ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM imedumaza uwezo wetu wa kufikiri, hadi wanaofikiri sawasawa wameanza kuchukiwa

    Baada ya Mapinduzi (matukufu?) ya Zanzibar Mwaka 1964, chama cha ASP kikapiga marufuku vyama vingine vya siasa na kuharamisha viongozi wake. Ukiwa Zanzibar ilikuwa ama uwe ASP au uwe adui wa Mapinduzi. Kwa ivo kila mtu aliyetaka kufanya siasa Zanzibar ilibidi ajiunge na ASP ili afanye siasa na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mjema ataka Wanahabari kueleza kwa kina yanayofanywa na CCM

    Na Bwanku M Bwanku. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema amewaeleza wanahabari kwamba Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imefanya mambo makubwa sana kwenye maeneo yao hivyo wao wana jukumu kubwa la kueleza mambo hayo kwa wananchi ili...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania inamilikiwa na nani. CCM, Dola, au kila Mtanzania?

    Kuna wakati nawaza sana kuwa nimo kwenye nchi ambayo sijui kama mimi ni mmiliki wake ama nani ndiye anayeimiliki. Nadharia ziko nyingi lakini sijaona hata moja inayonifanya nijue nani hasa ni mmiliki wa hii nchi ninayoishi. Kila siku nikiwaza umiliki wangu kwa Tanzania nautilia shaka sana...
  4. Issakson makanga

    JamiiForums Tanzania Kabla ya katiba mpya ya nchi, tunahitaji maboresho ya katiba za vyama hasa CCM

    Nawaza kwa sauti ya kizalendo, Kweli tunahitaji katiba ya nchi kama taifa hiyo haiepukiki kwa sasa kwa maana mambo mengi yapo hovyo hovyo kabisa. Ila naona kwenye hivi vyama vya siasa bado kuna mambo hayako sawa kabisa, hususani namna ya miongozo na kanuni. Nitolee mfano CCM hivi kwa dunia...
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Chadema wamewasaliti Watanzania

    Angalia leo hii tunaambiwa taifa letu linakusanya tozo kodi na ushuru kibao. Zaidi ya tril 1.3. Wananchi hawana hakika hata ya kula ugali dagaa. Wananchi wanaishi maisha duni. Ufisadi umetamalaki na huyo rais anayejinasibu yupo na maridhiano hana uchungu na raia wanaoteseka kwa umasikini.
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Pamoja na udhaifu wake wote ilionao, ni kwanini CCM inaamini itatawala Tanzania milele?

    Hicho chama kinahusika kwenye kila madudu yanayotokea kwenye nchi yetu. Hakuna jambo baya kwa Watanzania ambalo halijatokana na CCM kuwa madarakani. Lakini CCM wenyewe kwa kujiamini kabisa wanasema kwamba watatawala Tanzania milele? Haya ni maneno yanayoonesha CCM ina kiburi cha uzima kiasi...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nafasi iliyopatikana kwenye uchaguzi wa 2020 ikitumika vizuri ni faida kubwa kwa CCM

    Uchaguzi wa mwaka 2015 ulikuwa mgumu mno kuwahi kutokea tangu vyama vingi vya siasa vianzishwe. CCM ilipita kwenye tundu la sindano kushinda ule uchaguzi. Chama kilikuwa hoi mno. Kabla hata ya Lowassa kuhama tayari upinzani ulikuwa una nguvu mno kutokana na kuwepo vichwa hatari mno kisiasa...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa onyo kali kwa viongozi wastaafu

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya vikali Viongozi wa Chama hicho Waliostaafu na kumaliza muda wao wa uongozi na ambaohawakubahatika kupata nafasi katika uchaguzi uliofanyika 2022 ndani ya chama hicho kuacha mara moja tabia ya kuvuruga chama. Viongozi hao wameonywa kuacha mara moja...
  9. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani wanamsifia Rais Samia au CCM?

