CCM Iringa: Viongozi wamebeba wagombea Wao

CCM Iringa: Viongozi wamebeba wagombea Wao

busar

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,070
Asalam,

Mchakato wa Uchaguzi unaenda vema sana. Taarifa nyingi njema zinaendelea vema.

Naomba nijikite kwa habari hii iliyokuwepo kitambo lkn imekua kwa kasi katika kipindi hiki Cha uchukuaji form. Kichwa Cha habari kinajieleza vema.

Ikumbukwe Mkoa wa Iringa hasa Jimbo la Iringa Mjini limekuwa na CHADEMA kwa kipindi kirefu. CCM imejipanga kulishinda kwa Sasa. Pia ikumbukwe Mkoa umekuwa na wabunge wachapakazi Kama Mh. Lukuvi, ambae ananafasi kubwa mno ya kushinda tena. Lkn pamekuwa na dosari kadhaa katika majimbo ya Mufindi, Iringa Mjini na Kalenga yanatatizo ambalo Chama kinapaswa kulimulika.

Makatibu na Wenyeviti wamewabeba baadhi ya Wagombea kabla ya mchakato Kuanza ikiwemo kuwaalika katika vikao vya utambulisho katika jumuia na mikutano mbali mbali ya Chama. Lkn zaidi sana ni matukio ya kujiweka waziwazi kuwaongelea Wagombea hao.

Mlezi wa CCM Mkoa Wa Iringa anazo taarifa kadhaa za masuala haya.

Asanteni.
 
Mmekumbwa na Nini ?

Mufindi iko masikini pamoja na utajiri wake,
Iringa Mjini wamejitahidi japo CHADEMA haitakiwi,

Kalenga yuko yule dogo mtoto was marehemu Mgimwa, ambae inasemekana kafanya upumbavu tu. Sasa Kama Bado mtaendelea kuwekewa wabunge na Viongozi mtabaki na umasikini wenu.

Iringa Kama imekufa hivi, bila hivo vyuo vikuu mngekuwa choka mbaya
 
Kalenga leo kulijaa rushwa za wazi, waliopata kura halali ni madaktari Moses Mdede na Aldedatus Mgao. Naamini Chama kitakuwa na taarifa zote.
 
Back
Top Bottom