Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Serikali na Mabenki mezani kujadili Makali ya Tozo
---
"Rais Samia Suluhu Hassani kwenye Bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 ametenga Sh954 bilioni sawa na asilimia 224 ya bajeti yetu jambo ambalo halijawai kutokea katika historia ya nchi yetu, fedha hizo katika bajeti zimeelekezwa katika kutoa...
Leo, makada wengi wa chama pendwa walitarajia Shaka angetoa orodha ya walioteuliwa kugombea nafasi za Ubunge wa Afrika Mashariki, Lakini hakufanya hivyo.
Dalili zinaonesha kuna mkwamo mahali fulani na nani apite, nani atemwe! Tathmini yangu inaonesha vigogo wengi wameleta vimemo wakipendekeza...
Haya nitakayoandika hapa natamani yafike mezani kwako kupitia jukwaa hili au nitaandika kwa kirefu na kukufikishia ofisini kwako na lengo la kufanya hivi ni zuri kabisa natumaini litapokelewa kwa mikono miwili.
Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kulijalia...
Sasa nimejifunza na kutambua kauli inayosema ‘ ni kauli za kisiasa’.
MaRPC wa mikoa ya Arusha na kilimanjaro wameamua kupuuza kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mh Kinana kwa kufungulia trafic wa kutosha ndani na nje ya miji.
Idadi ya matrafiki bara barani imezidi tena na mijini wanazunguka...
Comred Kinana ukisha maliza mikutano ya hadhara katika ziara zako kutana na wanachama wa CCM vikao vya ndani waulize, chama kinavyoenenda kama tukiweka katiba mpya na uchaguzi ulio huru na haki tutashinda 2025?
Tena ukiweza waulize wanachama wa kawaida kwa sababu viongozi watakudang'anya...
Joshua Nassari amewataka wanasiasa kufuata taratibu za nchi pale wanapotaka kufanya mikusanyiko la sivyo mahabusu bado zina nafasi za kutosha, ameyasema hayo alipokuwa akishiriki mkutano wa mahitimisho ya sensa.
Amesema kabla ya mtu yeyote kuandaa mkutano ni lazima aombe kibali na akubaliwe...
Kitendo cha kuwa na wanasiasa wanaoiongoza Serikali lakini kiongozi wa chama cha siasa kinachoiongoza hiyo serikali kuanza kutoa maelekezo kwa watendaji wa serikali, ni dalili kwamba chama kilichoko madarakani hakijiheshimu.
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania, hakuna mahali...
Ndugu zangu huo ndio ukweli japo ukweli mchungu kwa wasiotaka kuamini ukweli huo, ukiangalia muundo wa chama hiki, ukiangalia, Sera na ajenda za chama hiki, ukiangalia mpokezano wa uongozi ndani ya chama hiki, ukiangalia namna viongozi wake wanavyopikwa na kuandaliwa,
Ukiangalia namna...
Wanabodi,
Declaration of interest, mimi pia ni mwanachama wa chama cha siasa!.
zikiwa zimabaki siku 14 tufanye uchaguzi wetu, naomba kuuliza, hivi kweli kuna Mtanzania, mwenye akili zake timamu, anayefahamu maana halisi ya maendeleo, tangu tulipopata uhuru, tulikuwa na rasilimali gani...
Mungu nakuomba uniongoze niandike kinachoeleweka
Tanzania sasa inapitia wakati mzito na mgumu sana kama Taifa. Wananchi wamepoteza matumaini lakini kinachowazuia kufanya maamuzi ni hofu ya kuuawa kinyama na vyombo vya dola ambavyo vimeshikamana na mirija inayoitafuna nchi yetu.
Hali ya...
Kwamba hata mama aliye kijijini anakatawa tozo akitumiwa pesa na mwanae anayeishi mjini? Kwamba hata mwalimu wa shule anyefundisha kijijini kwenye mazingira magumu ya kijijini anakatwa kodi ya PAYE, na hata akitoa mshahara wake benki anakatwa kodi!
Mzee kinana CCM hii iko vipi? Ni mali ya...
Kupitia jukwaa hili nataka kuwafikishia elimu hii watumiaji wa jukwaa hili la jamii kuhusu NJIA MBILI ZA KIFIKRA KATIKA JAMBO MOJA NA MAAMUZI CHANYA. Kwa ufafanuzi zaidi ili kuleta maana harisi niliyotazamia katika jambo nalotaka kuzungumzia tuchukulie jambo hilo labda ni kosa katika sehemu...
CCM YAPONGEZA JITIHADA ZA
RAIS SAMIA KUIWEZESHA DIT
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama Cha Mapinduzi kimeridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuiwezesha Taasisi ya Teknolojia ya...
Mwenyekiti CCM wilaya Shinyanga Mjini, Bwana Abui, unamchafua na unatumia jina la Mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano vibaya kwa maslahi ya nani? unaeneza siasa za udini kwamba Mwk wa CCM taifa anataka waisilam wachaguliwe kwa asilimia kubwa ili wampitishe 2025 kwa kura nginyi...
Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Spunda amesema kwenye simu zimejaa tozo na kwenye mafuta ni tozo tupu zinazofikia nane kwenye kila lita ya mafuta. Rungwe amehoji sababu ya kuwa na tozo zote hizo akiwa kwenye kipindi cha medani za siasa kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Stra TV...
Jeuri ya CCM ni kutumia mabavu. Vyombo vya ulinzi na usalama vinatumiwa vibaya Sana.
CCM ni wepesi kama makopo ya plastic. Dola ndiyo inawabeba, siyo sera.
Kwa namna duru zinavyotabanaisha ni wazi bwana Mpina hana chake tena 2025.
Wakubwa hawampendi tena na zaidi wanamuona ni kirusi hatari kinachoweza kusanua yawayo/yajayo.
Ushauri wangu kwa bwana Mpina, jichunge wasije kukufanya kama walivyomfanya Mwakyembe wakati ule.
Hii ni dhahiri kuwa, Kwa Africa na Tanzania, kuwapata viongozi wenye focus na maisha ya watu wao ilivvyo ngumu kupatikana.
Sera ya CCM ya kuwalambisha Asali wote wenye vidomodomo na kiherehere, imetuomyesha jinsi watu hao malengo yao si kuwatetea wananchi, Bali kutafuta furusa za kwao na...
CCM walilazimika kumpa madaraka Magufuli kutokana na mazingira ya wakati ule ila walidhani wangeweza kumdhibiti. Magufuli akawashangaza na kuwafumba midomo hata wale ambao walidhani wangekuwa na sauti juu yake. Mmoja wa watu pekee ambaye NADHANI bado alibaki na kauwezo fulani ka kumkemea alikuwa...
Hizi Tozo zimeongeza ugumu wa maisha. Imekua kero juu ya maisha magumu ya utafutaji.
Ingekuwa inchi zinazojielewa kama zambia, malawi, kenya nk CCM ingechomolewa madarakani comes 2025 election.
Ikumbukwe kwamba hata inchi zilizo mbele Kwenye siasa/mfumo wa vyama vingi. Vyama tawala huondolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.