ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Baada ya CCM kuondolewa madarakani Watetezi wake mitandaoni watakimbia na kutoweka ama watajificha

    Hili jambo ndilo litakalotokea. Hawa wote mnaowasoma humu JF na kwingine wakitoka jasho la kwapa kutetea maovu ya CCM bila kujali utu wa binadamu, hawataonekana tena baada ya CCM kuondoka. Hawa si watetezi wa bure, bila shaka wanalipwa. Hii ni kwa sababu hakuna binadamu yeyote mwenye akili...
  2. Ntaipata wapi 'jezi ya CCM- mpya'?

    Hivi hizi jezi zishaingizwa sokoni au bado? Naziona moja moja.. Natafuta kama hizo tatu.. C mnajua 2020 hii?
  3. B

    CCM tawi la Michungwani limetenga sh 1,200,000 kwa ajili ya kumchukulia BERNARD C. MEMBER fomu

    CCM Tawi la Michungwani tumetenga sh 1,200,000 kwa ajili ya kumchukulia Bernard Camelius Membe fomu kwenye uchaguzi mkuu, Mil 1 ikiwa ni ya kuchukulia fomu na laki 2 kwa ajili ya kuweka mafuta kwenye gari lake kwenda kuchukua fomu. - Abuu, Katibu
  4. J

    Sheikh Alhad Musa Salum: Rangi ya Kijani inayotumiwa na CCM ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu

    Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu. Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa...
  5. TAFAKARI: Hivi kweli Mzee Makamba alifika mbele ya kamati ya nidhamu ya CCM na kuhojiwa?

    Ni swali lililoanza kurindima ndani ya vilinge vya siasa za wanaCCM kuhusu kuitikia au kuukacha wito wa kufika kujieleza mbele ya Kamati ya Nidhamu ya CCM kwa wanasiasa wawili ndani ya CCM, yaani Yusuph Makamba na Mzee Kinana. Taarifa ya kufika kuhojiwa kwa wanasiasa hao iliyoambatana video na...
  6. Utekelezaji Wa Ilani Ya CCM. Muonekano Wa Soko Kuu Dodoma. Limejengwa Kwa Gharama Ya Tshs Billion 14

    Wadau. Muonekano Wa Soko Kuu la Dodoma lililojengwa kwa Gharama ya Tshs Billion 14. Tunatekeleza
  7. S

    Maagizo ya Magufuli kwa Halmashauri ya Kigamboni; "Jengeni ofisi ya CCM". Hivi ni mimi nisiyemuelewa Rais au kuna wengine pia?

    Kuna wakati najaribu kumwelewa Raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya Kigamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo...
  8. Mafunzo ya RC Gambo kwa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Arusha yaingia shubiri

    KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) S.L.P 50 DODOMA. YAH: MALAMIKO DHIDI YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA MRISHO GAMBO Mheshimiwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Bashiru Ally, sisi ni baadhi wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, tunachukua fursa...
  9. T

    Hivi kwanini Serikali na wabunge wa CCM mliamua kutukatili wafanyakazi suala la mafao?

    Nasikitika sana kuona serikali inatulazimisha kuwa maskini. Ni ngumu sana kwa mfanyakazi kuwa tajiri kwa kutegemea kuajiriwa. NSSF wanapokea kiasi cha asilimia 20 (10 kwangu + 10 mwajiri) hapo hapo Serikali nayo wanakata kiasi cha asilimia zisizopungua 25 mpaka 30 ya mshahara wangu kama kodi...
  10. J

    Hoja nzito: Sumaye asema CHADEMA badala ya kupambana na CCM kwa Hoja wao wanashindana na polisi ambao hawatawaweza

    Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Pwani na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mzee Sumaye amesema mara kadhaa aliwashauri viongozi wenzake wapambane na CCM kwa hoja lakini walimpuuza. Sumaye anasema CHADEMA wamejikita kushindana na polisi ambao kamwe hawatawaweza kwa kuwa askari wanatimiza majukumu...
  11. S

    CCM semeni ukweli: Kinana na Makamba wameipuuza Kamati ya Maadili Dodoma wakaenda kuonana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM hapa Dar

    Kuna mambo kadhaa ambayo CCM wanataka kutuchanganya hapa. Lakini kama usemi unavyoenda - you can fool some people sometimes but not all the people all the time. Je, Kinana na Makamba wameonana na Kamati ya Maadili ya CCM au wamekutana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM? Tunaelewa...
  12. J

    Prof Lipumba: Tupo tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani kusimamisha mgombea mmoja wa Urais lakini si yule wa CHADEMA atakayetokea CCM

    Mwenyekiti wa CUF Habari Prof Lipumba amesema wao wako tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani kusimamisha mgombea mmoja wa urais. Lipumba amesisitiza kuwa pamoja na yote hawatakuwa tayari kushirikiana na Chadema kama wanangojea makapi ya CCM waweze kupata mgombea. Prof Lipumba...
  13. K

    CHADEMA pumzi imekata, ACT hakiaminiki, vyama vingine havina mvuto. Kwa hali hii watashindana vipi na CCM wakashinda?

    Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2015, vyama vya upinzani hali yake ni mbaya sasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mpaka ninavyoandika hapa na kama hali ikiendelea hivi, Uchaguzi Mkuu wa 2020 upinzani utaambulia anguko kubwa na la aibu la kihistoria. Ni anguko la kihistoria kwa sababu baada...
  14. Gazeti la The Economist: Rais Magufuli na CCM kuendelea kushika madaraka baada ya Uchaguzi Mkuu

    INTELLIGENCE UNIT ni sehemu ya kitengo ndani ya Gazeti la The Economist ambacho hufanya uchunguzi na utafiti wa kisiasa na kiuchumi kwa nchi mbali mbali duniani na kutoa matokeo au matarajio. Kitengo hiki cha kiuchunguzi kina wafanyakazi wabobezi zaidi ya 100 duniani ambao hutoa tafiti na...
  15. Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

    Kamati kuu ya chama cha mapinduzi imemtosa kijana mahili na chipukizi kwenye siasa Bwana Husein Bashe ambaye aligombea kura za maoni ccm kupitia jimbo la nzega na kumbwaga aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Bwana lukas selelii kwa jumla ya kura 14,200 za Bashe,dhidi ya 2700 za selelii,na sababu yao...
  16. Z

    CCM waliojiita wanamtandao bado wanataka kusifiwa nje ya utawala

    Makamba alishika ukatibu mkuu baada ya Mangula. Likaundwa kundi lilioitwa wanamtandao. Wakawatenga wana CCM wengine. Mtu kama Mangula alisahaulika kabisa akawa mtu wa kijijini, Iringa. Nafasi ya katibu mkuu ikawa ni ubingwa wa vijembe, akajisahau na CCM ikakosa umaarufu akiwa hana habari...
  17. R

    Hawa wakiamua kuanzisha chama, CCM kwisha habari yake

    Team hii ikianzisha chama au kujiunga na chama chochote kati ya CHADEMA na ACT, basi CCM itabaki na Jiwe! 1. Membe 2. Kinana 3. Makamba 4. Nape 5. Ngeleja 6. Mwigulu 7. Mwele 8. Maria Sarungi 9.Fatma Karume 10. Wakili Jebra Kombole 11. Kagasheki 12. Profesa Mwandosya..... 13. Kigogo@2014 (though...
  18. J

    Swali fikirishi: Hivi CCM Zanzibar haina Mgombea wa kumshinda Maalim Seif 2020?

    Ningali najiuliza Maalim Seif ni nani huko Zanzibar hadi atungiwe sheria eti asigombee Uchaguzi Mkuu? Nijuavyo Zanzibar ina wanasiasa mahiri wanaofaa kwa nafasi ya urais kupitia CCM ambao watamgalagaza Maalim Seif mapema asubuhi. Labda kama CCM mnataka agombee balozi wajina wa Maalim, hapo kwa...
  19. J

    Tetesi: CCM kuwafikisha Takukuru mafisadi wa mali za chama waliotajwa na Tume ya Dr Bashiru kwenye ripoti yake

    Nimepatata fununu hizi muda si mrefu kupitia makada wawili tofauti lakini bado nazifanyia kazi kujua usahihi na uharaka wake. Mmoja wa watoa taarifa amesema huenda zoezi hili likaendeshwa kimya kimya bila tambo za kisiasa ili sheria ichukue mkondo wake kikamilifu. Niwatakie Dominika yenye Baraka!
  20. J

    Kumekucha: CCM kuwafungia Maisha wagombea watakaokutwa na hatia ya rushwa kwenye uchaguzi mkuu

    CCM imetoa onyo kwa wagombea wake wote wa uchaguzi mkuu kwamba yoyote atakayepatikana akitoa rushwa atafungiwa maisha yake yote kushiriki uchaguzi kupitia chama hicho. Hii ni hatua muhimu sana katika kudhibiti wale wote wenye nia ya kununua nafasi za uongozi. Source Mtanzania Jumapili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…