mashiko, jionee mwenyewe.
  8. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Waitara: M/kiti CCM Mkoa Mara ana tumbo kama pipa, simuogopi

    Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Mwikwabe Waitara amesema hamuogopi mtu hata kama ana kitambi kama pipa, aliyasema hayo katika kikao na wajumbe wa CCM wilayani Tarime alipoendelea kusisitiza adhma yake ya kugombea ubunge wa Tarime Vijijini. Alienda mbali na kusema hao wanaompinga yeye...
  9. JamiiForums Tanzania Membe ulisema ‘’NIGUSE NINUKE’’, Kwa sasa tunasubiri hiyo harufu uliyoahidi!

    Baada ya kuvujishwa sehemu ya maongezi ya Bernard Membe na Katibu katika kijiji Rondo kata ya Chiponda katika mkoa wa Lindi akijidai na kumwambia, ‘’tunagonja sijui watatufukuzwa, mbona hawatugusi? Wapendekeze watufukuze waone moto wake’’ na kumaliza maongezi kwa kusema ‘’tuna vita kati ya...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM si wamoja, hamna siri. Kumbe kamati kuu yenu iligawanyika pakubwa kuhusu sakata la kufukuzwa Membe?

    Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa. Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya...
  11. JamiiForums Tanzania Kutokea Pemba. Ukaguzi Wa Utekelezaji Wa Ilani Ya CCM

    Wadau
  12. JamiiForums Tanzania Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

    Mwamba wa pande za Kusi, mwanadiplomasia nguli Bernard Membe ameunguruma baada ya kutoswa na CC ya CCM. Ngoma bado mbichi kabisa hii. Kwa undani zaidi, jipatie nakala yako ya "The Citizen" hapo kesho Jumamosi 29 February. , Pia Gazeti la Mwananchi, Februari 29, 2020 limeandika: ======= Dar...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Mkuu mwaka huu unawatesa sana CCM

    Uchaguzi wa mwaka huu unawatesa zaidi CCM kuliko upinzani. CCM wanateseka hasa kuhusu idadi ya wapiga kura watakaojitokeza kupiga kura hasa ukizingatia kua uchaguzi wa serikali za mitaa ilibidi itumike nguvu ya ziada ya wakuu wa wilaya kutisha wanachi kwenda kupiga kura na kutishia kuwakataa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Swali kwa CCM: Ikiwa "makosa" ya Membe, Makamba na Kinana yalihumhusu Magufuli, ilikuwa sahihi kwa Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Kamati iliyowaadhibu?

    Ninaamini CCM wanauelewa msemo kwamba kesi ya kima huwezi kupeleka kwa nyani. Hakutakuwa na haki katika hukumu. Vivyohivyo, Watanzania wote wanaelewa kwamba tuhuma za CCM dhidi ya Membe, Makamba na Kinana kwa namna kubwa zilikuwa zinamhusu Magufuli. Membe siku zote ameonwa kuwa mpinzani na...
  15. JamiiForums Tanzania Membe, Japo Umeonewa, Usifanye Kosa la Lowassa!, Ila CCM ya Ajabu!, Uamuzi based on Illegal Evidence ni Void Ab Initial!.

    Wanabodi, Naomba kulianza bandiko hili kwa kutoa pongezi kwa Kamati Kuu ya CCM kufanya maamuzi magumu. Hata kama mimi binafsi sikubaliani na maamuzi hayo, lakini kitendo tuu cha CCM kufanya maamuzi magumu, hii ni plus traits kwa chama cha Mapinduzi, just being decisive, kwasababu CCM ndio...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere kasema kwa sasa CCM Hainunui TENA wapinzani

    Kada marufu n ategemeo tena genius ndani ya ccm bwana steve mengele katoa kali ya mwaka,soma mwenyewe uone,eti sasa hivi hawanunui tena wapinzani ina maana mashinji hajapewa hata ka sh kumi?madalali kina mzee kijana watakubali kweli?maana mradi mnono ule ati? Yaani hata madiwani wa mbeye...
  17. JamiiForums Tanzania Usaliti ni laana: Elia F Michael awa Mtendaji wa Kata, apigwa marufuku kugombea ubunge kupitia CCM, adhulumiwa hela za usaliti

    Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera Taarifa zilizofichwa zinaeleza kwamba kabla hajanunuliwa aliahidiwa kupewa mil 50 , lakini kwa bahati mbaya mpaka muda huu amelipwa mil 5 tu! == Mgombea Ubunge Buyungu 2018 Diwani wa Kata...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ni hawa hawa Wanamtandao waliomfurusha Shibuda CCM alipotaka kugombea urais 2010 lakini leo wameshasahau

    Chadema mwaka 2010 walimpokea John Shibuda aliyetimuliwa CCM baada ya kwenda kinyume na tamaduni za uchaguzi chamani. Shibuda alipewa fursa ya kugombea ubunge huko Shinyanga na kufanikiwa kushinda baada ya changamoto nyingi zilizosababishwa na mshindani wake kutoka CCM ndugu Kisena. Ni katika...
  19. JamiiForums Tanzania Kufukuzwa Membe CCM: Hakika siasa ni Mchezo kama ilivyo Karata na Draft

    Wanabodi Salaam. Ikiwa taarifa za kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu. Bernard Camilius Membe zikiwa bado zinatikisa mimbari ya siasa Tanzania, nimejikuta ninakumbuka matukio machache kabla ya uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015. Ikumbukwe wakati ule mgombea aliekuwa anapewa nafasi...
  20. JamiiForums Tanzania CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho Amesema uamuzi huo umekuja baada ya taarifa zake ndani ya chama kuonesha mwenendo wake kutoka mwaka 2014 kuwa amewahi kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…