ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Zitto hujawahi kuwa na siasa za engagement. Unatumika na CCM kuhujumu watanzania. Record zipo

    Tunajua unalipwa na CCM kuhujumu maisha ya watanzania. Ndio maana hata hko nyuma ulikamatwa live ukila milungula ili kuhujumu watanzania. Hutaki CCM iondoke madarakani Hizi porojo acha kutuletea 👇
  2. JamiiForums Tanzania Lema, hii siyo kuomba Asali CCM kiaina?

    Godbless Lema, kwa tweet yako hii nimelazimika kuamini kwamba baada ya kugundua kwamba kuna maslahi yanakupita na huwezi kumhoji Mwenyekiti wako, na kwasababu unao uhitaji mkubwa wa mapene ni rasmi sasa umemuomba katibu mkuu wa CCM Ndugu na komredi Chongolo akukumbuke pindi utakapofika nchini...
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Viongozi wa CCM wanahuruma sana kwa wananchi wasiojiweza; hutembelea masikini na kuwatia moyo

    Hapa anaonekana Mbunge wa Chalinze na waziri mdogo wa ardhi akiwatia moyo wananchi wake. CCM wapo vizuri. 👇
  4. B

    JamiiForums Tanzania Watendaji CCM jukumu la kwanza ni kusifia sifia

    Haya ndiyo maajabu ya serikali za CCM. Zote baba mmoja, mama mmoja. Ukisikia mtendaji au waziri kuwa ni mzalendo au mchapakazi kweli kweli, basi ujue hapo huyo kawazidi wenzake kwenye ile sifia sifia kama kigezo #1. Kigezo #2 kipo kwenye kuwakamua wananchi kwa maslahi ya aliyeko kwenye kiti...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni kibaraka wa CCM kujinasibu kuwa ana mkakati wa kuwasaisldia watanzania ni utapeli wa kisiasa

    Kibaraka wa CCM aweze kuwasaidia watu dhidi ya CCM? Haiwezekani. 👇
  6. JamiiForums Tanzania Nukuu za Viongozi wa Sekretarieti ya CCM mkoani Tanga

    NUKUU ZA VIONGOZI WA SEKRETARIETI YA CCM HANDENI MKOANI TANGA. Baadhi ya #NUKUU Hotuba ya Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia E. Mjema na Katibu wa NEC, Idara ya Organaizesheni Ndg. Issa Haji Ussi (GAVU) wakati wakizungumza kwenye ukaguzi wa Jengo la huduma za Mama na Mtoto...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ujanja ujanja wa Serikali ya CCM katika Picha

    Hii ndiyo serikali yetu kwenye ubora wake: Kwa mtaji huu kuna haja ya kuziangalia upya zinazoitwa siri za rerikali. Pia Kuna haja ya kukiangalia upya kinachoitwa "collective obligation" kwenye kuitetea serikali.
  8. JamiiForums Tanzania Kikokotoo cha retirement ni utekelezaji wa ilani ya CCM

    Maamuzi yanayopitishwa na Baraza la Mawaziri ili kuwa sheria ni muswada unaopitia michakato mingi ndani ya serikali. Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri ndiye Mwenyekiti wa Taifa wa CCM ambapo kupitia wasaidizi wake ndani ya chama na serikalini wanaangalia uwiano wa maamuzi ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya CCM ziarani mkoani Tanga

    Wajumbe wa sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cde Gavu, Cde Mjema na Kenan watafanya ziara mkoani Tanga ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na kuimarisha uhai wa chama hicho. #KaziInaendelea
  10. JamiiForums Tanzania CCM yakosa ushawishi, yajichomeka shughuli za Yanga Dar

    Kweli chama hiki kimekosa ushawishi na mbinu za kukubalika hadi wameamua kujichomeka katika maandamano ya hamasa za wana Yanga huko Mbagala Zakheem na mabango yao. Wale wako kwenye raha zao za kuhamasishana kuhusu mechi yao ya Jumapili mambo ya siasa wapi na wapi? Kwanza nani kawaambia kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania CCM yapigwa Stop ujenzi ardhi yenye mgogoro na Kanisa Katoliki

