ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Joti kawachapa fimbo Moja tu, Twitter hakukaliki

    Ujumbe mdogo tu wa Joti umewatoa nyoka wote pangoni. Nimewaona wanavyompopoa Huko twita, huyo ni Joti tu CCM ni dude kubwa sana, Ufipa yote inapambana na Joti. Sasa huyo ni Joti vipi CCM wakiamua kufunga Busta nyie si mtajiua, muanze kusingizia mmetekwa? Kwanini wapinzani hamtaki wenzenu wawe...
  2. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania CCM miaka 46 (1977-2023) mafanikio ni mengi

    Tukiwa katika kusherehekea kutimiza miaka 46 ya chama chetu CCM, tunayo mengi ya kujivunia na changamoto kidogo; 1. Umeme hadi vijijini. 2. Makao Makuu - Chama na Serikali kuhamia Dodoma (tumetimiza Ndoto ya Muasisi Mwl Julius Nyerere) 3. Ujenzi wa Bwawa la Nyerere (tumetimiza Ndoto ya Muasisi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania CCM Momba Tunduma waandamana kuadhimisha kuzaliwa kwake

    02 February 2023 Tunduma, Tanzania CCM WAWASHA MITAMBO, WARUSHA "MAKOMBORA' KWA WALICHOKIITA CHAMA CHA UPANDE WA PILI Wanachama wa CCM jimbo la Momba wamejitokeza kwa wingi barabarani kufanya shughuli za kisiasa kujibu walichoita mapigo upande wa pili walioanza mikutano ya hadhara. Baada ya...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Chawa wa CCM wanalitambua hili?

    Hili suala la ushoga na LGBT kwa ujumla limekaa vibaya kwa siasa za kimataifa. Binafsi nadhani ni kitu ambacho itabidi kutoongelea kabisa au kuongelea kwa tahadhari kubwa. Ni kweli kama nchi ina watu wengi ambao hatupendi hili jambo, lakini pia tukumbuke hatuko peke yetu duniani. Ndo maana hata...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa bado ni porojo tu kuhusu ufisadi wa Hayati Magufuli, CCM na wabaya wake mnafeli wapi?

    kelele nyiiingi, wakati inahitajika mtu mmoja athibitishe, mahakama zithibitishe kuhusu hizi kelele za ufisadi wake, lakini mpaka sasa ni kelele tu zisizo na maana! CCM na maadui wa hayati JPM mnakwama wapi? Huyu aliyekuwa mwamba wa siasa za kiuchumi na rafiki mzuri wa Watanzania wa hali ya...
  6. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yupo mjini Ifakara. Nashangaa kuona ulinzi ni mkali

    Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama. Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa. Kifupi nimeshangaa Katibu Mkuu wa CCM kupewa ulinzi na mapokezi kama kiongozi wa serekali. Tufike mahali viongozi wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto wewe ni kibaraka wa CCM, hakuna siasa mpya utakazowaletea Watanzania

    Eti kutatua kero za watanzania. Mpyu.... 👇
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Kisa mgogoro wa ardhi, Kanisa Katoliki laishitaki CCM Mahakamani

    Mgogoro wa ardhi ambao umekuwa ukiendelea kwa muda umesababisha Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma kuamua peleka Mahakamani mashitaka dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Shitaka hilo lililofunguliwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Kigoma, Kanisa limewashtaki Bodi ya Wadhamini wa CCM, Waziri wa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mikumi ahamia CCM

    Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Mikumi, Bakari Hasani amekihama chama hicho na kujiunga na CCM na kusema ameridhika na kazi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na ameamua kumuunga mkono. Rais Samia anaupiga mwingi sana. #mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nimetafakari kuhusu matokeo Ya Mitihani, je kuna jambo lolote Serikali ya ccm imeshafanya vizuri kwa ufasaha zaidi ya kuiba kura kwa ufasaha?

