Uchaguzi 2020 Kata kwa Kata: Daniel Naftari aendelea kuimaliza CCM jimbo la Kwela

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,992
218,924
Mgombea ubunge wa Chadema anayetarajiwa kushinda jimbo la Kwela Mh Daniel Naftari, ameendelea kuelimisha umma, ambapo amewaambia wananchi kwamba kuikumbatia CCM ni sawa na kukumbatia umasikini.

Ametoa mifano hai kwa kuwaomba wananchi hao waangalie umasikini wa kutupwa kwenye majimbo yaliyochangua CCM miaka nenda rudi

 
Back
Top Bottom