ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ilivyo kwa Tanzania, CCM kushinda kila term ndivyo itavyokuwa kwa Kenya Rais kuwa Mkikuyu au Mkalenjin

    Big up kwa Kenya kuwa na Demokrasia kiwango cha juu kuzidi Tz lakini linapokuja swala la uraisi kuna utofauti mdogo sana kati ya Tz na Kenya . Kiti cha urais kina mamlaka makubwa sana, hii ni nafasi executive sio ya kuiletea masihara hata kidogo na kuna system tayari ipo kuhakikisha kiti hiki...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ukitaka uchukiwe na jamii ya wapumbavu, ni kuwaambia ukweli. Hayati Magufuli alichukiwa kwa sababu ya kuwaambia ukweli

    Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao Mpaka Leo...
  3. JamiiForums Tanzania Ruto kuiga mfumo wa CCM kuongoza Kenya, kuwapa madaraka ya chama wananchi

    Chama cha Rais mteule Nchini Kenya Dkt. William Ruto cha United Democratic Alliance, - #UDA kimeahidi kufuata Mfumo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kuliongoza Taifa la #Kenya, Mwenyekiti wa Chama hicho JOHNSON MUTHAMA amethibitisha. ======== UDA Chairman Johnson Muthama has declared that...
  4. JamiiForums Tanzania Watoto wa vigogo CCM wapenya ubunge EALA

    Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepitisha majina manane kati ya 26 kwenda kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala). CCM inaungana na vyama vya ACT-Wazalendo na Chama cha Wananchi (CUF) kuhitimisha michakato ya ndani ya kuwapata wagombea wa nafasi hizo. Katika Bunge la Eala...
  5. JamiiForums Tanzania Watoto wa vigogo CCM wapenya ubunge EALA

    Dodoma. Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepitisha majina manane kati ya 26 kwenda kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala). CCM inaungana na vyama vya ACT-Wazalendo na Chama cha Wananchi (CUF) kuhitimisha michakato ya ndani ya kuwapata wagombea wa nafasi hizo. Katika Bunge la...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kianze kati ya Katiba Mpya au Kuitoa CCM Madarakani?

    Habari wana JF Nimewaza sana nikagundua CCM kuwepo madarakani ni tatizo kubwa kuliko hata hii katika tunayo hitaji. Hivi kwa hii CCM tunaweza pata Tume huru ya Uchaguzi? Sasa tunayo katiba lakini tumeshuhudia mara kadhaa ikivunjwa na Kwa mizizi kiliyo nayo hiki Chama mnadhani ni rahisi Katiba...
  7. JamiiForums Tanzania WanaCCM 8 waliopitishwa kugombea Ubunge wa EALA

    CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimewapitisha wanachama nane kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA) utakaofanyika Septemba 22, mwaka huu. Akitangaza majina ya makada wa CCM waliopitishwa na Kamati ya Wabunge wa CCM leo, Msimamizi wa Uchaguzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kama TOZO zitaondoshwa au kupunguzwa, basi CHADEMA watapata "credit" na siyo CCM

    Kama kutakua na mabadiliko yoyote ambayo ni "positive" kwa upande wa TOZO basi "credit" itaenda kwa CHADEMA kwakua wao ndiyo wamekua mstari wa mbele kupinga hili jini Tozo. Haijawahi kutokea mwana CCM akapinga Tozo hadharani zaidi ya kusapoti. Tunaweka tu records sawa, Mwenyekiti wa CCM Taifa...
  9. JamiiForums Tanzania Niishukuru Kamati Kuu ya CCM kuridhia mchakato wa Katiba Mpya uendele. Tanzania mpya itazaliwa na changamoto za kimfumo zitabaki historia

    Nawashukuru sana Ile Tanzania nilioiota KWA muda mrefu inaenda kutimia,kuanza KWA mchakato wa katiba mpya ni Nuru KUBWA kwetu!changamoto za kimfumo zinaenda kufa na Tanzania Mpya inaenda zaliwa rasmi! Niwaombe wadau wawape ushirikiano wa kutosha kikosi kazi cha mkandala Ili mchakato ukamilike...
  10. JamiiForums Tanzania EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