    Sio kwenye elimu tu, huko kwenye afya na kilimo mambo ni fyongo tu. Tuje sasa kwenye uchaguzi, mwaka 2019 walishinda vijiji vyote kwa 100% na mwaka 2020 walishinda ngazi zote za uchaguzi kwa asilia 90-100% Kama nguvu ile ya kuiba uchaguzi ingetumika kwenye Kilimo kusinge kuwa na njaa wala...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kuendesha nchi, huo ndiyo ukweli

    Hakuna wakati wowote ule, nchi yetu ya Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) imewahi kuongozwa na chama kingine chochote kile zaidi ya hapo awali kuongozwa na TANU (Tanganyika) na ASP (Zanzibar) vyama ambavyo viliungana na kuzaliwa CCM. Kwa ivo umaskini wetu, ujinga wetu uliotopea, maradhi...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar yathibitisha majina ya Wakuu wa Idara za Kamati Maalum

    Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao cha kwanza cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, kikao hicho kimethibitisha majina ya wakuu wa idara za kamati za Maalum majina ya wakuu wa idara ni...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kijana ukiwa mshabiki wa CCM watu wanajua we ni mchumia tumbo tu

    Hili jambo kwa kweli haliko sawa. Imefika mahali image ya mtu inachange kabisa. Yaani ukiwa mkereketwa kijana wa CCM hata ukajitetea vipi kwamba jamani na mimi niko kwa maslahi ya Taifa bado vijana wenzio na wazee hawatakuamini. Wanachojua ni kuwa umefata ulaji tu. Sambamba na hayo watu...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Miaka 46 ya tukitawaliwa na CCM huku watanzania wakiwa na umasikini wa hali ya juu. Rais Samia akikata keki ikulu na kuchekelea.

    Kila kona kuna shida ya maji. Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu Kodi kandamizi na tozo za kibabe Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi.
  15. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Ili nipate uteuzi ni lazima kuwa kada wa CCM au niwe Chawa wa Mama?

    INTRODUCTION Eeh bwana ehh habari zenu Nikiri Mimi sio shabiki kabisaa wa siasa. Yaani sina Kadi ya chama chochote na sifikirii kuwa na Kadi ya chama chochoteee kileee. Na kifupi huwa sifatilii zile habari za siasa zaidi ya hizi ambazo zinapostiwa insta kwenye page za habari za labda msingwa...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu ana mahusiano na mwanamke wa kizungu?

    Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege. Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili? Nini...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ramadhani Mlao aunguruma mkoani Shinyanga kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM

    Jumatano, Jan 25, 2023. Shinyanga mjini, Shinyanga. Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) amezungumza na wanachama wa CCM mkoa wa Shinyanga kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM katika wilaya ya Shinyanga mjini mkoani Shinyanga. Katika ziara hiyo ya...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ungemteua Jerry Muro kuwa Mwenezi wa CCM Taifa ungekuwa Umeupiga Mwingi zaidi

    Ana kila Kitu tena huyu ni zaidi hata ya alivyokuwa Nape Nnauye na alivyo huyu Uliyemteua sasa Dada Sofia Mjema ambaye kwa Uzito wa hiyo nafasi sioni kama ana amsha amsha na Ubavu wa Kutema Cheche. Mtu mwingine ambaye nafasi hii ingemfaa sema tu kwa sasa ni Mbunge ni Livingston Lusinde Mtoto wa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania MNEC Mlao akitema cheche Misenyi, Kagera

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) ametikisa kwa kishindo kikubwa kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM katika wilaya ya Misenyi mkoani Kagera.
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe asikitishwa na wanaobeza maridhiano ya CCM, CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza kusikitishwa na baadhi ya wanachama wa chama hicho kumfikiria kuwa anasaliti Watanzania kwa kufanya maridhiano ya kisiasa na CCM. Akizungumza na wananchi leo Jumamosi Januari 21, 2023 wakati wa ufunguzi wa mikutano ya hadhara ya chama hicho, Mbowe...
Back
Top Bottom