ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    JamiiForums Tanzania If you can't beat them, join them: Naziona dalili za CCM kuja na wazo la Serikali ya mseto huko mbeleni

    Upinzani nchi hii umekomaa na kuota mizizi kiasi kwamba ni vigumu kufuta upinzani hapa nchini na ndio maana Mwendazake alifeli vibaya katika adhma yake ya kutaka kuua upinzani(kafa yeye kaacha upinzani ukiwa imara kuliko jana). Kwasababu CCM hawako tayari na pia hawawezi kushindana na upinzani...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Jon Mrema: Kauli fupi juu ya Mazungumzo ya Chadema na CCM.

    Tuwe na subira Mambo mazuri huja taratibu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Cheo cha mwenyekiti wa tawi CCM kina fursa gani?

    Hiki cheo kina fursa gani maana nimeona kwenye tawi fulani jirani na home kulikuwa na msuguano kwelikweli.
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kiundwe chama kipya kuwakomboa watanzania kiuchumi na kisiasa. Vilivyopo havina nia thabiti. CCM na wapinzani wanacollude kuwahadaa Watanzania

    Haiwezekani hali ilivyongumu alafu watu wanachukulia mzaa maisha ya watanzania. Taifa lina rasilimali lukuki lakini umaskini umetamalaki kila kona ya Tanzania. Watu wanaishi maisha ya kubangaiza kula kwa tabu, kuvaa kwa tabu hata kulala kwa tabu. Leo hii ni siasa za unafiki zinaendelea tu na...
  5. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Ni CCM pekee ndiyo inaweza kuleta Katiba Mpya

    Harakati za kudai Katiba Mpya Tanzania ni harakati za muda mrefu sana, takribani miaka 30 iliyopita baada ya Tanzania kuingia rasmi katika mfumo wa vyama vingi. Watu wengi wamefungwa, kuteswa na wengine kupoteza hata maisha yao kutokana na kupaza sauti katika kudai Katiba Mpya. Licha ya damu...
  6. Riz king

    JamiiForums Tanzania Simba na viongozi Morrison mmekosea sana kumfukuza mrudishen game ya CCM Kirumba

    Nimeona uchezaji wa mawinga wa simba leo sio stubborn hata kidogo kwa game tough. Morrison katusaidia sana kuleta mivurugano kwa mabeki kwenye game za namna hii. Nawaombeni viongozi wetu tumrudishe dhidi ya Yanga ili mabeki wake wasikae na utulivu na ukizingatia Kirumba pitch yake sio smooth...
  7. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kesi ya akina Halima Mdee, itafanyiwa "delaying tactics" hadi ifike wakati wa uchaguzi mkuu mwaka 2025?

    Nimeanza kuingiwa na wasiwasi, kutokana na sakata hili la akina Halima Mdee, kwa Kesi yao waliopeleka mahakamani na kinachoendelea, Mahakama inaweza kufanya "delaying tactics" Hadi shauri hilo lije kupata hukumu, itakuwa mwaka 2025, wakati wa uchaguzi mkuu mwingine unaokuja! Kwa hiyo...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania CCM wilaya ya Hai yaibua zoezi la kuwatambua simu na Majina ya wagombea Nafasi za chama kuanzia Mashina hadi kata kabla ya uchaguzi mkuu wa chama

    Chama cha mapinduzi ngazi ya wilaya , wilaya ya Hai huko Kilimanjaro kimeanza zoezi la hila la kuwatambua viongozi watakao chaguliwa kuanzia ngapi ya Shina hadi ngazi ya kata Mia ikiwa kuvuruga uchaguzi mkuu wa chama hicho. Zoezi hilo linaonyesha linaratibiwa na mbunge wa Jimbo kwa...
  9. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe na Majizi ya Escrow

    Wakuu Habari! Leo nimeona tujikumbushe kidogo na lile sakata la Escrow jinsi watu walivyoifaidi na wanaoendelea kuifaidi nchi hii bila kuguswa. Kipindi ambacho Bunge ni Bunge hasa sio hili la sasa lilopoa kabisa. Inasikitisha Ila ndo vile tena Aluta kontinua.
  10. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kuhusu faini za Barabarani na Mahakama zake

    Habarini Wadau!! Mimi nikiwa Kama mtumiaji wa chombo cha usafiri ninapata shida sana na hawa Askari wa Usalama barabarani. Kuna hili suala, unakamatwa na Traffic barabarani anakueleza sababu ya kukusimamisha then anakuandikia faini bila ridhaa yako. Sometimes ukigoma anakutisha aukwa baadhi...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CCM na Spika Ackson hili la hawa Wabunge 19 wa CHADEMA msipoangalia litawachafua na kufanya muonekane ni 'Majuha' wa Kutukuka

    Tayari wenye Chama chao CHADEMA wameshawafuta rasmi nyie CCM kupitia Spika Ackson mnafanya hila za Kipopoma ( Kipumbavu ) za Kisheria ili muwabakize Bungeni. Najua CCM na System mnahangaika na hili ili Kumfutia Aibu Spika Ackson ambaye kwa Kiherehere chake alilikoroga kwa Kukurupuka Kuwatetea...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kanda ya Ziwa walio CCM ndio wanawatetea sana Halima Mdee na wenzake?