    Wanabodi, Ubunge wa EALA ni mara yangu ya pili kujaribu kugombea kupitia CCM, mara ya kwanza nilijaribu Ubunge jimbo la Kawe, nikashauriwa ili kuchaguliwa ni lazima 'uwaone' wajumbe 'ujitambulishe', 'wakujue' ndio utapata kura za wajumbe!. Kusema ukweli, mimi sikumuona mjumbe yoyote...
  11. JamiiForums Tanzania Uwaziri Mkuu waitesa CCM

    Gazeti la Raia Mwema toleo la leo Septemba 10, 2022 limeandika uwaziri mkuu waitesa CCM. Hii taarifa ina maana gani?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya mwana JamiiForums Maarufu Kutoswa na CCM huko EALA, nimeamini 99% ya Waandamizi wa CCM wapo JamiiForums 24/7

    Huenda Kauli hii ya kusema 'nikiteuliwa kuwa DC nitakataa kwani kwa Hadhi na Elimu yangu hakinifai'. Tuwe makini na Kauli zetu JF.
  13. JamiiForums Tanzania Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

    Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Naichukia sana CCM mpaka napandwa na wazimu

    Hata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM. Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana. Nikimuona mwanaccm jazba inanipanda...
  15. JamiiForums Tanzania CCM na tozo ni ile ya "tema tumpige" ya mama na mwana

    Watoto wadogo wanapolia kwa kuchokozwa na mtu mzima au hata kwa kuchomwa sindano, ili kumnyamazisha asilie mzazi atamuuliza mtoto swali la kizushi la "nani mchokozi?". Mtoto atasema yule pale, na mzazi atamwambie tema tumpige, na mzazi atampiga kizushi huyo mchokozi, na mtoto atanyamaza kwa...
  16. JamiiForums Tanzania CCM vs Serikali

    Salamu kwenu, nyote wenye kulitakia heri taifa. Yahitaji maarifa ya CUBA kuelewa kwa namna gani CCM inamudu kusimamia serikali. Hii inakuja baada ya wajumbe wakuu wa Kamati kuu kuwa ni viongozi wakuu wa serikali mfano Rais, Spika na Waziri. Sasa, maagizo ya Kamati Kuu kuielekeza serikali...
  17. JamiiForums Tanzania CC YA CCM: Hata kama tozo zimejenga vituo vya afya 234 na shule za Sekondari 214 bado wananchi wana hoja, zitazamwe upya

    CCM yatoa maelekezo kwa Serikali kuhusu tozo,Asante CCM kwa kulituliza Taifa, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi kuhusu tozo sambamba na kujielekeza katika kubana matumizi ya serikali na kutanua wigo wa kodi...
  18. JamiiForums Tanzania Kuelewa kunavyokuza kueleweka kwa Kenani Kihongosi

    Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi. Na Kevin Lameck Tuna masikio mawili na mdomo mmoja, kwa sababu tunapaswa kusikiliza zaidi na kuzungumza kidogo. Huu ni msemo maarufu sana kwa waswahili na ambao unahusishwa na mwanahistoria Plutarch na mwanafalsafa Zeno wa Citium. Ujumbe wa Papa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM yaielekeza Serikali kuchukua hatua kuhusu maoni ya TOZO

    Serikali na Mabenki mezani kujadili Makali ya Tozo --- "Rais Samia Suluhu Hassani kwenye Bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 ametenga Sh954 bilioni sawa na asilimia 224 ya bajeti yetu jambo ambalo halijawai kutokea katika historia ya nchi yetu, fedha hizo katika bajeti zimeelekezwa katika kutoa...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkwamo wa Uteuzi wa wagombea EALA- CCM (Ngoja niwape mbinu)

    Leo, makada wengi wa chama pendwa walitarajia Shaka angetoa orodha ya walioteuliwa kugombea nafasi za Ubunge wa Afrika Mashariki, Lakini hakufanya hivyo. Dalili zinaonesha kuna mkwamo mahali fulani na nani apite, nani atemwe! Tathmini yangu inaonesha vigogo wengi wameleta vimemo wakipendekeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…