Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
The Taliban wants its envoy to address the annual United Nations General Assembly’s high-level meeting of world leaders this week, a UN spokesman said on Tuesday, raising the question of who should represent Afghanistan in the intergovernmental organisation.
The Taliban, which captured power on...
Dkt. Slaa ndiye mgombea pekee mwenye sifa zote za kuwa Rais, kuwahi kugombea kupitia CHADEMA
FREEMAN MBOWE walimjaribu 2005 wakaona hamna kitu ndio maan 2010 wakamuweka kando na kwenda na Slaa. Slaa ndiye Mchadema pekee aliyekuwa na kila sifa kuwa Rais.
2015, Lowassa akawatembezea fedha...
Samia ni Rais na pia ni Mwenyekiti wa CCM. Hivyo chochote kinachofanywa na Serikali au CCM, kinamgusa moja kwa moja.
Kwa upande mwingine, sura ya CCM na Serikali, inabebwa na aina ya viongozi waliopo (serikalini na kwenye CCM), watu wanaoitetea na kuisifia kwa kila jambo serikalini na kwenye...
CCM Ina Wanachama Zaidi Ya Millions 9 Lakini Bado Kwenye Uchaguzi Wanaiba Kura; Hii Inaniambia Na Kunipa Maana Ya Kwamba Mioyoni Mwa Hao Wanachama Huenda Wapo Nao Physically But Mentally Ni Wapinzani😇👐🏿🇹🇿
Wengi Tupo CCM Sio Kwamba Tunakipenda Chama Na Mambo Yake. Hapana Tupo ndani Ya Chama...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wakala wa chakula NFRA kuweka utaratibu mzuri ili kumaliza sintofahamu iliyopo juu ya ununuzi wa mahindi Manispaa ya Songea kwa kuhakikisha wananchi wote waliokwisha kuorodheshwa Mahindi yao yananunuliwa pamoja na kuongezwa kwa kituo kimoja cha ununuzi wa...
Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe.
Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa...
Mada yangu iko wazi wazi.
Naomba wajuvi wa mambo ya haki na umiliki, bila mahaba ya kisiasa waniweke sawa. Hivi mali zilizopatikana kwakuwakata tozo na kodi na ushuru, raia wote wakat wa chama kimoja cha CCM leo hii kwa nini wazimiliki raia wa chama kimoja?
Hapa namaanisha majumba, viwanja...
Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza vyama viingine vya kisiasa.
Kama CCM wanakagua utekelezaji wa Ilani yao, ni kazi ya upinzani pia...
Ni wakati muafaka Vyama vyenye ushawishi mkubwa kwa wananchi wajiwezeshe na kujipanga ili kuishataki CCM katika Umoja wa Mataifa.
Tunajua ipo kesi au madai ya WaZanzibari kudai nchi yao ambayo yamefikia mahala pazuri,ila hilo halitoshi kuona haki za binadamu zinakiukwa na wananchi wengi...
Ninasikitika sana kunona umeingia chaka kua na msemaji wa serikali ambaye ima kwa makusudi mazima anapotosha umma au hajui anachokifanya. Gazeti la Rais mwema kuandika eti "HAMZA WA CCM" wananchi walishindwa kuthibitisha?
Huyu Hamza si alijenga ofisi cha Chama huko Chunya? Mnataka uthibitisho...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Miaka 22 imepita sasa tangu Baba wa Taifa atutoke, Tanzania imeendelea kuwepo na hakika itaendelea kuwepo sana. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa rais wa kwanza wa Taifa letu aliacha hazina ya maongozi na mawazo chanya yenye...
Habari wakuu.
Baada ya kusoma kiarticle fulani, nimeona kitu hiki.
Tawala nyingi huanguka kutokea ndani. Si kitu rahisi watu kutoka nje kuangusha utawala ambao upo established. Mfano ni Rais wa Misri Mubarak, alianguka baada ya majenerali kuacha kumuunga mkono. Mambo yanayoweza sababisha watu...
Kuna mgomo na mpasuko ndani ya ccm, labda hawakubaliana na aina ya viongozi waliopo kwenye chama au wengi wamefunikwa na mapinduzi yakiutawala yaliyofanywa na mama awamu ya sita.
Hakuna anayejadili habari za mama positive isipokuwa viongozi wa kitaaifa na wakiondoka jukwaani wanarudi kulekule...
Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi.
Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm wenzake. Kumbe kwa miaka mitano alikuwa kauzibe wa mikakati yao ya kuwadhulumu na kuwanyonya wanyonge...
Mama naamini katika chanjo na Lisu pia anaamini katika chanjo.
Mama anaamini sana wazungu, Lisu pia wazungu kwake ni kila kitu.
Mama hajawai kuwa na bifu na Lisu, na Lisu pia hajawa kuwa na bifu na mama.
Mama hajalala sana au kabisa katika dini, Lisu pia hana historia ya kugusa kanisani.
Mama...
CCM YASHUSHA MAELEKEZO MAZITO BANDARI YA MTWARA
Ijumaa Sept 17, 2021.
"Pamoja na uwekezaji huu mkubwa wa takribani bilioni 158.8 za kuboresha bandari hii ya Mtwara ni ajabu haitoi huduma kama ilivyokusudiwa" shaka Mwenezi Taifa
"Sababu ikiwa ni urasimu na hata hujuma zinazofanywa na baadhi...
Hayo yamesemwa leo tarehe 17 Septemba, 2021 na Katibu wa Halmashuri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akiwa Wilayani Mtwara ikiwa ni muendelezo wa ziara ya wajumbe wa sekretariet inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo.
"Wananchi hawana matarajio mengine kwa...
Hakuna akaunti yoyote ya mitandao ya kijamii inayomilikiwa na serikali, Wana CCM na Watumishi wa serikali ambayo ipo active kwenye mijadala na inayopata usomaji na uchanguaji wenye afya.
Wakati huo huo tunaambiwa wananchi wengi na watu wengi walioelimika na kuwa na uwezo wa kifedha wapo...
Salaam Wakuu,
Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua.
James...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.