ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Ni wazi kabisa CCM Wameshapuuza Mawazo na Maono ya Mwl Nyerere

    CCM heshimu busara za wazee tofauti na hapo hakuna mtakachofanya kikawa na baraka. Bora hata magufuli alijaribu kufuata nyayo za huyu mzee. Nasikia hata huko TBC wosia wa baba unakuja kwa machale sana maana ni mwiba kwa CCM ya samia iliyo jaa wezi za mali ya umma..
  2. JamiiForums Tanzania Akisimama 2025; Narudisha kadi ya CCM hadharani

    Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa. 2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi. Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi. Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
  3. JamiiForums Tanzania CCM endeleeni kupandikiza chuki, kaeni tayari kuvuna matunda yake pia

    CCM wanchokifanya najua hata wao kuna muda wanajistukia sasa upandacho ndicho utakachovuna. Watanzania wa sasa siyo wa mwaka 70. Siasa za CCM ni za kishamba sana. Kwa kuwa watanganyika washajua mbinu zenu zote za uovu basi njiandae kwa lolote huku mtaani kila mtu kanuna mikoani ndo balaa zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu sakata la Bandari na mkataba mbovu; Wananchi wamewaelewa CHADEMA kuliko CCM. Kila kona wananchi wanasema Mama anauza Tanganyika

    Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia wananchi kama kama kweli mkataba sio mbovu. Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila...
  5. JamiiForums Tanzania CCM imfanyie utafiti Katibu wake wa wilaya ya Hai huko Kilimanjaro, anadaiwa hajui kuandika matokeo yake siri za chama ziko mitaani

    Chama cha Mapinduzi Taifa au Mkoa ninawaomba mfanye uchunguzi wa kina kama sio utafiti kumwangalia au kumfuatilia Katibu wa CCM Wilaya ya Hai Kilimanjaro., kama kweli hajui kuandika. Kuna kila Dalili mtu huyo hajui kuandika hivyo ili kuandika siri au taarifa za chama anafanyia kazi hizo...
  6. JamiiForums Tanzania Watanganyika Wenzangu Kuanzia sasa Popote atakaposimama Mwana CCM Kuongea ni kuzomea Mwanzo Mwisho

    Tanzania ya sasa inatia hasira kuliko wakati wowote ule. Kuna ukandamizaji wa wazi wa haki za binadamu pale ambapo watu tunataka kuhoji maswala ya msingi. Ikumbukwe Tayari kuna wenzetu wameshaanza kutiwa nguvuni. Ili kuonnyesha tuko nao pamoja. Itabidi tuwaonyeshe CCM nguvu ya umma ni real...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa makada wenzangu tu wa CCM nini kinachotusababishia umaskini?

    Nikiwa kama kada maarufu na mtiifu wa CCM na nina imani kwelikweli na Rais wangu Samia, hivi huu umaskini tulionao toka tulipopata uhuru, na tumekuwa tukiongoza inchi wenyewe, ukitegemea tuna kila aina ya rasilimali, kuanzia bahari, utari, madini, ardhi bora, amani aliyotuachia baba wa Taifa...
  8. JamiiForums Tanzania Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

    Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi. Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake. Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa? Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ina nguvu sehemu zenye umaskini wa fikra na mali?

    CCM inazidi kukosa nguvu kwenye majiji na makao makuu ya miji; hakuna mtu anayevaa kofia na t-shirt kama ishara ya uzalendo tena....wazee nao wamepungua kwa kasi huku idadi ya vijana ikiongezeka. Idadi kubwa ya vijana wanahama kutoka maeneo yasiyo na ajira na kukimbilia mijini. Dar es salaam...
  10. JamiiForums Tanzania CCM wameshapanik, zama zile za giza zinarudi tena!!

    Kuna wakati niliwahi kusema kuwa hakuna CCM "ya kistaarabu" tangu zama za ASP na TANU. Ukiona CCM inaonekana ni ya kistaarabu jua kwamba hapo hofu ya kutolewa madarakani inakuwa haipo. Angalia kwenye Kila chaguzi, ukiona hakuna mapambano kati ya vyombo vya Dola na vyama pinzani Kwa CCM jua...
  11. JamiiForums Tanzania CCM tumemaliza risasi zote tetevu za Mkataba wa Bandari. Tunatokaje?

