ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Umaarufu wa "Wajumbe" wa ngazi mbalimbali za maamuzi za CCM waongezeka

    Katika mchakato wa uchaguzi wa awali ndani ya CCM unaoendelea maeneo mbalimbali pameibuka msemo maarufu kuhusu wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi katika ngazi mbalimbali za kimaamuzi ndani ya CCM. Je, wajumbe ni kina nani haswa? Je,roho zao ndivyo zilivyo kama wanavyosemea? Weka neno moja tu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti CCM MARA: Wasaliti na Watoa Rushwa Hawana nafasi ndani ya CCM

    Akiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Pamoja na kushindana sana na Mkapa 95 hakunigongagonga nipotee, alisimama nami

    Rais mstaafu Kikwete amesema jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba mwaka 1988 yeye alipelekwa wilaya ya Masasi kuwa Katibu wa CCM na alimkuta mzee Mkapa akiwa ni mbunge. Kikwete anasema walikuwa marafiki wa kweli hata mwaka 1995 yeye ( Kikwete) alipoburutwa kugombea urais bado alikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Deogratias Nsokolo, Rais UTPC na kada wa CCM ni "kirusi"kwa waandishi wa habari nchini

    Deogratias Nsokolo, Rais UTPC na kada wa CCM ni "kirusi"kwa waandishi wa habari nchini Rais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Deogratias Nsokolo ni kirusi kinachowauwa waandishi wa habari katika mapambano ya kudai haki na ukuaji wa tasnia hiyo kwa ujumla. Rais wa UTPC...
  5. JamiiForums Tanzania Rushwa katika uchaguzi ni mbegu mbaya inayopandwa na CCM

    Nimeanza kuona watu wakitetea tatizo hili la rushwa kwa kusema lete ushahidi. Ukweli ni kwamba nafasi ya wajumbe wa CCM kuamua nani awe mgombea, inatumika vibaya sana! Hawa ni watu ambao hawalipwi mshahara. Wakati wa uchaguzi hutegemea kipato toka kwa wgombea huu ni mtindo ambao umejionesha...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kama David Silinde aliitumikia CCM kwa siri kwa miaka 5 aliyokuwa Bungeni inawezekana sasa anaitumikia CHADEMA akiwa CCM

    Maneno huumba. David Silinde kwa kutamka hadharani kwamba yeye ni "Chawa" kwa miaka 5 aliyokuwa Bungeni alikuwa akiitumikia CCM kwa siri amefungua mlango kwa maadui wa CCM kuweza kumtumia kwa sababu anaweza "kutumika" Binafsi sikutegemea kauli kama hii itoke kwa mwanasiasa kijana, hata hivyo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kura za maoni CCM uligubikwa na rushwa ya kutisha

    Katika jambo lilowashangaza wafuatiliaji wa mchakato mzima wa kura za maoni (Ubunge) CCM, ni jinsi Wabunge au watia nia waliokuwa wanatetea nafasi zao za majimbo jinsi walivyoweza kujipanga mapema katika kuhakikisha wanatetea nafasi zao "by hook or by crook". Mkakati mkuu walioutumia mara hii...
  8. U

    JamiiForums Tanzania CCM ni pagumu mno Profesa J wala Sugu wasingepewa nafasi CCM, FA nenda Kigamboni ACT unatoboa

    Jamani utaratibu wa kupata nafasi ya kugombea CCM Ni mgumu mno kwa mtu wa kawaida na asiyemfanyabiashara mkubwa, pale ni kweli Kuna wenyewe, na fitina , kujuana, family history, rushwa vina husika sana. Mimi naamini huyu Sugu au professor asingepata nafasi ya kugombea ubunge kupitia CCM miaka...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye aliona mbali, siyo rahisi kufuta rushwa CCM ni heri ibatizwe kuwa Takrima!

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye baada ya kuona siyo rahisi kuondoa rushwa kwenye uchaguzi ndani ya CCM aliipa jina jipya na zuri la Takrima. Watu wakapiga sana kelele lakini ndio hivyo hadi leo huwezi kushinda uchaguzi CCM bila kutoa takrima. Mgombea...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hayo malalamiko ya Rushwa kila kona kwenye uchaguzi ndio uhalisia wa CCM

    Mada inahusika sambamba na kinachoendelea kwenye kura ya maoni kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Ndugu Mwenyekiti nadhani umepata picha halisi. Hayo malalamiko ya RUSHWA kila kona kwenye uchaguzi ndio uhalisia. Zile jitihada zako bado hazijafua dafu. Nadhani unazo taarifa za wateule hatua hii ya...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Mgombea wa CCM akiwatoka PCCB wakati akigawa rushwa

    Tangu kura sijui za maoni sijui za nini huko zitangazwe, matukio ya rushwa yalishamiri mno, mchakato huu ulifanywa na Chadema pia ila hatukusikia haya mambo. Video hii ni mtu anayesikika akitajwa kwa jina la Ngeleja akiwakimbia PCCB wakati wakijaribu kumkamata. Wabunge wa style hii kamwe...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo CCM Bernard Membe ametudanganya hana ushawishi mkubwa ndani ya chama, hasira ya CCM ni juu ya wahamiaji.

