ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mafwele awanoa polisi Kata Dar es salaam. Majibu yamepatikana

    Dalili kuu ya mtu mwehu au kichaa ni kuwa mwepesi kuamini. Sisi wahubiri wa Injili tunalijua hili. Ukiita wanaotaka kumpa Yesu maisha yao waje mbele Matahira walioko Karibu lazima waje. Kesho uwanja huo huo wakija wasabato wakiita watu mbele wale wale Matahira lazima wapite mbele. Keshokutwa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watano Kivule wapatikana na kesi ya uchomaji wa Ofisi za CCM uchaguzi wa Oktoba 29

    Wakili Maduhu William ameeleza kuwa kuna mashauri mawili yanayowahusu watuhumiwa watano, ambapo katika shauri la uchomaji wa ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kivule, watuhumiwa wamepatikana na kesi ya kujibu. Aidha, katika shauri jingine la wizi kwa kuvunja na kuiba, kesi imeshindwa kuendelea...
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania CCM ina la kujifunza kwa anguko la Ayatollah Khamenei

    Usiku wa kuamkia Machi 1, ndipo zilisikika habari za kifo cha Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Hossein Khamenei, kufuatia mashambulio ya majeshi ya Marekani na Israel yaliyoanza Februari 28, 2026. Mashambulio hayo hayo yalishatarajiwa kwa sababu Rais wa Marakeni, Donald Trump alishatangaza...
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM wanaposhangaa dhiki na matatizo ya watanzania

    Huwa nacheka Sana CCM wanapokuwa wanashangaa matatizo ya watanzania kama vile ni watu wasioishi ndani ya Tanzania.
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya Idu: Dk Nchimbi amewathibitishia watanzania kuwa CCM inanyanyasa upinzani kwa kutumia mabavu.

    Kuanzia ngazi zote CCM huwa wanatumi mabavu kuleta ghasia na kunyanyasa wapinzani kwa kutumia jeshi la Polisi na mahakama. Angalia zile vurugu alizofanyiwa Heche alipokuwa Igunga. Kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA ambao hawana hata makosa Green guard wa CCM kuwa wanabeba siraha wakati...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Anguko la Ayatollah litachochea Maanguko zaidi ya Madikteta hasa Afrika, CCM jiandaeni.

    Baada ya Kifo cha Ayatollah na kukamatwa kwa Maduro. Uhai wa Serikali za kidikteta dunia utakuwa mfupi sana hasa Afrika Kwa nini naona hali hii? China ambaye anaonekana ni mbadala wa Marekani hakufanya wala kutoa msaada kwa Maduro wala Ayatollah wakati wako kwenye wakati mgumu na hata Silaha...
  7. Adryz

    JamiiForums Tanzania CCM yafurahi Iran kushambuliwa.

    Chama tawala chafurahi Iran kushambuliwa kwasababu watanzania watahamisha mawazo yao kwemye hiyo vita na kuifatilia na kuacha na kusahau yote yaliyopita hasa october 29.
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM Mjifunze kinachoipata Iran

    Israel na Marekani zimeanza vita na Iran kwa kushambulia viongozi wakuu wa Serikali ya Iran, Swali ni wapi huwa wanapata taarifa? Jirani yoyote akitaka kuipiga Tanzania chini ya CCM, atashinda vita kirahisi sana Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wana akili sana. Wamemkataa Jesca Magufuli baada ya kutumiwa na mafisadi wa CCM kama chambo

    CCM mtandao ni wajinga na hawana akili za kuweza kuwadanganya Watanganyika. Walidhani Jesca Magufuli atakuwa bait ili wakubalike kwa Watanganyika. Yuko wapi Humphrey Polepole?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kama Kauli zina Umba Kosa ni Mara Ngapi WA CCM wanafanya Hivyo lakini hatuoni Mashtaka

    Kume kuwa na kauli mbali mbali zanazotolewa na wana siasa hususan wa chichiemu ambazo zina chochea uvunjifu wa Amani na ni kinyume cha sheria, lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa dhidi. Yao, lakini ikiwa kauli inayo karibia na hiyo na haipo kinyume cha sheria, lakini nguvu za dola, magazeti...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Brenda Rupia: CHADEMA hatuitambui Tume. Haiwezekani Mwenyekiti wa CCM awe kiongozi alafu aliowachagua watoe msimamo tofauti na alioutarajia

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo na wanahabari Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia amesema kuwa CHADEMA hawaitambui tume ya kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 kwani imejaa CCM na hata aliowachagua hao walioko kwenye tume ni Mwenyekiti wa CCM
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Evance Kamenge: CCM ikiacha misingi ya kuanzishwa kwake itatoka madarakani

    Evance Kamenge, Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema “CCM ikitoka kwenye misingi ya kuanzishwa kwake itatoka Madarakani, naoingana na aliyesema CCM itakaa madarakani Milele huo ni uongo”
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Pascally Mayalla wa jf, na ccm mtaka teuzi alifilisiwa na Hayati Magufuli kisa kumuuliza swali chokonozi, je Samia atamfanyaje baada kumwambia Lisu...

