ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM yamulika wanaojipanga kwa Urais mwaka 2025

    Wakati baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakitaka makada wenzao waendeleze utamaduni wa chama hicho wa kutochukua fomu za kuomba uteuzi wa urais ndani ya chama hicho mwaka 2025, baadhi wanataka utamaduni huo usitishwe ili kuwa na ushindani zaidi. Licha ya hoja hiyo kutozungumzwa...
  2. JamiiForums Tanzania Funzo uchaguzi wa Kenya: Wananchi wamechagua uchumi badala ya mabadiliko ya vifungu vya katiba, CCM wako njia sahihi ya kujenga uchumi

    HANDSHAKE kati ya Raila Amolo Odinga na Uhuru Kenyata ililenga kufanya mabadiliko makubwa ya kikatiba ili kuweka vyeo, pamoja na mambo mengine mengi. William Rutto aliwaambia wakenya kwamba shida yao sio katiba nyingine, shida yake ni kukomboa mama mboga na mtu wa bodaboda, kwamba shida ya...
  3. JamiiForums Tanzania CCM yashangazwa na urasimu wa mifumo kutumika kama utetezi wa miradi ya maendeleo kutotekelezwa kwa wakati

    Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameonesha kukerwa kwake na tabia ya fedha ya miradi ya maendeleo kucheleweshwa kwa kisingizio cha urasimu wa mifumo ya ulipaji kutofunguka kwa muda mrefu jambo ambalo linakwamisha baadhi ya miradi utekelezaji wake kuenda kwa kasi na haraka kama...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Tundu Lissu kuandaliwa kuiondoa CCM 2025 madarakani?

    Habari wana Jf, kwa mara ya kwanza nimejikuta nasikitishwa sana na umasikini na ugumu wa maisha unaoendelea kuongezeka huku kukiwa hakuna suluhisho la kueleweka Kutoka CCM. Nimewaza sana na kujikuta naona Tundu Lissu ndiye anaonekana mtu pekee kwa sasa mwenye ushawishi na uwezo wa kuongoza...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ushindi wa Ruto ni pigo kwa CCM, wajiandae kisaikolojia

    Najua ninachoandika wale wa low IQ hawataelewa, Ruto alisimama, akamwamini Mungu, wakajaribu kufanya waliyotaka kuyafanya, hatimae haki imeshinda dhidi ya udhalimu. CCM next time msiingilie mambo ya watu
  6. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO CCM - Mkoa wa Ruvuma wapokea rushwa kukata majina ya wagombea

    Makao Makuu ya CCM - DODOMA, Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM. Mfano wa wazi: Kuna idadi ya watu waliojitokeza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa ruvuma na miongoni mwao yupo anayemaliza...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msikilize "Chawa" per se wa 2022, CCM vituko!

    Jionee vituko vya machawa "Sijapata kuona haki ya Mungu! Awamu ya sita imemwaga mahela mengi ya maendeleo haijapata kutokea tangu nimekuwa senator wa bunge hili, haki ya Mungu! Zimemwagika hela za maendeleo mpaka natizama nasema; mama Mungu akujaalie sana."
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mpina ajitosa kuwania Ujumbe Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)

    MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kupitia kundi la Viti 15 Tanzania Bara. Mpina amechukua na kurejesha fomu hiyo leo Agosti 10, 2022 ikiwa ni siku ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona kinachoendelea uchaguzi Kenya, thinking ya UCHAWA CCM nilitegemea ibadilike, kuondoa mawazo ya utwana na utumwa wa kumuona Rais Mungu

    Tuna mengi sana ya kujifunza Kenya na uchaguzi wao. 1. Uwazi 2. Uhuru wa media zao 3. Incumbent president Uhuru hana kauli yoyote kuhusu uchaguzi 4. Katiba yao inaruhusu haya yanayotokea 5. etc etc etc Summary nzuri ameifanya Askofu Bagonza kama ilivyo hapa chini! UCHAGUZI MKUU KENYA...
  10. JamiiForums Tanzania CCM kama nyie ni wapenda haki, naomba mfute matokeo ya chaguzi zenu zote za mwaka huu kwasababu zimejaa rushwa 100%

