ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Faida za kuwa ÇÇM

    FAIDA ZA KUWA ÇÇM Anaandika, Robert Heriel. Kwenu Vijana, Mabibi na mabwana, sitaki kuwachosha, zifuatazo ni faida za kuamua kuwa ÇÇM; 1. Ukipima UKIMWI hauonekani kwenye vipimo hivyo technically kutokuwa na UKIMWI lakini literally utahamia kwenye kivuli chako ukitembea. Yaani kivuli chako...
  2. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnafurahia wabunge wa Chama kimoja, Chadema ife, upinzani ufe ibaki CCM tu nadhani Sasa akili zimerudi

    Awamu iliyopita ilifanya Kila mbinu, kushawishi, kutishia, kuhonga n.k kuhakikisha nchi nzima inakuwa KIJANI. Na hata wale waliojaribu kukataa kuunga mkono waliona Cha mtema Kuni. Hatimaye mwaka 2020 nchi ikawa kijani na wabunge 99% wakawa wa Chama kimoja! Sasa wote tunaona Bei ya mafuta ikiwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Kada wa CCM atwangwa ngumi nzito na Mwenyekiti wake na kuvimba uso

    Diwani wa CCM kata ya Uwanja wa Taifa mjini Morogoro, Rashid Matesa ajeruhiwa baada ya kupigana na mwenyekiti wa CCM kata hiyo, Athumani Mswagala kwenye kikao cha chama kwa kinachodaiwa kupinga hoja ya mwenyekiti wake kutaka viongozi wawili wajadiliwe kutokana na utovu wa nidhamu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia lia kuhusu hali ya maisha, nilidhani ni CHADEMA tu

    Wanabodi, Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia Lia kuhusu Hali ya maisha, nilidhani ni Chadema tu Yani CCM ni wasahaulifu sana wamesahau kwamba wenyewe ndio walisema Serikali ya chama kimoja italeta maendeleo chap chap. Wakateka watu, wakawaua, wakawapa kesi pia ili waonekane hawana sifa...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hoi bin taaban, wamekosa hoja ya kuikosoa CCM hawajulikani wapo upande gani kama ni wapinzani au sio wapinzani

    Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi. Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake. Wamebaki kukomalia habari na...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM imeanza kupasuka, Ally Hapi na Mwita Waitara wanatuhumiana kupiga madili ya ufisadi

    Uchaguzi wa 2025 utakuwa na mtafaruku sana. Huko Mkoani mara tayari Ally Hapi anadaiwa kupiga ufisadi mkubwa huku yeye akidai ni Mbunge wa Tarime ndie fisadi na amemzibia madili. Mbunge Mwita anadai anazibiwa fursa ili shughuli zake za ubunge zisiende sawa ili ahujumiwe kwenye uchaguzi 2025
  7. M

    JamiiForums Tanzania CCM mnapongeza wafanyakazi kuongezwa mishahara kwani imeongezwa tayari? Acheni siasa za kitapeli

    Wewe mwenezi wa CCM taifa unajitambua kweli? Mishahara haijaongezwa maana bado kuna majadiliano wewe unaleta uongo.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kinara wa maslahi ya wafanyakazi

    RAIS SAMIA NI KINARA WA MASLAHI YA WAFANYAKAZI. Na Bwanku M Bwanku. Jana Mei Mosi, Dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi na Nchi yetu ilifanya Maadhimisho haya Kitaifa Jijini Dodoma ambapo Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi. Na Mimi Bwanku M Bwanku leo Jumatatu Mei 02, 2022 kwenye Gazeti la...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kutoka CCM

    TAARIFA KWA UMMA. Dar Es Saalam. Chama cha Mapinduzi kinachukua nafasi hii kuwapongeza wafanyakazi kwa tamko lao la kuunga mkono kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan juu ya nyongeza ya mshahara alilolitoa katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani...
  10. M

    JamiiForums Tanzania ANC na CCM vyama vya ukombozi vilivyogeuka vichaka vya mafisadi. Vimesahau kutumikia wananchi

    Namna viongozi wa Anc na CCM wanavyobehave ni namna moja. Walijinyenyekeza kwa wananchi na kujionyesha kuwa wapo kwa ajili ya kutumikia wananchi wanyonge. Lakini kumbe ni watu wakusahau na waiba mali za umma. Leo hii ni magenge ya wafanyabiashara na wezi wa mali za umma wanaongoza viongozi wa...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania CCM ifanye siasa za haki

    Mbinu zinazotumiwa na CCM kuitawala Tanzania hazitoutiani sana na zile zilizokuwa zikitumiwa na makaburu na Wakoloni dhidi ya waafrika. Katiba, tume ya uchaguzi, ajira mbalimbali na teuzi vyote vinazingatia kuibakiza CCM madarakani watu wapende wasipende, Waichague au waikatae, wanaCCM na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Watumishi Mliosema upinzani wa kazi gani Tanzania natumai mmeona wabunge wa CCM wanavyowapigania Bungeni.

