ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM yaibuka mshindi uchaguzi Isimani

    Mgombea Ubunge wa Jimbo Ismani Emmanuela Mtatifikolo ametangazwa Mshindi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya kupata kura 70,905 sawa na asilimia 93.5 katika Uchaguzi uliofanyika Juni 1/2026. Uchaguzi huo umefanyika katika Jimbo la Ismani ambalo Lina Tarafa tatu ikiwemo Ismani, Idodi na Pawaga...
  2. W

    JamiiForums Tanzania CCM (Arusha): Walioweka makava kwenye Pikipiki za Chama wanyang'anywe

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimewaonya viongozi wa chama wanaotumia vibaya mali za chama huku kikisisitiza kuwa hakitavumilia uzembe na ubadhirifu unaofanywa na baadhi ya viongozi katika ngazi mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA mjiulize swali la msingi. Kama Mch Msigwa angesginda uchaguzi kupitia CCM angejiuzulu ubunge sababu ya mauaji ya Oktoba 29?

    Anadai sababu kubwa ya yeye kurudi CHADEMA ni kwa sababu mauaji yalifanyika tar 29 mwezi wa kumi mwaka 2025. Je, kama CCM ingempitisha kuwa mgombea wao wa ubunge na kisha akawa mbunge angejiuzulu au angekataa kuapishwa kuwa Mbunge? Wajinga ndio...
  4. JamiiForums Tanzania CCM yavunja rekodi Mkutano wa kufunga Kampeni Migoli Isimani

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ismani Emmanuela Mtatifikolo kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) amehitimisha mikutano ya kampeni za Uchaguzi Mdogo katika Kata ya Idodi kwa kuwaomba wananchi wa Kata hiyo kujitokeza kwa wingi kupiga kura za Ndiyo kwa CCM katika uchaguzi utakaofanyika Juni...
  5. JamiiForums Tanzania NAOMBA TOFAUTI KATI YA UTAWALA WA CCM NA UTAWALA WA MKOLONI MWEUPE

    Wana jamvi, naomba mnisaidie tofauti ya CCM na makaburu walau kwa mambo yafuatayo; 1. Ni jambo gani baya sana mkoloni mweupe alitufanyia watanganyika ambalo CCM hajatufanyia? 2. Ni mambo gani mazuri CCM inafanya ambayo mkoloni alishindwa kutufanyia mpaka ikatubidi kumfukuza? Binafsi maswali haya...
  6. JamiiForums Tanzania Tittle ya file la vetting ILIYOFANYWA dhidi ya Peter Msigwa ndani ya ccm kimeandikwa: "MALAYA WA SIASA". Na lipo mezani kwa mama.

    Yawezekana msomaji unajiuliza mie sifi Leo wa jf nayakuaje ya mafile yaliyopo mezani kwa mama tena ndani ya ikulu mpya? Unapijiuliza hivyo jiulize niliwezaje enzi za jiwe kuwa namtajia mafile aliyokuwa anayarika ruka wakati wa UTAWALA wake dhidi ya operesheni yake ya kupasua jipu? Enzi hizo...
  7. JamiiForums Tanzania Mwana CCM Suphian akana tuhuma za kujihusisha na ushoga wakati akifanya mahojiano na Edwin Odemba

    Kama sio kweli basi badili Body movements ====== Edwin Odemba: Gazeti la Tanzania Daima, toleo la 421 la tarehe 20 April, mwaka 2019, liliandika kwenye ukurasa wake wa mbele kabisa ya kwamba Shoga Suphian awachanganya Zitto na Maalim Seif, na ikawekwa picha yako. Hatukuona mara popote...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria?

    ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria? Buswelu A – Majengo Mapya, Ilemela. Mwaka 2019, wananchi wa eneo hili waligundua kuwa kuna mpango wa kujenga baa katikati ya makazi yao. Kwa kuwa sheria za nchi zinadhibiti wazi wapi baa zinaweza kujengwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania CCM endeleeni kujidanganya- maridhiano bila Chadema ni kupoteza muda, chadema walisema no reform no election mkadharau, je uchaguzi ulifanyika?

    CCM ni sikio la kufa sasa hivi wanajidanganya eti wawatumie vyama vibaraka vyao kufanya maridhiano eti bila CHADEMA. Lakini wote tunakumbuka CHADEMA waliposema NO REFORM NO ELECTION watu wengi wa CCM na vyama vyao pandikizi waliwabeza sana na kuonesha kiburi kuwa uchaguzi utafanyika tu...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini ukikosoa serikali na CCM unaonekana CHADEMA? Na kwa nini ukisifia CCM na Serikali yake unaonekan CCM?

