ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    JamiiForums Tanzania CCM tuache kuvaa sare kwa kuvizia, tutembee vifua mbele kama awamu ya 5!

    Kuna baadhi ya wana-CCM wana tabia kama za Madereva na Makondakta wa Daladala wanaovaa sare kwa kuogopa askari na si kwa kuipenda kazi yao. Kanuni zinasema ni lazima kuvaa sare wakati u napotekeleza majukumu muhimu ya chama. Msiwe kama Chadema waliotupa yale magwanda yao ya kikamanda.
  2. JamiiForums Tanzania Usinipunje, Nisikupunje, Tusipunjane- Kenani Kihongosi

    Leo Katibu Mkuu wa Umoja Wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Kenani Kihongosi alikuwa Mkoani Geita kwenye muendelezo wa kampeni ya Sensa na Vijana. Kampeni hiyo ilifunguliwa Mjini Dar es salaam kwa kauli ya kufanyika nchi nzima na sasa imetia nanga kwenye mikoa ya Kanda ya ziwa. Maudhui na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bunge lichukue hatua kwa kauli ya kejeli ya Waziri Makamba ya kuita wawakilishi wetu upuuzi mtupu

    Nimefuatilia mjadala mkubwa wa Waziri wa Nishati kutumia lugha za kashfa kwa Mamlaka iliyokuwa inahoji kuhusu kuchelewa kwa Bwawa la Julius Nyerere pamoja na tatizo la kukatika kwa umeme. Sote tunatambua hoja hizo ziliibuliwa bungeni na Kamati za Bunge za Nishati na Madini pamoja na Kamati ya...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM mmeamua kutusaliti wananchi, Tunaenda kukumbwa na njaa kubwa hali ni mbaya

    Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao. Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki. Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje ya nchi sisi hatupati. Imefika hatua sasa hivi mabwenyenye wananunua mzigo bado upo shambani...
  5. JamiiForums Tanzania Dola ya marekani inaanguka katika mikono ya Biden kama ccm ilivyotaka kuanguka 2015 katika mikono ya Kikwete

    Salama wandugu, Ikumbukwe Kwanza kwa Nini Dola ya marekani ina nguvu katika biashara ya kimataifa, Katika ajenda za muasisi wa Taifa la marekani George Washington ya Kwanza ilikuwa kuifanya Dola kuwa na nguvu duniani yaani hata Kama wewe unataka kuuza viazi mbatata katika soko la dunia utauza...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Shaka akagua miradi Pemba, aahidi CCM itawalinda Wabunge ,Wawakilishi na Madiwani

    SHAKA AKAGUA MIRADI PEMBA, AAHIDI CCM ITAWALINDA WABUNGE ,WAWAKILISHI NA MADIWANI. KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amekagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kisiwani Pemba na kuwahakikishia wananchi kuwa Chama kitaendelea kuwalinda...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ombi langu kwa CCM ni waonee huruma Wananchi kwa kuchagua viongozi waadilifu

    Habari wana JF, Binafsi sijawahi kuwa Mwanachama wa CCM na ni ukweli usipingika kwa Hiki Chama kutoka madarakani itakuwa Ngumu sana sana kuliko tunavyofikiri Sasa hivi kwa hali ilivyo sio rafiki sana kama ilivyo kwa tawala zilizopita za CCM pesa zetu zinapotea sana na raslimali zetu zinapotea...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Januari Makamba agawa mitungi 300 ya gesi kwa kina mama wa CCM Mkoa wa Mara

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia. CHANZO: GAZETI LA...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bashe afuata ushauri wa Mpina aurejesha mfumo BPS kwenye Mbolea, vyombo husika vichukue hatua kwa Bashe kulidanganya Taifa

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram Waziri wa Kilimo Leo Julai 13, 2022 amekutana kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa kujadili maeneo ya ushirikiano kwenye IDA20. Pamoja na mambo mengine Bashe amesema mazungumzo yao pia yamegusia Swala la bei ya...
  10. JamiiForums Tanzania Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Hai punguza kupokea rushwa kipindi hiki cha uchaguzi wa chama

    Kwa masikikito makubwa na kwa kilio kikubwa tunakuomba uheshimu chama cha mapinduzi. Umekuwa ukipokea rushwa kwa wagombea wote wanaochukua na kurudisha fomu za jumuia ya wazazi wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro. Bila aibu tena kwa kujiamini. Umekatisha tamaa wanachama wa jumuia ya wazazi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ukimtoa Askofu Gwajima ni Mbunge gani mwingine wa CCM anayeweza kujaza Watu kwenye Mikutano yake?

