ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Vikao vya Uongozi wa CCM Ngazi ya Taifa, Jijini Dodoma, Tarehe 9 Julai 2023

    Vikao vya Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan, vitaketi siku ya tarehe 9, Julai, mwaka 2023, jijini Dodoma. Vikao hivyo vya kawaida vya Uongozi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kitu pekee kitakachoitoa CCM madarakani ni mgawanyiko wa ndani ya chama na sio vinginevyo

    Nimekuwa nikisoma mashambulizi mbalimbali mitandaoni dhidi ya chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo wanaokiponda hasa CHADEMA na kujikuta wakati mwingine niwaze kitakachoitoa CCM madarakani. Ukisoma maandishi ya wapinzani unaweza ukatishika na kudhani mwisho wa CCM ndo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania CCM iwe maakini sana na mkataba huu wa bandari

    Suala la Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Jamhuri wa Tanzania na DP World umejadiliwa sana na wananchi kuhusu changamot zote zilizopo kwenye mkataba huo. Huku nje wengi wa wananchi ni waelewa sana wengine ni Maprofesa, PhDs na nakadhalika wameishauri Serikali uupitie tena mkataba huu kwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nini tamko la Kamati Kuu ya CCM kuhusu Bandari

    Wana Bodi, Salaam, naomba kufahamu msimamo au Kauli au Tamko la Kamati Kuu ya CCM kuhusu mgogoro unaoendelea wa bandari, tunakumbuka mgogoro wa ufisadi mkubwa zaidi ya Trilioni 30 uliobanishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG ya mwaka 2021-2022 Kamati Kuu ya CCM Taifa...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM (Tabora) amdhalilisha mkewe hadharani

    Sijui kwanini watu wanalewa madaraka kijinga hivi, hata kama mwanamke kakukera kiasi Gani huwezi kumtusi Tena unamtukania Hadi Mama yake Mzazi. Halafu huyu ndio unataka awe Kiongozi wa kupigania haki, kweli? CCM mnatukosea sana. Kutofautiana sio dhambi ila Kuna namna ya ku-handle issues...
  6. JamiiForums Tanzania CCM kimeanza kuumana

    Bandari, bandari Bandari ===== Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi. === JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: Ofisi za CCM Kinondoni zavunjwa kisa Mkataba wa DP World
  7. JamiiForums Tanzania Bila Chadema Maisha ya Vijana wa CCM (Machawa)ni ya Tabu mno.

    Bila Chadema maisha ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (ccm) ni ya tabu mno, Ili Ccm Iwalipe fadhila ama Fedha, au cheo Vijana hawa (machawa) ni lazima wawe na Hoja za kuikejeli na kuitukana Chadema pamoja na Viongozi Wake Waandamizi.
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko ya mkataba wa DP World yapelekwe CCM, Rais Samia hana makosa sababu anatekeleza sera za chama chake

    Ndugu zangu Wananchi, kuna jambo tunasahau kuhusiana na mkataba wa DP World. Malalamiko ya mkataba huo yamekuwa mengi sana lakini tatizo letu wananchi tumeshindwa kujua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hapaswi kulaumiwa hata kidogo, ni Rais msafi na mcha Mungu. Malalamiko yanayohusiana na mkataba...
  9. JamiiForums Tanzania Wanasiasa kutoka CHADEMA wanaoweza kuwa tishio kwa CCM mwaka 2025

    Leo nimeona nitoa maoni yangu kuhusu hali ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Ingawa upinzani (CHADEMA) kunachechemea lakini bado kuna wanasiasa wa upinzani wana nguvu kisiasa na wanaweza kuwa tishio kwenye uchaguzi dhidi ya Chama Tawala CCM. Binafsi naona wafuatao kutoka CHADEMA bado...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Zaidi ya wanachama 500 wapya wajiunga CCM Jimbo la Kawe

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Dkt. Josephat Gwajima (MNEC) ameandikisha zaidi ya wanachama 500 Wapya wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Bunju Mtaa wa Boko Chama 02-07-2023
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sababu za kwa nini CCM itaanguka kwenye uchaguzi wa 2025