    Pascally Mayalla ALIPEWA free pas ya IKULU siku Magufuli anaongea na vyombo vya habari kutoka Kwa rafiki yake Gereshoni enzi hizo, kilichojili baada kuingia IKULU hakikuwa TU balaa kwake Bali ndo ulikuwa mwisho wake wa KUPIGA fedha za serikali kupitia vyombo vyake na kile kipindi chake cha...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tabia yako mbaya kwa mumeo ndio italeta mwanamke mwingine.. wanawake wa nje huondoa udhaifu wa wanawake wa ndani

    SHALOM WANA WA MUNGU ALIE HAI TABIA MBAYA KWA MUMEO NDIO INALETA MWANAMKE MWINGINE KWENYE NYUMBA YAKO MPENDWA ULIEOLEWA MUMEO AKITOKA NJE SHETANI ATAITUMIA KUPATA MWANAMKE AMBAE HANA HIO TABIA UNAYOMFANYIA MUMEO NDANI eg Mwanamke anaemtukana mumewe shetani anamfanya kumkutanisha na mwanamke...
  15. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Paschal mayala ni Chawa aliepandikizwa na CCM kwa kigezo cha uhuru wa vyombo vya habari

    Huyu jamaa hana tofauti na akina mwijaku na wengine. Wana JF huyu jamaa amepandikizwa na kulipwa ili kumsifia Samia huku JF Tukae nae mbali hana uzalendo na taifa hili ni mnafki
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vitisho vinavyotolewa na kundi linalojiita 'Tanzania Freedom Fighters (TFF) visichukuliwe poa. Hofu inatanda, mimi nina ushuhuda!

    Hali ya usalama imeanza kuzua wasiwasi kwa baadhi ya wananchi kufuatia taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kundi linalojiita TFF (Tanzania Freedom Fighters). Taarifa hizo zinadai kuwepo kwa vitisho vinavyolenga baadhi ya viongozi wa CCM hususan wa ngazi za chini katika jamii pamoja na polisi...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mwanyekiti CCM Tanga, Rajab Abdurrahman: Wakati wa uchaguzi, CCM haina masihara katika kutafuta dola

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajab Abdulrahman Mwanyejiti, amesema kuwa katika kipindi cha uchaguzi, CCM huwa haina masihara katika kutafuta dola. Amesema kuwa wanahamasishwa na kazi inayoendelea kufanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye anaongoza Serikali ya CCM...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea ni kubaya, vikundi vya uasi vinakiri kuhusika na mauaji ya mwenyekiti wa CCM na polisi, hii sio tamaduni yetu watanzania, this must stop

    Kama unatumia mitandao nadhani umewaona TFF (Tanganyika freedom fighters) wanakiri kuhusika na kumkata kata mapanga mwenyekiti wa CCM kijiji cha mkoani Mbeya na kumshambulia polisi hadi kifo. Sikuwahi kufikiria hata siku moja tutafikia huku na cha kushangaza nimesoma baadhi ya comments...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kitongoji (CCM), amweleza Waziri Mkuu Anahofia Kutekwa-Kuuwawa. Amtaja Mkuu wa Wilaya

    Mwenyekiti wa Kitongoji (CCM), Amweleza Waziri Mkuu Anahofia Kutekwa-Kuuwawa. Adai ameanza kusakamwa baada ya kuzuia miti kukatwa kinyemela huko Machemba, Muheza. Mwenyekiti huyo ameeleza yote hayo Katika ziara ilifanyika leo Februari 16, 2026, na Waziri Mkuu- Mwigulu Nchemba huko Muheza Tanga.
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM: Watanzania hawawezi kutambua mambo mabaya

    Zama zetu wakati tunajifunza matumizi ya Lugha ya kiingereza, kuna msemo wengi wetu tuliushika kirahisi na kwa haraka mno. Msemo huo ni "vice versa is true" Matumizi ya huu msemo yalishika kasi na yalifanyika kwenye kila maelezo bila ya kujua kwa kina mantiki ya msemo wenyewe. Leo hii...
Back
Top Bottom