ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Mgombea urais wa CCM JMT na mgombea mwenza wako niwaombe muvae busara akilini mwenu, huu ni uchaguzi mkuu wa vyama vingi!

    Kusema kweli mgombea urais wa CCM na mgombea mwenza naona wanakoelekea siko, busara zinawatoka kwa kasi ya ajabu. Wameanza kutoa kauli za kuudhi tena zenye kiwango cha juu mno. Kitendo cha mgombea urais wa CCM wa JMT kutoa kejeli kwenye majimbo ambayo yaliongozwa na upinzani ni cha hovyo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM isiwalamishe watumishi kwenda Kwenye mkutano ya kampeni, ilaumu muda waliotumia kununua wagombea wakawasau wapiga kura

    Miaka mitano CCM iliangaika na wagombea na viongoz wa upinzani nakusau kwamba uchaguzi unategemea kura za wananchi kuliko kura za viongozi. Baada ya miaka mitano Leo majimboni kumedoda hakuna kipeperushi wa hamasa ya kampeni na hata wale walionunuliwa nao nguvu ya kuzunguka kukinadi chama...
  3. JamiiForums Tanzania Barua: Kumbe watumishi wanalazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni za CCM na wanachukuliwa majina. Hivi mnawapa nauli?

    Nimekutana na hii barua kwa tweet ya Halima Mdee nimeshangaa kumbe hii nchi siyo huru hata kidogo! Na usipoenda utafukuzwa kazi ama? Maana sijaelewa mantiki yake hata kidogo Tena mnagawana kabisa kuwa wewe ni lazima uwe eneo fulani!
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 TAKUKURU: Ubwabwa wa Hashim Rungwe kwenye kampeni ni Rushwa

    Sasa ni rasmi, ubwabwa kutolewa wakati wa kampeni ni rushwa kwa wapiga kura. TAKUKURU imetamka rasmi kuwa kuwapa watu ubwabwa, wale wanaovutwa kuja kwenye kampeni za Hashim Rungwe, ni moja ya rushwa ili kupata kura. Wengi tumeandika mitandaoni kuwa huyu Rungwe anatuchukuliaje Watanzania? Are...
  5. JamiiForums Tanzania Propaganda za vijana wa CCM za picha za idadi ya watu kwenye mikutano ya Lissu

    Inafahamika kuwa Viajana wa CCM ndio vijana wenye upeo mdogo Sana wa kufikiri katika mambo muhimu yanayohusu nchi na Dunia. Vijana Hawa Ni tofauti na vijana wa nchi nyingine Hapa Afrika na Duniani. Wakati vijana wa vyama vya Upinzani na wa nchi nyingine huwa wanauchungu wa kweli wa nchi zao...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi mgombea wa CCM atafikisha hata 40% ya kura kweli?

    Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja huku akiacha mambo madogo madogo yanayoigusa jamii. Hii kitu itamwangusha vibaya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu jambo hili kuhusu wabunge wa CCM kupitisha sheria zinazotumiiza naomba kila unapoenda na kila katika mkutano wako uliongelee

    Naomba nikiri nimefurahi sana kusikia umeeleza ni namna gani wabunge wa CCM wamepitisha sheria zinazotuumiza wananchi. Kwanini nimefurahi sana? Sababu kubwa ni hii,baadhi ya watanzania wenzetu wanaanza kusahau tabia za wabunge wa CCM na kuwa tayari kuwachagua kisa ni matajiri,watu maarufu,wana...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo CCM ya leo inayopumulia mashine ilipofika

    Naweza sema CCM ya leo inaangamia kutokana na watu wake ama kukosa maarifa,au kutokana na wao kukataa tamaa na sasa wanaamua waende tu hivyo hivyo ili mradi tu bado wana dola mkononi. Kwa maneno mengine,kipimo cha namna gani mambo yao yanaenda vizuru sio tena ni namna gani wanakubalika kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Baada ya CCM kung'olewa madarakani Oktoba 28, IGP Sirro awe wa Ofisa wa kwanza kung'olewa madarakani

    Ni kiongozi wa Jeshi Polisi aliyekosa weledi na asiye na uwezo wa kuona chanzo cha matatizo ya uchaguzi, intelijensia yake ni sifuri kabisa. Pamoja na kufahamika wazi kabisa kwamba chanzo cha matatizo ya kisiasa ya Pemba na maeneo mengine nchi nzima ni uhuni wa Tume ya uchaguzi kupitia...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu kwanini CCM itashinda kwa kishindo

