ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Kilichoiua CCM hadi kuogopa kushiriki uchaguzi wa vyama vingi hiki hapa

    Kabla Magufuli hajakabidhiwa Uenyekiti wa CCM Taifa , chama hiki kilikuwa mali ya wanachama wake , walijianzishia miradi yao kwenye matawi , walijipatia chochote kwa kulinda magari yaliyolazwa kwenye ofisi hizo , wengine walianzisha miradi ya kupangisha wafanyabiashara kwenye baadhi ya maeneo ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbweni: Chadema yamsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM wa mtaa huo anayeishi kwa baba yake kugombea uenyekiti serikali ya mtaa

    Wakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha. Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake. Kiukweli nyakati nyingine...
  3. JamiiForums Tanzania CCM acheni mnayofanya kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wasalaam, Hii nchi si Mali ya CCM ni Mali ya watanzania wote inashangaza na kusikitisha jinsi CCM mnavyochezea amani ya taifa hili. Ni kwanini mnawanyima form wagombea wa vyama pinzani? Mna hofu gani wakati chama kinapendwa na wadanganyika takribani wote? Kwanini mnaagiza watendaji wa kata...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kutumia dhana ya " product life cycle" kwenye siasa CCM na Chadema ziko katika hatua gani?

    Naomba wataalamu wa masoko mnisaidie maana hivi vyama vya siasa vinajiuza kwa kunadi sera zao nasi tunanunua sera hizo kupitia mfumo wa ruzuku. Mimi siyo market researcher lakini nimeona graph moja ikielezea stages katika product life cycle kama R&D, Introduction, Growth, Maturity na Decline...
  5. JamiiForums Tanzania WanaCCM wote Tarime waliohamia CHADEMA na kupokelewa na Heche warudi tena CCM!

    Siku 7 zilizopita kuna thread ililetwa hapa ikitoa taarifa kuwa wanaCCM wote wa tawi la Kiterere kata ya Bumera katika jimbo la Tarime wamejiunga CHADEMA baada ya aliyekuwa kiongozi wa kijiji kwa tiketi ya CCM kukatwa jina lake katika kura za maoni ya kuchagua wagombea kwa tiketi ya CCM. Thread...
  6. JamiiForums Tanzania Kuisifu CCM kwamba inaleta maendeleo Ni makosa

    Ccm inafaidika na watu wa Aina tatu katika nchi hii 1.Wajinga hapa jumuisha wote walioishia la Saba na wasio jitambua toa wachache. 2.Wanaofaidika na mfumo wa moja kwa moja wa kifisadi wa ccm kwa namna iwayo yote. 3.Wanaoogopa kutekwa na kuwawa kumbuka kwasasa ccm ni chama muumiani Hao ndio...
  7. JamiiForums Tanzania Mamluki washindwa kupenya uchaguzi wa ndani CCM

    Uchaguzi wa ndani wa CCM umewaweka kando wagombea wote waliotoka upinzani. Wagombea wote waliounga mkono juhudi wamejikuta wakishindwa kupenya katika chujio la uchaguzi wa ndani wa CCM na kubandikwa majina ya jebehi kama wakuja, mamluki na nk. Uchaguzi wa wenyeviti unatarajiwa kufanyika mwezi...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe sasa rasmi CCM. Huenda akaomba nafasi yoyote 2020 kupitia chama hicho

    Jionee mwenyewe
  9. JamiiForums Tanzania Mjue Raia Muuza mitumba aliyeua CCM Iringa bila huruma

    Ukweli unaozunguka duniani unaonyesha kwamba Ukikataliwa Mjini ni sawa na kukataliwa kila mahali , bali huko vijijini na kwingineko unaweza kulazimisha kukubalika hata kwa kupora ushindi . CCM imekataliwa kabisa Iringa Mjini na vijijini , pamoja na viongozi wakubwa kama Mangula kutokea Mkoa wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kama CCM wataendelea na Urasimu huu, wategemee kupoteza mitaa na vijiji vingi!

    Zoezi la kuchagua wagombea kwenye serikali za mitaa kupitia tiketi ya CCM limekuwa ni mizengwe na vurugu za kujitakia ambazo zimesababishwa na kanuni za uchaguzi zisizoendana na mazingira ya sasa. Mipango waliyobuni ya kuchuja majina ya wagombea na kuyatangaza siku ambayo ndiyo zoezi la...
  11. JamiiForums Tanzania CCM oneni aibu kung'ang'ania viwanja nchini visivyotunzwa