    Mwanzoni, sikuwa namwelewa Wakili Mwambukusi. Alisema kuwa suala hili la Bandari halitaisha kirahisi kama ilivyozoeleka. Akasisitiza kuwa suala hili litapingwa mahakamani na siasasi. Ingawa nami tangu mwanzo naupinga bila kuvunga Mkataba wa Bandari wa DP World, niliitazama kwa wepesi kauli ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe: CCM hawana ugomvi na vyama vingine vya siasa, wana ugomvi na CHADEMA

    Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa CCM haina ugomvi na vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA kwasababu wanajua CHADEMA ni chama cha watu, na mimi nilimwambia Hayati Magufuli kuwa ukimuua Mbowe unaweza lakini huwezi kuiua CHADEMA, kwasababu CHADEMA ni imani ya watu. Pia amewataka wanaMagu...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ni vita kati ya "Serikali" ya CCM na "nchi"

    Muvi ya kutisha na kuchosha. Kama igizo lakini ni kweli. Niwaambie kitu ambacho wengi hamkijui?! Mlishajiuliza, ni kwa nini serikali ya Mh. Rais Samia iliamua kufuta vipande vya hotuba za Baba wa Taifa, katika Television na Radio zote? Kachunguzeni, Mwinyi wala Mkapa hawakudiriki kuzuia...
  14. JamiiForums Tanzania CCM ni Chama pekee Makini Duniani

    Nakipenda Chama Cha Mapinduzi Kwa; 1. Sera makini (utekelezaji 100%), 2. Demokrasia, 3. Uwajibikaji Kwa walipa Kodi (wapiga kura). NB: CCM itatawala milele na milele. Asanteni
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Serikali imepoteza mvuto na imani ya wananchi?

    Tukiwa bado tunaendelea na mjadala wa uwekezaji wa bandari na kampuni ya DP World, lipo fundisho kubwa ambalo kama jamii tunapaswa kujifunza. Ukiachilia mbali suala la maudhui ya makubaliano haya, ambapo kuna pande mbili zenye mitazamo tofauti, kuna suala lingine ambalo kwa mtazamo wangu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania CCM watashinda, lakini wajue hukumu hiyo itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    Tunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya 1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama...
  17. JamiiForums Tanzania Mbeya: Hukumu kesi ya kupinga mkataba kuhitimisha mjadala wa DP World

    Leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inatarajiwa kutoa Uamuzi/Hukumu yake juu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanaharakati wanaohoji uhalali wa Mkataba wa Ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World. Kuanzia Makao Makuu ya CCM Dodoma na Ofisi zake zote...
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira kwa vijana ndilo litakalowatoa CCM madarakani

    Wapinzani wasichojua sisiemu hawatabanduka madarakani kwa njia za kidemokrasia bali kwa vurugu za panya roads. Neema ya kuwang'oa sisiemu haiko kwenye masanduku ya kura bali siku ambayo panya roads watakapoamua kufanya kweli na hiyo siku haiko mbali. Wapinzani wanalia na katiba mpya ambayo...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Bei ya Dagaa imepungua, karibuni wanunuzi

    Habari wanajami, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida. Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya. Dagaa wa nyasi.(wasio na mchanga) Gunia yenye debe 10 kilo 40 (tsh180000/=-tsh260000/=.)...
  20. JamiiForums Tanzania Tamko la CCM nitaliamini 100% endapo tu Mwenyekiti wake Taifa na Rais Samia atakuja na uthubutu ufuatao

    Mimi Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM Taifa natangaza rasmi hapa kuwa sitaki nyie akina Kitenge, Zembwela, Pindi Chana, UVCCM Wote, Rais Mstaafu Kikwete na Wengineo wote Mjipendekeze Kwangu kwani siwahitaji na hakuna ambacho huwa nawatuma mkiseme bali ni Kuwashwawashwa Kwenu tu mkidhani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…