ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. F

    JamiiForums Tanzania Mr Paul Makonda Appointment: Letter to her Excellency Samia Suluhu Hassan, CCM Chaiperson

    Dear Madam CCM CHAIRPERSON I hope this letter finds you well. Iam writing to bring to your attention a matter of concern regarding the appointment of an individual within the party who has been declared ineligible to enter the USA. It has come to my attention that this individual, despite...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Heko CCM: Wao wakifarakana, wewe kandamiza hapo hapo!

    Hasira za nini ndugu zangu? Badala ya kupambana nao tumegeukiana sisi kwa sisi. Majibu ya awali: 1. Mikataba 3 na wale ndugu, kwishney. 2. Konda boy ndani ya nyumba. Na Bado! Ama kweli tunapoendelea kujitafuta, mwana mikakati wao apewe sifa. Hizo ndiyo siasa za kiutu uzima. Wao ni kutu zoom...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania yalipa Fidia ya Tsh. Bilioni 75 kwa kufuta Leseni ya Kampuni ya Madini

    Inauma sana pesa za Walipakodi kupotea Kwa sababu ya uzembe wa Baadhi ya watu na hawachukuliwi hatua yeyote. Dola mil.30 sawa na Bil.75 ni km 55-60 za Barabara ya Lami ila Kuna watu wamepata kiulaini. Swali. Hivi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Huwa inalisaidiaje Taifa? === Kwa mujibu...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Marekani kuvunja Uhusiano na CCM?

    Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani. Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kushinda 2025 inahitaji kura kuu 2 tu

    CCM kushinda 2025 Inahitaji kura kuu 2 TU! a) Kura za wanawake ambapo inatakiwa link kati ya wanawake na CCM, ndo sababu ya Jokate Mwegelo kupewa UWT. Mind you mtu alozaliwa 1990-1994 ni Mama na potential voter wa 2025/2030. Na huyu by any means anamjua Jokate kama rolimodo wake b) Kura za...
  6. JamiiForums Tanzania Unasaini mkataba wa bandari wakati huo huo unamrudisha Makonda. CCM Bado ni wahuni

    Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM. Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ... Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa? Huyo makonda wenu mtajuana wana...
  7. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza

    Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote. Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe.
  8. JamiiForums Tanzania CCM acheni siasa za kutengeneza matukio kuficha uovu wenu

    Mmeona leo Watanzania watawakalia kooni suala la Bandari mkaumua mutengeneze tukio la kumteua Makonda mtu mwenye kashfa za unyang'anyi na uuaji. Ashukuriwe Mungu mmemteua kwenye mambo yahusuyo CCM na si ya kiutumishi. Huko CCM dhambi zote mnazibeba na karibu viongozi wote mna dhambi kubwa kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Miaka 2 mabadiliko mara 4: CCM itikadi na uenezi kuna shida gani?

    Katika kipindi cha miaka miwili tu yaani kati ya mwaka 2021-2023, idara cha itikadi na uenezi CCM imeongozwa na wafuatao: 1. Humphrey PolePole 2. Shaka Hamdu Shaka 3. Sophia Mjema 4. Paul Makonda Huwezi ukawa na taasisi imara ya kisiasa halafu ukawa na mabadiliko ya mara kwa mara ya uongozi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya viongozi wanaoteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaipeleka wapi Tanzania?Ndio kusema tutateua kwa nguvu ya kuumiza wengine?

    Kuna wakati tunasema tuna deep state, kuna wakati tunasema tunategemea Mungu na kuna wakati tunasema tunatengeneza kizazi za watu waadilifu. Tumeona janga kubwa lililopo sasa kwamba nchi nzima vijana wenye nguvu ni wale waliotuhumiwa kutumia madaraka vibaya, waliojitolea kuwa chawa na watoto wa...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi CCM imeishiwa watu wenye akili na hekima mpaka kuendelea kumkumbatia mtu kama Makonda?

