Nilipokuwa naangalia taarifa ya habari Leo nimeona walimu wanaojiita makada wa ccm waziwazi wakisema wako kwenye harakati za kusaidia chama chao.
Kilichogonga haraka mawazoni mwangu ni, inawezekanaje wafanyakazi wa Umma( civil servants) wafanye siasa za wazi( active politics) na bado wakawa...