    Wakuu Heshima Kwenu. Kwa hali ya siasa na kampeni zinavyoendelea ni wazi kabisa CCM itashinda kwa kishindo, kwa CCM mpya chini ya Dkt Magufuli CCM imesukwa vya kutosha iko imara na kwa uchaguzi huu CCM itashinda kwa kishindo zipo sababu kadhaa zitakazopelekea CCM kushinda kwa kishindo...
  11. JamiiForums Tanzania Majeshi na watumishi wa Umma hawana makosa kuisapoti CCM, ni maagizo ya Standing Order zao

    TATIZO LA TANZANIA "Standing Order" zote za Majeshi na Utumishi wa Umma zinawataka kuwa wanachama wa CCM tu. 1. Hili ndilo limeniondoa Utumishi wa Umma na ndio sababu WATUMISHI wa Umma wameniwekea Vikwazo vya Kijinga kwa masilahi ya kijinga Sana. 2. Mtumishi lazima uisapoti CCM kwa Kanuni hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa hali aliyonayo Bernard Membe, Kikwete alikuwa sahihi huyu hakustahili kupeperusha bendera ya CCM hata kidogo

    Mhe. Kikwete alikuwa sahihi kukata jina la Membe 2015 kuwa mgombea urais kupitia CCM kwa kweli hana ushawishi wala mvuto wowote kwa watanzania, Kama kikwete angefanya kosa la kumpitisha huyu mtu 2015 Kisha apambane na Lowasa leo tungekuwa tunazungumza Lugha nyingine kabisa kwenye siasa za...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 John Heche aifuta CCM Tarime, hakuna namna Waitara anaweza kuwa Mbunge wa Tarime Vijijini, atavuna alichopanda

    Hii hapa ndio hali halisi kwenye mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Tarafa, Sirari
  14. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bariadi: Mkutano wa kampeni CCM jionee

    Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkono wa beberu Amsterdam, wapinzani kushindwa kuungana umesababisha CCM kukosa upinzani madhubuti

    Ndugu Watanzania wenzangu. Kipekee napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuiona tena siku ya leo. Baada ya kuangalia na kutathimini mwenendo wa kampeni zinazoendelea kwenye vyama vyote, huku nikirejea kampeni za 2015, ni dhahiri kuwa uchaguzi wa mwaka huu, 2020, Chama Cha Mapinduzi...
  16. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ni Mshauri wa Mgombea Urais wa CCM Dkt. Hussein Mwinyi

    Aliyevaa koti ni Azizi Hamid Mahmoud, mtoto wa Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Huyu Azizi ambaye ni Mwanasheria, ndiye mshauri wa kisheria wa Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM. Inasemwa kwamba...
  17. JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa kumtaka mgombea Urais CCM kufanya mdahalo

    Kichwa cha habari chahusika. Hii ni mada maalumu ya kumtaka mgombea wetu wa CCM kufanya mdahalo na wagombea wenzie ili kupima uzito wa sera zao. Hii itatupa fursa ya kuuliza maswali magumu na mepesi kuhusu sera zao. Katika mikutano ya hadhara hakuna fursa ya kuhoji. Hili sio ombi ni lazima...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Mgombea Urais kupitia CCM, zungumzia Tanzania ya Viwanda ulivyoifanikisha ili upate kura za kutosha

    Pombe Magufuli nakushauri usisahau kuwaeleza wananchi kuwa Tanzania ya viwanda kama umeifanikisha, maana 2015 ulipigiwa kura na watu wengi kwa namna ulivyonadi sera zako, hasa iliyonivutia mimi mpaka nikakupa kura ni Tanzania kuigeuza nchi ya viwanda. Sasa hivi sisikii ukinadi umeifanikisha...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

    Turn and watch now. Mgombea Urais wa Chadema Ndugu Tundu Lissu alipata fursa ya kuhojiwa na Mwandishi wa habari Bi. Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kinachofanywa na kituo cha televisheni cha ITV ambapo aliongea mambo yafuatayo: Mwandishi wa Habari: Kwanini unataka kuchguliwa kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Kufanya Afya: Tundu Lissu ameudanganya Umma na kunakili ilani ya CCM kuhusu Afya

    Wasalaamu wanaJF tunaposema tufanye siasa za kistarabu na siasa za kweli tunamaanisha. Ni jambo baya sana kuona baadhi ya wanasiasa wanabakia katika mirengo ile ile ya siasa za ulaghai za miaka iliyopita wakati tupo kwenye nyakati za teknolojia. Mimi ni mdau mkubwa sana unapogusia suala la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…