    WanaJf salaam! Najiuliza tu, kwamba shauku ya Rais Samia ni kuendelea kuongoza nchi hii kupitia chama chake cha CCM, tena anapenda chama kishinde uchaguzi katika mitaa na vijiji 2024. Kisha ashinde nafasi za Ubunge na Urais. Wakati huo upinzani umeshamuona kama kiongozi mwenye msimamo wa kadri...
  10. Thailand

    JamiiForums Tanzania CCM Wezesheni upatikanaji wa KATIBA mpya kumbukeni siku yaja nanyi mtakuwa chama cha upinzani

    Tusiseme mengi ila kumbuka hakuna dora zilizokuwa na nguvu kama Ottoman empire, Roman empire, Greek, Egypt, Babeli chini ya vyama vyenye nguvu na ushawishi lakini viliporomoka mpaka mavumbini. CCM kuamini kwamba mtatawala milele huko ni kujidaganya mchana kweupe. Chini ya CCM tunaona namna nchi...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM wangekuwa CHADEMA wangeandamana!?

    CCM wanaposhangaa ni kwa nini CHADEMA hawaandamani dhidi ya utawala wao dhalimu kwa watanzania, huwa najiuliza maswali mengi sana. Jee CCM ingekuwa iko sehemu ya CHADEMA kwa sasa (Yaani kuwa chama cha upinzani) je wao wangeandamana na hoja yao ingekuwa wanataka kuandamana kwa ajili ya nini...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania "Block farming" ni agenda ya kitaifa au ni agenda ya CCM Awamu ya Sita?

    Nianze kwa kusema hata mimi nauona mwanga kwenye kuwekeza kwenye kilimo chenye tija kutokana na ukubwa wa nchi yetu yenye kila kitu kinachofaa kwa kilimo, ufugaji na uvuvi. Hofu yangu kuu kuhusu huu mkakati wa Waziri Bashe na Rais Samia wa block farming nauna kama vile hauna tofauti na ule wa...
  13. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania CHADEMA njia pekee ya kushika dola 2030, unganisheni nguvu na team Magufuli

    Miaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa. Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya...
  14. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa Afrika

    Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde, tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati. Sasa unapokuwa unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na...
  15. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hatutasahau CHADEMA kushirikiana na mtesi wetu CCM

    Hatutasahau Wananchi kusalitiwa na CHADEMA mchana kweupe, hatutasahau CHADEMA kushirikiana na mtesi wetu CCM. Hatusahau CHADEMA kuikataa hoja ya Wananchi kuhusu mchele kupanda toka Tsh. 1,500 hadi 4,000 kilo moja, Maharage toka Tsh. 1,200 hadi 3,800 kilo moja, Unga kilo toka Tsh. 800 hadi...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ruzuku na asali za CCM ndio zimetufanya kusahau michango ya makamanda? Hiki kiburi cha muda kitaisha tu

    Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha? Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa? Hii ruzuku na asali za CCM zimefanya kuwa na kiburi kiasi cha kusahau umuhimu wa michango ya makamanda.
  17. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini UWT ni taasisi ya CCM? Kwanini isiitwe Umoja wa Wanawake wa CCM (UWCCM) halafu UWT ikawa umoja wa wanawake wote Tanzania?

    Inashangaza kuona kwamba UWT ni taasisi ya CCM. Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) unapaswa kuwa umoja wa wanawake wote Tanzania bila kujali itikadi ya vyama. Wanawake wa CCM waanzishe umoja wao kama ilivyo BAWACHA kwa CHADEMA, n.k. CCM kiache kupora taasisi na mali nyingine za umma na kuzifanya...
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho miaka miwili ya SSH ni wazi CCM na Serikali wanalazimisha shibe ya supu ya mawe

    EWURA ni jipu la Taifa, ikulu iliangalie hili kwa jicho la kuwajali wananchi TANESCO inatumika kisiasa, na hili limefanikisha wananchi kukosa imani na serikali. Polisi imeshapoteza uadilifu wake. Sheria na muundo wake vibadilishwe kwani ushshidi ni mwingi wa maovu yanayofanywa na polisi kuliko...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kutofanya kumbukizi ya Magufuli ni makosa yataigharimu CCM

    Amekufa na ila mnataka kujifanya hakuwepo wala hamkumbuki. Haya good move kwakweli.... Who is chadema who is ccm
  20. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Serengeti arejea CHADEMA. Aeleza kilichomsibu na kuomba msamaha

    Ni mbunge wa zamani Jimbo la Serengeti. Ameeleza kuwa kile kilichowakimbiza Mh Lissu na Mh Lema kwenda ughaibuni ndio hicho hicho kilichomfanya kuunga juhudi. Kwa maana nyingune kunguru Mwoga hukimbiza ubawa wake. Mbunge akiwa chadema 2015 hadi 2018 alipoamua kuunga juhudi. Aomba msamaha...
Back
Top Bottom