ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM Simiyu Yaridhishwa na Utkelezaji wa Miradi ya RUWASA Inayotekelezwa Ndani ya Mkoa wa Simiyu

    KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya Maji inayofanywa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoani humo ikiwa ni Utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 ya kuhakikisha ifikapo mwaka 2025 huduma ya...
  2. JamiiForums Tanzania Unawezaje kuitenganisha CCM na ukatili?

    Unawezaje kuitenganisha CCM na ukatili dhidi ya watanzania!!?? Ni ukatili wa aina gani ambao bado haujawahi kufanywa na CCM dhidi ya watanzania? Mnaotaka CCM wawe watu wema MNAJISUMBUA BURE!
  3. JamiiForums Tanzania Paulina ukifukuzwa uanachama CCM kimbilia Mahakamani ukazuie ubunge wako kama wale akina Mdee

    Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Ndugu Paulina Gekul, ambaye ametumbuliwa kwa ukatili dhidi ya Ubinadamu, kwamba Nchini Tanzania unaweza ukafutwa uanachama na chama chako au ukajifuta mwenyewe lakini bado ukaenda mahakamani kuupigania ubunge wako. Halima Mdee na Wasaliti wenzie hadi leo wako...
  4. JamiiForums Tanzania CCM Manyara yakutana kumjadili Pauline Gekul, kutoa tamko Novemba 27, 2023

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimefanya kikao leo Jumapili Novemba 26, 2023 kujadili sakata la Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul anayekabiliwa na tuhuma za ukatili na udhalilishaji, na kesho Novemba 27, 2023 kitatoa tamko lake. Gekul anatuhumiwa kutoa maelekezo kwa kundi la...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna haja serikali ikaanza utambuzi wa shughuli za watu mijini na vijijini wasio na kazi waende wakalime kwa lazima

    Unaweza kuona hoja ya kitoto ila ukweli ni kwamba kuna asilimia kubwa ya watu mjini na wengine vijiji wana nguvu ya kufanya shughuli zenye tija za kuleta maendeleo yao binafsi na taifa ila wapo wamekaa tu vijiweni wanapiga soga asubuhi mpaka jioni wanaishi kijanja ujanja na wapo kulaumu serikali...
  6. JamiiForums Tanzania Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Simiyu Imeendelea Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Bariadi DC

    Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 25/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020/2025 ndani ya Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Bariadi DC Katika...
  7. JamiiForums Tanzania Mbarali: Kampeni ya kuifuta CCM yafika vijiji visivyofikika , Liberatus Mwang'ombe aongoza kikosi cha ufutaji

    Hali ndio kama mnavyoiona Aliyekuwa mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali kwa tiketi ya Chadema, ndugu Liberatus ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram kuhusu wanachoendelea kukifanya huko katika kusajili wanachama kidigitali. Ameandika "Hii ni kata ya Miyombweni, Mbarali. Unaendesha barabara...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka TFF wakarabati viwanja kwa kuwa wao ndio wanapokea mapato ya viwanja hivyo

    Anataka TFF wakarabati nyumba za mtu ili iweje? Alichozungumza Rais kwenye video hiyo ni kuwa mara kadhaa ameambiwa aukarabati uwanja wa Taifa. Hata hivyo alihoji kuwa viwanja hivyo huwa vinatumiwa na watu wanaoingia huwa wanalipa fedha, alihoji fedha hizo ziko wapi ili zikarabati uwanja...
  9. JamiiForums Tanzania Kamati ya Siasa Mkoa wa Simiyu Imeendelea Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Itilima

    Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 24/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020/2025 ndani ya Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Itilima Jumla ya Miradi 5 yenye thamani ya Mil 700...
  10. JamiiForums Tanzania Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza...
  11. JamiiForums Tanzania Kushinda uchaguzi 2024 ANC watumie mbinu za CCM 2020

    Jamaa zetu Sauz Wana uchaguzi Mkuu mwakani (2024) maadam Ni Chama rafiki basi watumie mbinu za Chama Chetu kushinda; 1. Mchujo kupitia wajumbe, 2. Kupita bila kupingwa, 3. Kuzima internet (wakati wa kutangaza mshindi)
  12. JamiiForums Tanzania Ubadhirifu Serikali za Wanafunzi wa Vyuo wakithiri, CCM yatajwa, Rais wa TAHLISO atakiwa kujiuzulu

    Baada ya vyuo vingi ikiwemo DIT (Dar es salaam Institute of Technology) Sasa ni SAUT (St. Augustine University of Tanzania) Mwanza. Huyu Anaitwa Kabado C. Kabado Rais wa Serikali ya Wafunzi SAUT Mwanza Tar. 21 Nov, 2023 Usiku Nlipokea simu na Jumbe za Maandish nyingi kutoka kwa Wanafunzi wa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Je, CCM ilisajiliwa UPYA ulipoasisiwa mfumo wa Vyama vingi Julai 1992?