    CCM ni chama kikubwa na kikongwe kinachoongozwa na watu wenye weledi mkubwa. Hivyo CCM hakiwezi kufa au kushindwa kujiendesha kama kitarudisha serikalini viwanja vya mpira inavyovimiliki ili vijana wavitumie. Viwanja vinapoteza hadhi na mpira hauchezeki kwenye viwanja hivyo wakati CCM inayo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Makosa madogo madogo ya CCM yanaweza kufanya mchungaji Msigwa achaguliwe tena hata kama atasimama na RC Albert Chalamila

    Nilishiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 mjini Iringa ambapo ilikuwa ni vuta nikuvute kati ya m2alimu wangu wa Kemia Mfalamagoha Kibassa wa Nccr mageuzi na Dr Hassy Kitine wa CCM. Nilichogundua ni kwamba wanyalu hufanya maamuzi mapema na wakishaamua wameamua.. 1995 pamoja na ujio wa Nyerere...
  13. JamiiForums Tanzania CCM kumenoga, Nabii Tito ndani ya sare ya Chama

  14. JamiiForums Tanzania CCM: Tunayataka mataifa yote duniani yaliyoiwekea vikwazo nchi ya Zimbabwe kuondoa vikwazo hivyo mara moja

    Makamu Mwenyekiti wa CCM BARA ataongea na umma juu ya msimamo wa chama na diplomasia ya kimataifa kutokea Ofisi ndogo za CCM - Lumumba. UPDATE Itakumbukwa kwamba Mkutano wa 10 wa Vyama vya Ukombozi vya Kusini mwa Afrika uliofanyika Zimbabwe tarehe9-12 Septemba 2019 uliazimia Vyama kupaza sauti...
  15. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mchungaji Msigwa kuiteketeza CCM Iringa Mjini , baadhi ya viongozi wa CCM wajiandaa kukimbia

    MSIGWA TENA! Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha kwenye mkutano mkubwa wa Kibunge katika viwanja vya Mwembetogwa tarehe 26/10/2019. Kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni Kama mbunge wako , nitasikiliza kero, maoni na ushauri kabla ya kwenda kwenye mkutano wa bunge, litakalo anza...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa Serikali za mitaa, vijiji, vitongoji muda wenu umekwisha, Je adui yenu ni CCM au Serikali?

    Na Boniface Jacob Senior councillor Jana tarehe 22 October 2019 Wenyeviti wa Serikali za Mitaa,Vijiji na Vitongoji pamoja na Wajumbe wao Wamemaliza Muda wao wa Miaka 5 Tangu wachaguliwe Mwaka 2014 Muda kama huu kwa Mujibu wa Sheria namba 8 na 9 za mwaka 1982 (Sura 288) Kiutendaji jana ndiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally Katibu wangu kama hiki nilichokisikia kimetokea Kawe katika Uchaguzi wa CCM ni kweli, basi kazi ipo 2020

    Kuna watu wangu (wana medani) jirani na Kawe niliwatembelea siku ya Jumapili na wakati huo nilikuwa sijui nini kinaendelea hadi pale wenyeji wangu hao waliponiambia kuwa, ilikuwa ni siku ya kura za maoni kwa wagombea wa nafasi za wenyeviti wa Serikali za Mitaa. Nakumbuka nilikuwa eneo hilo la...
  18. JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru, CCM ilipasuka 2015, hutaweza kuiunganisha kwa kukumbatia wasaliti

    Bado sijajua hasa mwaka ambao Bashiru Ally aliingia kwenye siasa , lakini baada ya kumfuatilia kwa undani nimegundua kwamba huyu ni miongoni mwa WANASIASA WACHANGA SANA ambaye hana uwezo wa kuongoza CCM ya sasa , ameshindwa kujua kama ile CCM iliyofufuliwa na Kinana imekufa na kusambaratika...
  19. JamiiForums Tanzania Kwako Katibu Mkuu wa CCM

    Naomba kuchukua fursa hii kukuandikia katibu wangu juu ya mambo yanayoendelea kujitokeza kwenye kura za maoni za kuwachagua wawakilishi wetu katika nafasi mbalimbali za serikali ya mtaa hapa kata ya makutupora mkoani dodoma. Kata ya makutupora imefanya kura za maoni kwa mitaa minne huku mitaa...
  20. JamiiForums Tanzania Wazee wa CCM na Wastaafu waache unafiki wa kukaa kimya, wamuhimize Magufuli umuhimu wa kuunganisha Watanzania badala ya kuwagawa

    Ndugu Rais, bila shaka umeusoma upepo ulivyo kwa sasa. Ni vizuri, uachane sasa na roho mbaya, kiburi, majivuno, na visasi. Nadhani umejifunza ni namna gani Wananchi wako wengi wanavyokutakia mabaya (kifo), na wapo tayari kufanya sherehe muda wowote iwapo mauti yatakufikia. Iwapo utachagua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…