    Kwanza ieleweke 2025 chama cha mapinduzi kina nafasi kubwa ya kuanguka kwenye uchaguzi mkuu. Endapo kama mama sa100 ndo atapewa nafasi ya kupeperusha bendara ya CCM kazi itakuwa nyepesi sana ya kuanguka kwa sababu zifuatazo; ufisadi kutamalaki chini ya uongozi wake, hapa hata hutakiwi kupepesa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi masikini ndani ya Nchi tajiri. Hata kama CCM itakufa sitokuja isahau

    Habari JF, Binafsi sitachoka kuinyooshea kidole CCM kwa matatizo na maendeleo duni ya Taifa hili mbali na Tanzania kujaliwa maliasili nyingi sana. CCM imetuaminisha kwamba hatuwezi fanya maendeleo bila Misaada ,mikopo na kujipendekeza nje ya Nchi. CCM imefanya wananchi masikini kiasi kwamba...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni wakati wa kuondokana na CCM la sivyo tutakuwa tumechelewa

    Katiba mbovu Uchumi mbovu Utendaji mbovu Mikataba mibovu Mipango miji mibovu Mifumo ya haki mibovu Uongozi na usimamizi mbovu Haya yote ndio matunda ya CCM. Watanzania huu ni wakati wa kuondokana na CCM la sivyo tutakuwa tumechelewa.
  14. JamiiForums Tanzania CCM, kwa mtaji wa ukakasi wa suala la Bandari, kaeni mguu sawa kung'olewa!

    Suala la Bandari linajadiliwa kwa marefu na mapana kila kona ya nchi. Maandamano ya vyama vya upinzani yameshaanza mikoani kupinga suala zima la ubinafsishaji/uuzwaji/ukodishaji, au hata kuigawa bure Bandari yetu na nyingine Tanzania. Tukubali tusikubali, serikali ya CCM imeingia mkenge mkubwa...
  15. JamiiForums Tanzania MAONI: CCM wawe wanaangalia Rais gani wa kupewa uenyekiti wa chama chao

    Chama cha Mapinduzi hua wanajizimia taa na kuwa gizani mara kwa mara. Utaratibu wao wa kumteua Rais akitoka chama chao kuwa mwenyekiti wa chama chao safari hii wameikosea Demokrasia kwa kumchagua Samia kuwa Mwenyekiti. Kwa kawaida CCM wana utaratibu wa kidemokrasia kumchagua mgombea urais wa...
  16. JamiiForums Tanzania KWELI Omary Ramadhan Mapuri aliyeteuliwa kuwa Mjumbe wa tume ya Uchaguzi amewahi kuwa Katibu Mwenezi CCM

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na mijadala kwenye mitandao mbalimbali ikidai bwana Omari Mapuri aliyeteuliwa jana 29/06/2023 amewahi kushika cheo cha uenezi ndani ya CCM huku wengine wakidai kiongozi huyo hajawahi kuwa na wadhifa mkubwa ndani ya chama. Je ukweli ni upi? Tunaombeni muweke jambo...
  17. JamiiForums Tanzania Je CCM imesheheni uzalendo?

    Kuna mikataba mingi tang zaman imekua na makandokando mengi na ufisadi wa kutisha!! Swali langu ni... Kwann wahusika wanaingia mikataba isiyo na maslahi kwa Taifa na waisainisha? Mpaka bungeni inapitishwa kwa makofi ya kutosha mezani? Inamaana wao hua hawaoni mapungufu ya kimkataba mpaka walio...
  18. JamiiForums Tanzania CCM yamweka chini ya Uangalizi Balozi Karume

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimemuweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu kada wake Balozi Ali Abeid Karume kutokana na kauli zake za kukidhalilisha chama na viongozi wake. Hatua hiyo inatokana na onyo alilopewa na kamati ya siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Jimbo la Tunguu, Mkoa wa Kusini...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna la kujifunza kuhusu mkataba wa DP World na wabunge wa CCM,

    Nimeuliza tu !! Japo mada hii itafutwa nusu saa ijayo
  20. JamiiForums Tanzania Chongolo: Huwezi kuja na ndoto zako na ukawa kiongozi CCM

    "....CCM inawategemea ninyi vijana kukisemea na kuwalinda viongozi wake pasipo kubagua . Mkisimama kwenye msingi huo daima mtaendelea kufaidi fursa zaidi na zaidi." "....kaweni viongozi wa watu na siyo kuwa viongozi wa kiongozi. Wengi wenu mnatumika na hao wanaokuja CCM na ndoto zao za kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…