    Salaam, Shalom! Swali hili nimekuwa nikujiuliza kitambo sasa kuwa, Ulipoasisiwa mfumo wa Vyama vingi July 1, mwaka 1992, CCM iliyokuwa chama pekee katika mfumo wa chama kimoja, ilipata usajili UPYA na kujitenga na kujishikamanisha na system? Maana ukikiangalia chama hiki Kwa nje ni kama chama...
  14. JamiiForums Tanzania Siku wanachama wa CCM watakapojitambua

    Kuna siku wanachama wa ccm watakapo jitambua kuwa:- 1. Watoto wao wamesoma wanazurura hakuna ajira. 2. Huduma za jijamii hazipo kulingana na mahitaji yao 3. Raslimali zipo ila zinamilikiwa na wachache 4. CCM ni familia ya watu wachache wanao ongoza mamilioni ya watu wasio na walio wanachama...
  15. JamiiForums Tanzania Mkakati Mpya wa CHADEMA wa kuifuta CCM Majimboni waanza vizuri

    Labda kwa wale ambao hawaelewi ni hivi , Chadema sasa imeamua kuchukua wananchi wote na kubakisha viongozi pekee , yaani wananchi wote wanakuwa wanachadema halafu ccm inabaki na Viongozi tu . DED , DC , POLIS , MAYOR , RC , MAWAZIRI , WABUNGE pamoja na familia zao , kwa hesabu hawafiki hata mil...
  16. JamiiForums Tanzania Ndugu Shemsa Mohammed Aongoza Kamati ya Siasa Mkoa wa Simiyu Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Meatu

    NDUGU SHEMSA MOHAMMED AONGOZA KAMATI YA SIASA MKOA WA SIMIYU KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM WILAYA YA MEATU Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake ndugu Shemsa Seif Mohammed tarehe 22/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa...
  17. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Wakurugenzi wa halmashauri ni makada wa CCM, hawawezi kutenda haki

    Zitto Kabwe amesema kuwa ''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu wakurugenzi wengi wa halmashauri ni makada wa CCM hawawezi kutenda haki, kwahiyo hili ni eneo ambalo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania CCM imekubali ife kuwabeba mawaziri hawa?

    CHAMA cha Mapinduzi ni chama makini chenye uwezo wa kubadilika kutokana na nyakati lakini kwa sasa wanachama wengi wanahoji ukimya wa kushindwa kuchukua hatua za kuwang'oa mawaziri hawa ili kukinusuru chama ni nini? Mawaziri wanaoongoza kulalamikiwa na wananchi ambao ni Wajumbe wa Halmashauri...
  19. JamiiForums Tanzania Mbagala chafu sana, CCM yatumia Rapid Force (kikundi cha uhamasishaji) kuficha malalamiko ya wananchi

    Jana Jumanne tarehe 21/11/2023 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alifanya mkutano Mbagala, mkutano huo ulikuwa ni wa kulifungua soko la Mbagala Zakhiem. Kama kawaida yao mabingwa wa kuficha ukweli huwa wanaambatana na kikundi cha vijana wapatao 30 hivi, hawa vijana wanaokusanywa sehemu mbalimbali...
  20. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Jaji Ntemi alitufuata CCM akatuomba tumpelekee orodha ya Mawakili tunaotaka wafungiwe

    Mbombo ngafu, Kwanini awafuate CCM? Sio TLP au Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu, au wakuu wa mikoa? Humphrey Polepole Machi 6 2021, aliwahi kusema kuwa Jaji Ntemi aliwatafuta CCM akafungua milango kama kuna mawakili wanawasumbua watanzania basi wao(CCM) wapokee taarifa za Mawakili hao na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…