    99.9999% ya wote walioshinda, wameshindwa kwa nguvu kubwa ya rushwa(kuhonga) kwa wajumbe na siyo nguvu ya kura za wajumbe makini. Rais Mstaafu Kikwete ameteuliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa kiongozi wa uangalizi wa uchaguzi mkuu nchini Kenya na huku nyumbani mimi GENTAMYCINE niliamua...
  11. JamiiForums Tanzania Mtu huyu akisimama na mgombea wa CCM mwaka 2025, ni lazima CCM tuangukie pua

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF wenzangu na watanzania wenzangu, ili chama cha CCM kiweze kushindwa katika uchaguzi mkuu wa 2025 au 2030, yanahitajika mambo matatu. 1) Kwanza: kinahitajika chama imara cha upinzani...
  12. JamiiForums Tanzania Mtangazaji Twalibu Muwa Kujitangaza 'On Air' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika Chaguzi za CCM. Inaruhusiwa kimaadili?

    Ni Mtangazaji ambaye ukiwa Unamsikiliza tu utagundua kuwa Kwanza ni Mswahili Mswahili. Ni kwamba jana alipoingia (alipoanza Kipindi cha Michezo) cha Sports Headquarters cha EFM Saa 3 Kamili za Asubuhi alianza na Mbwembwe zake za Kishamba na 'Kujimwambafai' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika...
  13. JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa Kilimanjaro, Yasin Lema anaharibu uchaguzi wa CCM Jimbo la Hai

    Kwa masikitiko makubwa Tena Kwa huzuni kubwa Mzee Yasin Lema mkazi wa Hai Kilimanjaro na ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ameandaliwa/amejiandaa kuharibu majina ya wagombea uongozi ngazi ya wilaya kwenye kikao cha kupitisha majina mkoani kupitia kamati ya siasa ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo

    Kuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!. Hao wenye moyo ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu. Tangu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amekufa na Azimio lake la Arusha lililoweka miiko ya uongozi, sifa ya uongozi wa umma enzi za Mwalimu ilikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania ccm na mirangi rangi Yao (njano, white Red) imefanya niichukue Yanga na Simba

    Nashindwa kuwachukia watu Kwa sabab ya humanity...Ni hayo tu na Uzi tayari
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini unakiuka Katiba ya CCM na Kanuni kwa maslahi ya nani?

    Habari watanzania na wana CCM, Kwa sasa wana CCM wote wanafahamu zoezi linaloendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi ni Uchaguzi wa VIONGOZI wa CCM ngazi mbalimbali, na hivi karibuni uchaguzi umemalizika ngazi ya Kata. Katika hali ya kushangaza kuna baadhi ya Wanachama ambao ni wafanyakazi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga wakome kuwaalika CCM kwenye michezo

    Hakukua na umuhimu wowote ule kumfanya Mzee Kina ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM kuwa Mgeni rasmi kwenye kusanyiko lenye Watu wenye itikadi tofauti za Vyama. Wamevuna walichostahili. Saafi kabisa Yanga kama Mandonga tu
  18. JamiiForums Tanzania DG Chongolo: Wasaliti wote watoswe CCM

    Chongolo: Wasaliti wafukuzwe CCM. Imeelezwa kuwa usaliti ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ndiyo chanzo kikubwa cha matokeo mabaya kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo alipokuwa akizungumza na wanachama wa chama hicho...
  19. JamiiForums Tanzania Haya Magari yenye Bendera za CCM yanayoendeshwa bila kufuata sheria wahusika wakanywe

    Mimi ni mkereketwa wa CCM , mfurukutwa kada kindaki ndaki na mwanachama pia, hii tabia ya magari yanayopeperusha bendera za Chama kuendeshwa hovyo hovyo kwa kasi bila kujali sheria za barabarani haipendezi. Ipo siku italeta balaa na siku sio nyingi. Mfano majuzi pale gari moja ya kiongozi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025: Tume huru ni muhimu kuliko Katiba mpya?. (Katika mtazamo wangu)

    Utawala bora unajengwa kwa kuwa na katiba imara na madhubuti, inayoendana na wakati. Katiba yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ni miongoni mwa katiba kongwe ambayo pasi na shaka yako mambo kadha wa kadha yanayohitaji mabadiliko ya haraka sana. Hili linajidhihirisha kupitia mapendekezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…