Uchaguzi 2020 CHAUMA tunakwenda vizuri. CCM mjiandae kuondoka 28/10/2020

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,564
50,400
Mwenendo wa kampenii wa chama chetu uko vizuri sana. Mpk sasa hakuna hata mgombea wetu mmoja wa udiwani ama ubunge aliyeenguliwa.

Kampeni za mgombea urais zina utulivu mkubwa na zinafanywa kisayansi Sana tena kwa gharama nafuu kabisa.
Watanzania endeleeni kutuunga mkono 28/10/2020 tuiondoe CCM tuboreshe lishe.

Kumbuka:
UBWABWA NI SEHEMU TU YA LISHE tunayoipigania Chauma.
 
Wooyoooo!!!
#2020_Rungwe_president

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Alikuwa anahongwa mabilion na Mabeberu ili awatetee bungeni kutuibia rasmali zetu
Unaelewa maana ya ushahidi?Huo ni ushahidi?Hizo ni porojo za vijiwe vya ghahawa na wala siyo ushahidi!

Thibitisha kuwa Lissu ni msaliti wa nchi
 
Unaweza kuthibitisha beyond reasonable doubt kwa umma wa wana JF kuwa mgombea wa chadema ni msaliti wa nchi au wewe ni mpumbavu tu wa porojo,siasa za maji taka pamoja na majungu?
Ile tu kuungwa mkono na bwana Amsterdam na kukutolea matamko kuhusu uchaguzi, huo ni usaliti tosha.
 
Ile tu kuungwa mkono na bwana Amsterdam na kukutolea matamko kuhusu uchaguzi, huo ni usaliti tosha.
Unaelewa maana ya ushahidi?Huo ni ushahidi kuwa Lissu ni msaliti wa nchi?Yaani niwe na mwanasheria wangu wa masuala ya kimataifa halafu akemee udhalimu wa wazi wa chama cha CCM achilia mbali kukemea udhalimu wa serekali kisha huo uwe ni usaliti wa nchi yangu?Huwa unafikiria kwa kutumia kitu gani?Yaani kukemea udhalimu wa chama cha siasa tayari ni usaliti wa nchi?!CCM siku hizi ni nchi?
 
Chauma hawatoachwa mbali saana na kura za hawa wanyanyembe vibaraka,watazidiwa kidogo sana.
 
Kamwambie msaliti wa Nchi akugawie mabilion aliyokuwa akihongwa na Mabeberu kuisaliti Nchi yetu
Usitoke nje ya mada!Mada yetu inahusu wewe kuweka ushahidi wa wazi hapa kuwa Lissu ni msaliti wa nchi.Nasubiria uweke ushahidi wa wazi hapa kwa sababu mimi siyo muumini wa porojo.Kama ni ishu za porojo kila mtu anaweza kupiga porojo kuwa Magufuli au Lissu ni msaliti wa nchi.
 
Ndio ni msaliti wa Nchi alikuwa anahongwa mabilion na Mabeberu ili kuwatetea bungeni waibe madini yetu

Pia sasahivi ametumwa na robert kwa kupewa mabilion ya kampeni akiwadanganya atashinda Uchaguzi

Usaliti ni laana
Kwa hiyo umezidi kukomaa na porojo?Kama ni porojo hata mimi nazijua sana tu ila ni ujinga,yaani ni kama mimi nianze kudai kuwa Magufuli nae ni msaliti wa nchi kwa sababu ni Mhutu bila kuweka ushahidi.Yatakuwa ni mabishano ya kitoto ambayo sitaki nishiriki.Weka ushahidi kuwa Lissu ni Msaliti wa nchi tofauti na hapo wewe ni mpumbavu.

Nikisema kuwa Magufuli ni msaliti wa nchi kwa sababu ni Mhutu,utakubaliana na mimi?
 
Unaweza kuthibitisha beyond reasonable doubt kwa umma wa wana JF kuwa mgombea wa chadema ni msaliti wa nchi au wewe ni mpumbavu tu wa porojo,siasa za maji taka pamoja na majungu?
Mgombea wa chadema sifayake ni kushabikia mapenzi ya jinsia mmoja, maana yake Chadema sera yao katika Mambo ya faragha ni kuingiliana bila mipaka.
 
Alikuwa anahongwa mabilion na Mabeberu ili awatetee bungeni kutuibia rasmali zetu
Mkuu huu uzi unahusu mafanikio na matarajio ya CHAUMA. Naomba tujikite huko na tutoe ushauri wa kujenga ili tutangaze ushindi aasubuhi ya tarehe 28/10/2020.
 
Wakati Chadema&Act wanawatoa jasho CCM
Chauma wanawatoa jasho Cuf&nccr(mawakala wa CCM)
Ama kweli kila mtu na mnyonge wake
 
Back
Top Bottom