    Hii kasumba hiko kwa watanzania karibia 80% wewe ukikosoa serikalini tu basi wewe ni Chadema. Vile vile ukisifia serikali tu basi wewe ni mwana CCM kwamba ni makosa kua na akili huru? Tujifunze kua wazalendo na kuangalia maslahi mapana ya nchi kwanza vyama baadae CCM inaweza kupotea kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Kama tunavyowaambia CCM hii nchi sio yenu peke yenu. Vivyo hivyo na CHADEMA hamna hatimiliki ya Ukweli na Demokrasia peke yenu

    Hamjambo! 1. Bado tunawekana Sawa. Tunazungumza. Ili mambo yakae sawa. 2. Kuna vitabia vya ajabuajabu ndani ya nchi yetu. Tabia ya kujimilikisha mambo ambayo hayamilikiwi na yeyote. Mambo ya wote kundi na genge Fulani linahodhi na kujimilikisha. Hiya ni dhulma. 3. Ukweli, uzuri, uponyaji...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi anazidi kukubalika na kuonekana ana busara kuliko wanachama wote wa CCM

    Nipo kwenye basi natoka Chato na kuelekea huko ninakokwenda. Nimefika Bwanga nikaanza kujiuliza juu ya hili suala.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mwambigija: CCM tendeni Haki sio kurundika Matume ambayo yanakula Fedha za Walipa Kodi

    Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA (BAZECHA) Mkoa wa Mbeya, David John Mwambigija, akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Maji Moto, Jimbo la Kavuu mkoani Katavi, "Njia ya kutatua haya sio kuunda tume. Kwanza wanakushauri vibaya. Ushauri mtamu na mzuri na wenye...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Rose Migiro: CCM tulipata mshangao katika matukio ya Oktoba 29

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi , Dkt. Asha-Rose Migiro @officialasharosemigiro anaeleza kuwa matukio ya vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025, yalikishangaza pia Chama hicho kwani haikuwahi tokea
  15. W

    JamiiForums Tanzania Rose Migiro: Polisi hailindi CCM, inawalinda wananchi

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro katika Mahojiano maalumu na Salim Kikeke anaeleza kuwa Jeshi la Polisi lina Wajibu wakulinda Raia wote wa Tanzania na sio CCM kama baadhi ya Watu wanavyodai.
  16. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM Hatimaye yachukizwa na utekaji! Yaumizwa na yaliyotokea Oktoba 29, Balozi Migiro ateta na Kikeke

    28 May 2026 CCM YACHUKIZWA NA UTEKAJI, YAUMIZWA NA YALIYOTOKEA OKTOBA 29, BALOZI DKT ROSE MIGIRO ATETA NA KIKEKE https://m.youtube.com/watch?v=rqTKkT6dv7o Baada ya kukaa kimya toka 2017 kuhusu utekaji, mauaji, kesi feki hadi Mei 2026 kufuatia muswaada wa vikwazo uliopendekezwa huko Marekani...
  17. JamiiForums Tanzania IGP na Jeshi lako stuka, Unauziwa Mbuzi kwenye Gunia , CCM na Serikali Wameamua kuimba 'Jeshi la Polisi lilifanya Kazi nzuri Okt 29'. Kinakulamba

    IGP Wambura, pole sanaaaa , Ona sasaaaa, ona sasa Kuanzia CCM na Serikali yaaan awe Rais, Awe Wazir, awe Wasira , awe Katibu Asharose ........Wameamua kuimba Wimbk mmoja tu "JESHI LA POLISI LIKIFANYA KAZI YA KUTUKUKA OKTOBA 29". Kwasasa wameambiana kutoa matamko kama hayo, ILI HASIRA ZA...
  18. JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya CCM tuache kuuzia wananchi matumaini huyu mtu hatoshi hata sisi tuliokua tunamtetea tunaonekana hamnazo

    Mambo ya kuuziana matumaini ni suala ambalo limechosha watu huyu mtu hatoshi hawezi kwendana na kizazi cha sasa namshauri akasome public speaking Edition six ajue namna ya kuzungumza nini kwa wakati gani. Kiongozi mkuu wa nchi anasema police wafiche clips za rushwa kweli...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Amani Golugwa: Tunaenda kuiondoa CCM madarakani kidemokrasia

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kupambana kuiondoa CCM (Chama Tawala Nchini Tanzania) madarakani kwa njia ya kidemokrasia Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Tanzania Bara Amani Golugwa wakati akizungumza na...
  20. JamiiForums Tanzania Zitto: CCM ikitaka Chama kimoja kama China ikubali 'meritocracy' na kukataa uchawa

    "Ni kama watawala wetu wanatamani the Chinese way. Wanatamani eh mfumo wetu ungekuwa kama CCP, the Chinese Communist Party. Ninavyoona. Lakini wale China, pamoja na kwamba ni chama kimoja, eh kwanza hawana mchezo na ufasadi. Juzi mawaziri wao wawili wa ulinzi wamenyongwa. Mawaziri wawili wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…