Wanabodi,
Kutokana na majukumu yangu kama Mshauri wa Siasa wa Ubalozi fulani hapa nchini Tanzania , moja ya kazi zangu ni kufanya kitu kinachoitwa "stakeholders mapping", kuwatambua watu muhimu na hii hufanyika kwa kitu kinachoitwa "interactions" hivyo from time to time, huwa nawajibika kuwapo...