    Na MWANDISHI WETU, KIGOMA MAHAKAMA Kuu Kanda ya Kigoma, imetoa amri kwa Bodi ya Wadhamini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wadaiwa wengine kusitisha shughuli zote katika eneo lenye mgogoro kati yao na Kanisa Katoliki wilayani Uvinza. Amri hiyo ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa

    Mke wa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi. Zainab Shomari aliyeambatana na Ujumbe wake waliofika Ofisi za ZMBF Migombani kujitambulisha na kushirikiana katika Masuala ya Wanawake na...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania bora ni baada ya CCM kupumzishwa

    Yapo mengi yanayoweka matumaini ya Tanzania bora baada ya hawa ndugu kuondolewa madarakani. Hawa ndugu wameshindwa kujifunza wala kubadilika pamoja na kupigiwa kelele mno. Kwamba ni lipi hawakuambiwa? 1. Ni hii misafara mirefu yenye kutuweka barabarani bila ukomo kuwapa wao nafasi ya kupita...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu kama Serikali ya CCM ikifika mpaka 2,500 tutegemee kila kitu kitakuwa na majina ya watawala na viongozi

    Kinacho wagombanisha viongozi wa CCM ndani ya serikali kila mtu kutaka jina lake liwe kwenye miradi ili kuonekana bora. Sishanagi mwengine njia ya kwenda Singida kajiandika kwenye mawe labda sababu mda wa kupata jina la mradi ujafika. Kupeana majina kwenye miradi leo ndio chanzo cha kuonekana...
  15. JamiiForums Tanzania TUCTA pamoja na nyie kuwa chawa wa CCM, kuwanyamazisha wafanyakazi ni dharau

    Kitendo cha TUCTA kudhani kuwa wanamjibu Heche kuhusu wafanyakazi kuporwa haki yao ya mafao kwa kumuambia eti wamekubaliana na serikali na mjadala umefungwa hiyo ni kuwadharau wafanyakazi. Heche hahusiki na pensheni za wastaafu ila aliongea akiwa na haki ya kutoa maoni dhidi ya wafanyakazi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ujao utakuwa mwepesi sana kwa CCM tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe hapa nchini

    Ndugu zangu watanzania, Uchaguzi ujao Ni uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na ushindi mkononi, uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na Matokeo ya ushindi wa kishindo, Hii Ni kutokana na kazi kubwa Sana iliyofanywa na serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia katika...
  17. JamiiForums Tanzania CCM ifanye vetting ya chawa

    Siku za nyuma kidogo kulikua na tuhuma kwamba kuna watu wameandaliwa na chama tawala kuja kutetea kila kitu kinachofanywa na serikali huku mitandaoni kwa malipo ya shilingi 7000 kwa siku, sina uhakika kama izo tuhuma zilikua za kweli Lakini matokeo tunayaona mitandaoni, kuna wapambe ambao...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

    Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika. Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana. Ukweli Mchungu!
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mchakato wa Katiba Mpya ni lazima utungiwe Sheria nyingine ile ya Tume ya Warioba haitumiki tena!

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema mchakato wa Katiba Mpya lazima utungiwe Sheria mpya. Lissu amesema sheria iliyounda Tume ya Warioba na Bunge Maalum la Katiba haiwezi kutumika tena, sababu ilishakamilisha majukumu yake. Hivyo, tutachukua baadhi ya mambo mazuri kwenye rasimu ya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Miaka Miwili ya Rais Samia hakuna kilichosimama

    UVCCM Taifa 13 February, 2023 Miaka miwili ya Mama hakuna kilichosimama Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, sehemu ya 5 Isaka - Mwanza (KM 341) unaotekelezwa na kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) kutoka China zikiendelea. Ujenzi umefikia asilimia 22.67%...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…