    Kuna mtumishi mmoja analalamika kwanini upandishaji mishahara umekuwa wa hisani ya Mhe. Rais nikamwambia akamuulize Mbunge wake aliyempeleka Bungeni. Nimemjibu hivyo Kwa sababu awali enzi ya JK alikuwa anawaona wapinzani Bungeni kama watu wasio na uchungu na nchi hii na wasiofaa kuwepo. Baada...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kunani CCM, mbona Chaguzi za matawi zimepamba moto kiasi hiki? Je, huu sasa ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani?

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Cde Shaka Hamdu Shaka amejumuika pamoja na wanachama wa Tawi la CCM Buyu Pwani, Mkoa wa Magharibi, Wilaya ya Dimani, Ndg Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika uchaguzi wa kuwachagua Mwenyekiti wa shina No 4 na wajumbe wa kamati ya Uongozi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Lwaitama: Sishangai Msigwa kumsifia Rais wa nchi hasa wa CCM

    mi ni miongoni mwa waliomsifia Rais Samia Kwa baadhi ya mambo Kama hili la kuleta demokrasi angalau Kwa asilimia 35 , ni vizuri Kabisa kuona hata ndani ya Chama kuna wanaotofautiana mawazo na yajibiwe Kwa heshima si matusi. Leo nimemuona Mbunge mstaafu wa Iringa mjini akisifia Royal tour ni...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Uongozi mpya CCM waanza rasmi kufanya kazi na wakina Makonda; wadai kundi lake litawasaidia kampeni 2025

    Uwajibilaji, uzalendo na uadilifu ni vigezo muhimu kwenye Taifa huru linalotaka kuendelea. Ni nguzo muhimu Kwa chama Cha siasa kinachojali maslahi ya umma na njia pekee yakumfanya mwanadamu amheshimu Mungu na kuamini mamlaka inatoka kwake na siyo Kwa wanadamu. Chama Cha mapinduzi kimekosa...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Kinana: Serikali iwachukulie hatua waliotajwa Ripoti za CAG

    Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema ni wakati wa Serikali kuchukua hatua dhidi ya watu waliokutwa wameenda kinyume na maadili katika Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Amesema, "CAG hazushi, anafanya kazi zake kitaaluma. Katika Ripoti zake anaeleza kasoro...
  17. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Wabunge CCM wana U-Magufuli mwingi kuliko U-CCM

    JOHN Magufuli hayupo duniani. Ila nguvu yake bado inaishi ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Magufuli alitengeneza wabunge wake. Wanaitwa “loyal to a fault" – “watiifu wasioambiwa chochote". Wanaendelea kumtii hadi leo akiwa kaburini, kuliko kukitii chama chao, CCM. Ukarabati...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Waliochapisha vipeperushi vya kampeni 2020 wanaidai CCM zaidi ya 1B.

    Umoja wa kampuni za uchapishaji walioingia mkataba kwa ajili ya kuzalisha bidhaa na vipeperushi vya CCM wakati wa kampeni mwaka 2020, wamemuomba Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mhe. @SuluhuSamia kuingilia kati suala la madai yao ili walipwe. Kwa pamoja wanadai zaidi ya bilioni 1. Natumaini...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mwita Waitara na wengine mtaoenguliwa kwa majungu na CCM 2025, andaeni mkakati wa kuhamia Umoja Party na mtarudi bungeni

    Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno. Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Mafanikio ya utekelezaji wa ilani ni mtaji unaoiuza CCM

    SHAKA: MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA ILANI NI MTAJI UNAOIUZA CCM "Kazi kubwa inayofanywa na serikali ya CCM awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mtaji mkubwa unaokiuza Chama hicho" Shaka Mwenezi Taifa "Tarehe 21 Januari, 1977 wakati TANU na ASP zinaungana kuunda Chama...
Back
Top Bottom