    Kuna vitu vinachekesha lakini vingine vinatia kinyaa na kufedhehesha mnoo kwenye siasa za Tanzania. Hivi kwa karne hii yenye kuhitaji wanasiasa wenye akili timamu, upeo na hekima, bado CCM iko usingizini kiasi cha kwenda kuokota watu wale wale wa ajabu ajabu mfano wa Paulo Makonda? Hivi CCM...
  12. JamiiForums Tanzania Tukio la Mkataba wa Bandari kwenda sambamba na Uteuzi wa Makonda ni Dalili za CCM kujivika kitanzi cha hiari

    CCM ina watu wabovu sana kwenye kitengo cha propaganda, kufanya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama spinning ya kuzima mjadala na fikra tunduizi kwa tukio la aibu la Mkataba wa Bandari ni timing mbovu na imekuwa miscalculated. Falme za namna hii hizi ni nyakati...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Katibu Mwenezi mpya wa CCM atatokea kwa wahamiaji? Halima Mdee na Nusrat Hanje watajwa

    Upo uvumi kwamba Mrithi wa Sophia Mjema huenda akawa miongoni mwa wale Wabunge wasio na Chama ambao waliapishwa na Ndugai kwenye Gereji ya Bunge. Halima Mdee na Nusrat Hanje wanatajwa kujaza nafasi hiyo (tetesi). Hutakiwi kupuuza jambo hili , kwa vile ni dhahiri kwamba CCM imeishiwa watu, ndio...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ni lini Serikali ya CCM itanunua laptop kwa kila mwanafunzi kuanzia shule za kata?

    Salaam, Shalom!! Nimewahi kuandika Thread isomekayo, Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe Ili kuboresha uelewa wa wanafunzi. Katika mada hiyo, Nimeshauri Serikali kuhakikisha inaweka mfumo Nchi nzima utakaosaidia wanafunzi shule za msingi angalau wapate kikombe Cha uji wawapo mashuleni...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wangu wa CCM inatosha sasa, TEC hawatatuelewa hadi tueleweke!

    Lazima niseme. Nguvu kubwa inafanywa na viongozi wetu wa CCM Taifa ambao pia ni viongozi serikalini kupata 'uungwaji mkono' na Maaskofu wa Kanisa Katoliki. Ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kuanzia Mwenyekiti/Rais hadi viongozi wengine waandamizi wamekuwa 'busy' na kutafuta...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM wacheni kutembeza masuti ughaibuni

    Hizi ziara mnazofanya na anazofanya Raisi wetu huko nje hazionyeshi kuwa na tija yeyote ile ya kimaendeleo na kielimu. Leo nimeskia nchi ya Mali imekubaliana kushirikiana katika nyanja za mambo ya satalaiti na Urusi na kenya nayo imeweka makubaliano ya kielimu. Viongozi wetu mnaenda kufanya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tutambuane: Wenye ujasiri au sababu za kuikabili CCM

    Hii ni orodha fupi ya wenye ujasili wa kumkabili CCM. Kama hauko humo kuwa tayari kujiunga na CCM. Hao ni wenzako hujijui tu: 1. Wanaompinga Israel na udhwalimu wake Gaza. 2. Wanaowaunga mkono wapalestina dhidi ya uvamizi wa Israel. 3. Wanaotambua kuwa vita vya wapalestina ni vya ukombozi. 4...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM wanaua elimu; wanabadili mfumo wa elimu bila walimu

    Sitaki salamu nimevurugwa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Nchi hii ina maamuzi ya ovyo na ya kipumbavu sana. Kila kitu kinafanyika ovyo ovyo! Ni juzi tu serikali imeuza nchi kwa warabu wa DP World. Na ni jana tu Rais Samia ameenda India kuwaomba wahindi waje kununua kipande cha nchi...
  19. 4

    JamiiForums Tanzania Hii haikubaliki, Msajili ifute CCM mara moja

    Salam wana JF popote mlipo, amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Mada yangu ni fupi sana kwako msajili wa vyama vya siasa Tanzania. Husika na kichwa cha habari tajwa apo juu naomba kupitia mamlaka ya ofisi yako kukifutilia mbali chama cha mapinduzi, na moja ya sababu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Majungu na kukwamishana Buboka Mjini vyamliza Mbunge Byabato. Apiga magoti na kutoa machozi mbele ya wanabukoba

    Mbunge wa Bukoba wa Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa anaongea na wakazi wa jimbo wakati akikabidhi mkataba wa ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi hilo amelalamikia majungu yanayoendelea Bukoba Mjini ambayo yanakwamisha maendeleo ya manispaa hiyo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…