Kweli Kabisa CCM tunashangazwa kuanzia kesho!

Tila-lila2

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
652
Reaction score
1,058
Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu.

Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku zote ana maadili mema na anawaongoza watu vizuri kiimani, siku ikitokea kambaka muumini wake basi stori itakuwa kubwa sana ya kusemwa ubaya wake huo kulik stori ya mema ambayo ameshayafanya.

TAL anavuta hisia kubwa sana kimataifa hasa tokana na tukio lake la kucharazwa risasi. Nasikitika sana why JPM hakuwahi kusema jambo kulaani kitendo kile na hata kuelekeza kuwa TAL arudi nyumbani na atampatia ulinzi.

Hili linaenda kuharibu sana. Dunian kote hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani watu hujali ubinadamu kwanza. Ona ya George Floyd huko Marekeni - nani aliamini kama watu wanaweza kuwa vile. Nani anaamini hata wanajeshi na Polisi wenyewe kwa kitendo kile wamekilaumu.

Mtu asikudanganye ubinadamu ni kila kitu - ni zaidi ya madaraja, njia za treni, barabara, shule bure na hata chakula! TAL alikosewa kuzingatiwa ubinadamu wake na Serikali hii - kwa kweli hili lina gharama. Maneno yake ya kesho yanaleta historia isiyo ya kawaida.

Huyu bwana tukubali tukatae atabadilisha watu sana. Uchaguzi wa Mwaka huu utakuwa mgumu kuliko yote iliyopita. Najua hataongelea kulipiza kisasi ila ataongelea tu ubinadamu unavyobinywa na umaanani unavyowekwa kwenye vitu. Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani!

Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.
 
Anaongelea wapi?
Huko huko aliko lakini hata kwetu Idukilo, Kishapu, Shinyanga tutamsikia kaka. Usifikiri kuwa jamii yetu bado ipo kwenye remote area kama miaka mitano iliyopita. Kwa sasa ni mawasiliano yanafika kwingi sana. Hata bibi yangu juzi kaoneshwa clip ya George Floyd amewekewa goti huku huku Idukilo na bibi akaumia sana. Fikir nje ya box cop!
 
Kwa maana hiyo Tanzania na watanzania tumeendelea??
 
Utabiri ushaanza... Mijadala kila kona hata kabla ya hotuba... Kila kitu na wakati wake kwakweli... Sijaona kabisa mijadala ya kanisani leo....
Kwa jirani nako kuko kimya kuliko kawaida.. Naambiwa kunafuka moshi
IMG-20200607-WA0098.jpg

Jr[emoji769]
 
Huyu jamaa TAL katika hotuba yake anahutubia kwa Kiswahili na then kwa Kiingereza - maana yake unajua ni nini? Anataka dunia nzima ielewe mambo yale mabaya ambayo pengine yanafanyika Tanzania. Ukweli baya moja tu huweza kuchafua sana sifa ya mtu. Kwa mfano mchukue tu hata askofu ambaye siku zote ana maadili mema na anawaongoza watu vizuri kiimani, siku ikitokea kambaka muumini wake basi stori itakuwa kubwa sana ya kusemwa ubaya wake huo kulik stori ya mema ambayo ameshayafanya. TAL anavuta hisia kubwa sana kimataifa hasa tokana na tukio lake la kucharazwa risasi. Nasikitika sana why JPM hakuwahi kusema jambo kulaani kitendo kile na hata kuelekeza kuwa TAL arudi nyumbani na atampatia ulinzi. Hili linaenda kuharibu sana. Dunian kote hata uwe na uwezo mkubwa kiasi gani watu hujali ubinadamu kwanza. Ona ya George Floyd huko Marekeni - nani aliamini kama watu wanaweza kuwa vile. Nani anaamini hata wanajeshi na Polisi wenyewe kwa kitendo kile wamekilaumu. Mtu asikudanganye ubinadamu ni kila kitu - ni zaidi ya madaraja, njia za treni, barabara, shule bure na hata chakula! TAL alikosewa kuzingatiwa ubinadamu wake na Serikali hii - kwa kweli hili lina gharama. Maneno yake ya kesho yanaleta historia isiyo ya kawaida.

Huyu bwana tukubali tukatae atabadilisha watu sana. Uchaguzi wa Mwaka huu utakuwa mgumu kuliko yote iliyopita. Najua hataongelea kulipiza kisasi ila ataongelea tu ubinadamu unavyobinywa na umaanani unavyowekwa kwenye vitu. Mwenyewe kwa binafsi yangu huwezi kunipa kitu kwa matusi nikakubali hata kama wewe ni tajiri kiasi gani! Kukosekana kwa ubinadamu kumetuharibia CCM, ndiyo maana hata mafly ova ya TAZARA na Ubungo hayajatupa msosi wowote ule na zaidi yake yamezuia nyongeza ya mishahara ya walioko kazini.
Dunia ielewe nini tena? Kama alienda mpaka hard talk ya bbc na VOA na amepuuzwa basi asahau.
Kama yeye anaona kuwekeza ktk mitandao ndio njia sahihi basi Mungu amsaidie..
 
aongee mara ngapi????mbona ashaongea sana huko ughaibuni na tena kwa kualikwa kwenye vyombo vya habari vikubwa, kwa hiyo hakuna jipya

kinachomponza yule dogo ni kiburi na kudhani watu wa huko duniani wana maana na thamani kubwa kuliko hata nchi yake mwenyewe
 
Bila kukubeza, jaribu kufanya hesabu ndogo ya kichwa - ni wangapi wata ona ubinadamu unaousemea na kulinganisha na miundo mbinu iliyo tengeneza halafu wachague Lissu kwa ubinadamu! Nafikiri watakuwa wachache sana.
Ila tusubiri tusikie atatupa nini.
Ila namshauri apunguze jazba, aongee kama anatupenda. Analipenda taifa nasi tunampenda. Lakini akivutia kwa mabeberu yatamshinda kabla haja anza
 
Tuburudike kidogo...tunapigikaaaa, tunasurubikaaaa.....🎶🎶🎶🎙️(na mtapigika hasa katika kipindi hiki).
 
aongee mara ngapi????mbona ashaongea sana huko ughaibuni na tena kwa kualikwa kwenye vyombo vya habari vikubwa, kwa hiyo hakuna jipya

kinachomponza yule dogo ni kiburi na kudhani watu wa huko duniani wana maana na thamani kubwa kuliko hata nchi yake mwenyewe
Hajawahi kuongelea Urais wake utakuwaje! Najua utamfahamu kesho!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom