Wale weusi wanaishi kwenye zile slums/locations wataichagua ANCANC LAZIMA washinde uchaguzi wa 2024. Wasiposhinda maana yake WAPO TAYARI kurudi kwenye UBAGUZI WA RANGI kwa maana chama chenye nguvu baada ya ANC ni Chama cha Makaburu. Nami binafsi nawaombea wasiichague ANC Ili warudi kwenye APARTHEID.
Kama Tangonyeka tuWale weusi wanaishi kwenye zile slums/locations wataichagua ANC
Ukijitutumua kutokea Mpitimbi.ANC LAZIMA washinde uchaguzi wa 2024. Wasiposhinda maana yake WAPO TAYARI kurudi kwenye UBAGUZI WA RANGI kwa maana chama chenye nguvu baada ya ANC ni Chama cha Makaburu. Nami binafsi nawaombea wasiichague ANC Ili warudi kwenye APARTHEID.
Wewe unakaa wapi?Wale weusi wanaishi kwenye zile slums/locations wataichagua ANC
PotchefstroomWewe unakaa wapi?
Apartheid ya rangi ni zilipendwa. Haitarejea tena. Wazungu waliosoma na wenye mitaji wameshajitambua kuwa fursa kubwa iko kwenye soko huria na utandawazi kimataifa. Wameshakamata biashara na kumiliki rasilimali kibao barani Afrika na kwingineko duniani. Hawana mpango na vikwazo tena.ANC LAZIMA washinde uchaguzi wa 2024. Wasiposhinda maana yake WAPO TAYARI kurudi kwenye UBAGUZI WA RANGI kwa maana chama chenye nguvu baada ya ANC ni Chama cha Makaburu. Nami binafsi nawaombea wasiichague ANC Ili warudi kwenye APARTHEID.
Jamaa zetu Sauz Wana uchaguzi Mkuu mwakani (2024) maadam Ni Chama rafiki basi watumie mbinu za Chama Chetu kushinda;
1. Mchujo kupitia wajumbe,
2. Kupitia bila kupingwa,
3. Kuzima internet (wakati wa kutangaza mshindi)
Hakuna chama kilicho irudisha SA nyuma kama ANC, wakati wa utawala wa kibaguzi SA ilikuwa ni moja ya mataifa yaliyokuwa na uchumi mzuri sana duniani lkn leo SA ni kama sisi tu. Bure kabisa.ANC LAZIMA washinde uchaguzi wa 2024. Wasiposhinda maana yake WAPO TAYARI kurudi kwenye UBAGUZI WA RANGI kwa maana chama chenye nguvu baada ya ANC ni Chama cha Makaburu. Nami binafsi nawaombea wasiichague ANC Ili warudi kwenye APARTHEID.
CCM ndio Chama MakiniJamaa zetu Sauz Wana uchaguzi Mkuu mwakani (2024) maadam Ni Chama rafiki basi watumie mbinu za Chama Chetu kushinda;
1. Mchujo kupitia wajumbe,
2. Kupitia bila kupingwa,
3. Kuzima internet (wakati wa kutangaza mshindi)
ANC imekuwa ya mashoga, Malema anayepigiwa chapuo na UVCCM ni kiongozi wa chama cha mashoga SA na ana bwana wake anayempakua.Hakuna chama kilicho irudisha SA nyuma kama ANC, wakati wa utawala wa kibaguzi SA ilikuwa ni moja ya mataifa yaliyokuwa na uchumi mzuri sana duniani lkn leo SA ni kama sisi tu. Bure kabisa.
Chama cha sera ya ubaguzi wa rangi kilishakufa kiitikadi miaka ya 90. Chama kinachofuatia kwa ushawishi South Africa hivi sasa ni DA, ambacho ni chama mseto.ANC LAZIMA washinde uchaguzi wa 2024. Wasiposhinda maana yake WAPO TAYARI kurudi kwenye UBAGUZI WA RANGI kwa maana chama chenye nguvu baada ya ANC ni Chama cha Makaburu. Nami binafsi nawaombea wasiichague ANC Ili warudi kwenye APARTHEID.