    Kea sasa watetezi wakubwa wa akina Halima Mdee na wenzake ni wanaccm kutoka Kanda ya Ziwa. Bado sijaelewa ni kwanini!!!
  13. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

    Tayari kile kilichokuwa kinahisiwa kuja kutokea kimeanza kusikika maeneo ya Dodoma na Dar ambapo kundi la wabunge 19 waliovuliwa uanachama wa CHADEMA limejipanga kufungua kesi mbili mahakama kuu kupinga kuvuliwa uanachama wao wakati wowote wiki ijayo. Kesi ya kwanza itakuwa ni kesi ya msingi...
  14. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mbowe ndiye anayewafanya Wajinga na siyo Spika Tulia au CCM!

    Sijui ni kitu gani kinawafanya muone Mbowe jinsi mnavyomuona kwamba ni Malaika, sasa mnaamini kabisa ule Mkutano Mlimani ulikuwa real ? Kwa nini hamuulizi maswali ? Iweje waliofukuzwa Ubunge warudi Bungeni wakati Mbowe yuko karibu sana na Raisi Samia na hata anakwenda kumtembelea muda wowote...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo sasa Chadema na CCM wako juu ya Kamati ya Prof Mkanda?

    Nauliza tu kwa sababu sikuwepo hapa mjini kwa muda Jana Mbowe kasema kutakuwa na Kamati ya watu 20 kutoka Chadema na CCM itakayoratibu hali ya siasa nchini Naomba ufafanuzi!
  16. T

    JamiiForums Tanzania Chondechonde Mwenyekiti wa CCM-Taifa, Mdee na wenzake wasipewe vyeo CCM

    Katika makosa ambayo Hayati Magufuli aliyafanya kwa kujua au kutojua ni kutoa vyeo kwa wapinzani wanajiunga CCM kutokea upinzani. Ni ukweli usiosemwa lakini unawaumiza wanaCCM, watu walioshirika kupunguza kura leo wanafikiriwa zaidi. Kuna wale wabunge 19 wa CHADEMA ambao maamuzi pengine...
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kupeleka Mwakilishi kwenye Mkutano wa CHADEMA?

    Nimejaribu kuangalia faster faster sijaiona sura yoyote ya Kijani. je CCM wameshindwa kupeleka Mwakilishi kwenye Mkutano wa CHADEMA? Bado hawaamini kuwa Zama zinabadilika? Hawaamini kuwa Nanihiii hayupo? Pichani ni baadhi ya Wawakilishi wa vyama vya siasa
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna wanavyowaona wananchi wajinga ni kiongozi gani wa CCM atashinda uchaguzi 2025? Wakurungenzi watadhibitiwa kupora uchaguzi

    Rais Samia ndio hana nafasi kabisa ya kushinda uchaguzi. Maana kwa muda mfupi tu amedhibitisha ni wa rangi gani. Na baada ya miaka miwili atawauza Watanzania kabiasa na rasilimali zao. Wabunge wa CCM wenyewe ndio hawatarudi karibu 80% maana aliyewabeba kuwaweka mjengoni alishatangulia mbele za...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Bungeni Leo: Sera ya "elimu bure" kufutwa? CCM kama kawaida yao wanatanguliza mbunge Kasheku Msukuma kupima upepo. Wewe unasemaje?

    Kasheku Msukuma(MB) - Geita Vijijini leo bungeni akichangia kwenye bajeti ya Wizara ya Elimu na Ufundi, amesema yawezekana walikosea kuja na sera ya "elimu bure" ama sometime hutumia kiswahili cha "elimu bila malipo" mwaka 2015.. Kuna kila dalili kuwa Msukuma ametangulizwa na CCM kulichokoza...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Msigwa karibu sana CCM wakati umewadia sasa. Zitto hamtawezana naye huko ACT Wazalendo

    Ni muda sasa chama chako hakina imani nawe. Naona hata Iringa tu hawawakukubali. Sababu hazinihusu. Ila karibu sana CCM huku nadhani utapata nafasi ya kuweza kufanya mambo yako vizuri.kwa uhuru. Chadema nadhani ni kama wamekuchoka pia kutokana na matamko yako. Umekuwa one man arm...
Back
Top Bottom