    Ni dhahiri mh Bernard Membe ametudanganya kuwa ana ushawishi mkubwa ndani CCM jambo ambalo sio kweli. Utulivu ulio ndani ya Chama unatia mashaka na kutufanya wengi tujiulize maswali hiki kinachoitwa team Membe ndani ya CCM kiko wapi? Au ni kwamba wamempuuza? Mbona hatuoni mgawanyiko wa chama...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Sugu na Profesa Jay yalivyowaponza Wasanii na Siasa chakavu za CCM

    Hali imekuwa ndivyo sivyo. Ni vilio na simanzi . Kila kona ni aibu tupu. Wahenga walisema Tamaa mbele mauti nyuma. Au majuto ni mjukuu. Inasemekana kuna tofauti kubwa kati ya wasanii wa tanzania, uganda a Kenya, wachambuzi wa maswala ya siasa na uchumi, utamaduni na maendeleo wanasema kundi la...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kura za maoni UWT ya CCM watia nia ni 252 na wapiga kura ni 263

    Uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu CCM unaendelea katika mikoa mbalimbali na hapa DSM jumla ya akina mama 252 wametia nia na wajumbe wa mkutano wa uchaguzi ni 263. Maendeleo hayana vyama!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mwenyekiti wa CCM ningefuta mchakato wa kura za maoni na kuanza upya

    Mchakato wa kura za maoni ulitawaliwa na vitendo vya Rushwa kwa wajumbe wa mkutano kiasi kwamba aliyetoa pesa nyingi kwa wajumbe ndiye aliyepata Kura nyingi. Kwa mantiki hii, wagombea wote waliofanikiwa kujizolea kura nyingi Ni wale ambao kwa kutumia utajiri wa pesa walionao waliofanikiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Rukwa: TAKUKURU wamekalia kimya rushwa ya Josephat Sinkamba Kandege (CCM), mwaka wa pili sasa

    MBUNGE wa jimbo la Kalambo mkoani Rukwa, Josephat Sinkamba Kandege (CCM) amenaswa na akigawa hela kwa wajumbe wa CCM wa Halmashauri kuu ya Wilaya wa Kata ya Matai na Lyowa tarehe 05.10.2018 7 Oktoba 2017 aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za...
  17. JamiiForums Tanzania Vifahamu "Vichinjio" vinavyowamaliza Makada wa CCM

    Kama nitaonekana sina utu basi naombeni mnisamehe. Haya turudi kwenye mada husika. Je, uliwahi kukutana na kebehi za Makada wa CCM uwapo kazini? Last year nikiwa kwenye shughuli zangu kwenye moja ya wilaya hapa Tz katikati ya Mkutano, "mpuuzi" mmoja akasimama na kututaka kuonyesha kama tuko na...
  18. JamiiForums Tanzania Chama changu CCM tunajitengaje na aibu hii? Gamba limeondoka au limerudi kwa kasi?

    Hapa nazungumzia uchaguzi wa kura za maoni kuwapata wagombea ubunge, rushwa imetamalaki kila mahali.Wajumbe wa mikutano mikuu ya wilaya maeneo mengi wamepiga kura kwa kupewa rushwa sana. CCM tunapenda sana kusema kila kitu au malalamiko yasiwe mitandaoni na badala yake yawasilishwe kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Joshua Nassari: CCM ni limbuyu (mbuyu mkubwa)

    Kijana Joshua Nasari amekiri kwamba CCM ni mbuyu mkubwa (limbuyu). Anasema wakati wote akiwa opposition hawakuwahi kuangusha mbuyu huu. Swali langu ni je, alipokuwa anagombea Arumeru na kushinda alikuwa anakishinda chama gani?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, hizi chaguzi za ndani CCM zimetuletea faida au zina athari kwa mwenendo wa chama?

    JE, HIZI CHAGUZI ZA NDANI CCM ZIMETULETEA FAIDA AU ZINZ ATHARI KWA MWENENDO WA CHAMA? NITOE PONGEZI NA SHUKRANI ZANGU KWA UCHAGUZI WA HAKI, WENYE UTULIVU NA WA BUSARA ULIOTEKELEZWA NA CHAMA CHETU USHAURI WANGU: CHAGUZI WA NDANI: Uchaguzi umekwenda vizuri na wanachama wamefanya Maamuzi yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…