    Nimehudhuria mara tatu Mikutano ya mbunge wetu wa Kawe Askofu Gwajima kiukweli mahudhurio huwa ni makubwa sana. Je, ni wabunge wote wa CCM huko majimboni hupata mahudhurio mazuri kama ya Gwajima? Kwa mfano Iringa mjini sijawahi kusikia mbunge kaitisha mkutano.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nimeupenda huu mfumo wa Rais Samia kuwatumia Wakongwe Prof Kabudi, Mkuchika, Lukuvi na Wassira kwa Kazi maalumu. CCM sasa haina mshindani!

    Huu utaratibu ni mzuri sana. Kwenye mambo ya kimataifa na mikataba nyeti unamkuta Prof Kabudi Ukija kwenye Ulinzi na Usalama unamkuta mzee Mkuchika Utawala wa ndani unamkuta mzee Lukuvi Kule kwenye Siasa za Maridhiano utamkuta Nguli la siasa za Bongo Komredi Wassira Mungu wa mbinguni...
  13. JamiiForums Tanzania CCM: Majizi Msimchukulie poa Rais Samia

    Na Romana Mallya CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mtu ambaye hatakiwi kufanyiwa masihara wala mzaha katika kulinda rasilimali za nchi hii ni Rais Samia Suluhu Hassan,Wale wanaomchukulia ‘poa’ wajaribu waone, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi na CCM ndio vyama pekee vyenye Uwezo wa kupewa Nchi, Watanzania msidanganyike

    Habari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi . Hivi vyama vina sifa kuu Moja na Vyama vya wananchi tofauti vyama vingine ni vya mtu au kikundi Cha watu hivyo ni Hatari...
  15. JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo fuatilia tuhuma hizi za CCM kata ya Wazo mkoani Dar es Salaam

    Zipo tuhuma za ufisadi mkubwa wa kuuza VITALU 48 vya kujenga vibanda vya biashara kwenye eneo la CCM Kata ya Wazo lililopo jirani magereji Tegeta Wilayani Kinondoni. Wanaotuhumiwa kushirikiana kufanya ufisadi huo ni pamoja na Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Bwana James Mgego na viongozi wa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid Mohammed: CCM haina uwezo wa kushinda uchaguzi ulio huru Zanzibar

    ..Msikilizeni ktk mahojiano haya.
  17. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Katiba Mpya sio Agenda mpya kwa CCM, Wenye Agenda ya katiba mpya ni CCM

    Katibu wa halmashauri kuu ya Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema, " Agenda ya katiba mpya sio ngeni ndani ya CCM, na wakati wote ni CCM ndio imeratibu maswala yote, " Aidha kiongozi huyo wa juu kabisa wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania amewataka Watanzania kufahamu kuwa CCM ni...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Karia utajuta kama CCM-DSM, Manara si wa mchezo mchezo

    Picha linaanza jana habari zilitoka kwamba fainali ya super cup kati ya berkane na wydad itafanyika dar es salaam lakini baada ya CAF kupata habari kwamba kipenzi cha wapenda soka afrika kinataka kufungiwa na Karia wakageuza kibao sasa mechi hiyo itapigwa moroko Hilo ni onyo ukimgusa tu gwiji...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

    Wanabodi, Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni. Serikali ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuja kuifuta CCM na kumbukumbu zake zibaki katika vitabu vya historia tu

    Habari wana JF ,hivi kuna haja gani kwa Chama kushika Nchi zaidi ya miaka 45 na bado nchi nzima kukawa bado ukosegu wa Huduma za Msingi kama Maji safi ,Afya na miundombinu mibovu kwa Nchi yenye Utajiri wa kila kitu ? Hiki Chama ambacho kina :- 1. Mafisadi 2. Kina watu wanajiita wenye Chama 3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…