ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Pascal Haonga: CCM ni adui wa kila mtu. Wamemuweka Lissu ndani. Hawashauriki

    "Chama cha Mapinduzi ni adui wa kila mtu. Mwalimu Nyerere alikuwa anapambana na maadui wangapi? Watatu, sindio? Ujinga, maradhi, na nani? Na umaskini. Leo Chama cha Mapinduzi ni adui namba nne. Chama cha Mapinduzi. Ni adui wa wakulima, ni adui wa wafanyabiashara, ni adui wa maaskari ambao pia...
  2. JamiiForums Tanzania Kihongosi: CHADEMA wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano wanayoratibu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kile kilichokiita ni mipango ya siri inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yenye lengo la kuhamasisha vurugu nchini kupitia maandamano. Kauli hiyo imetolewa leo Juni 13, 2026, Jijini Dodoma na Katibu wa Itikadi, Uenezi na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi na CCM achaneni kuwasingizia Chadema, angalieni muungano unavunjika. Sikia maneno ya sheikh

    Watanganyika endeleeni kupaza Sauti ya Utaifa ya Tanganyika. Kadri Wazanzibari wanavyojibu ndio mpasuko ndani ya Jamii unaongezeka, sikiliza kwa makini huyu Sheikh anayozungumza alafu useme kwa nini kusiwepo na Serikali ya Tanganyika. CCM mjibuni huyu Sheikh.
  4. JamiiForums Tanzania October 29 sio mwisho .Kumbukeni CCM mna majirani mfano historia ya rwanda ijaanza mwaka 1994

    CCM kwa sasa uwelekeo wenu baada kukipa chama jeshi la polisi na jeshi la nchi. Ila na wakumbusha rwanda mpaka ilipofikia 94 ndio ikatazamwa dunia nzima. Sio hapo ila CCM bado mjajifunza naijeria,libya,sudani,somaria,yogosilavia,Korea kutengana,vitenam na nchi ambazo mwisho wa siku ni ukweli...
  5. JamiiForums Tanzania CCM na wafuasi wao wako radhi kuungana kufanya lolote lile, hata kama lina madhara makubwa kwenye nchi hawajali. Siasa za mkumbo mbaya

    Siasa za namna hii ndizo zinazo kwamisha nchi kusonga mbele. Hakuna uzalendo wa dhati kwa nchi, wala namna yeyote ya kuwa na uzalendo kwa nchi hakuna , nchi inateketea hii kwa ujinga.
  6. JamiiForums Tanzania Syst Nyahoza hausikii kauli za wana CCM kutoka Zanzibar?

    Namkumbisha msajiri wa vyama vya siasa jaji Mtungi na msaidizi wake bwana Nyahoza kuchukua hatua za haraka sana kukiandikia barua chama cha mapinduzi CCM. Hii nikutokana na kauli mbali mbali zinazotolewa na makada wake wazanzibari zinazohamasisha ubaguzi dhidi ya watanganyika waishio Zanzibar...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwenezi wa CCM aliwachapa walimu viboko Kwa sheria ipi aliyoitumia ?

    Terrible! Majitu mazima yanachapwa viboko yanakubali ! Kwa sheria ipi aliyoitumia mpuuzi huyu! Inasikitisha sana! Watu wazima kabisa wanachapwa viboko na wanakubali. Huyu Kenan Kihongosi alitumia sheria ipi kufanya jambo hilo? Kwa kweli kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu matumizi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa namna ninavyoona taifa langu likipotea, nabugia Balimi kwa kwenda mbele na kuchanganya na Konyagi. CCM imeharibu mustakabali wa Taifa letu

    Naona kama taifa letu halina future tena. Mwalimu Nyerere aliwategemea hawa jamaa wa iliyokuwa USSR. Kwa ujinga uliokuwepo tukaimbishwa nyimbo kuwa ni watu wazuri na sio wanyonyaji. Lakini hakuna walichotusaidia zaidi ya wao kuuza siraha zao na kunufuika wakati wa vita vya Kagera na hata pia...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Jacob Boniface: CCM wako tayari nchi iwekewe vikwazo ili mradi tu Lissu asitoke gerezani

    Akizungumza na wananchi mkoani Mbeya, Jacob amedai chama tawala cha CCM kimeweka mbele chuki na maslahi ya kisiasa na ya mtu binafsi kuliko ustawi wa nchi, akidai kuwa wako tayari kuona nchi inakosa misaada ya maendeleo ili mradi tu sauti ya Lissu izimwe.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imefanya wananchi wazoee mateso kwa kiwango ambacho wanaona ni sehemu ya maisha

    Nimepita leo ofisi za Nida pale Mombasa watu wamekusanyika wengi foleni juani toka asubuhi hadi jioni, hivi katika kizazi hiki cha technology ilivyopiga hatua una haja gani kuwaanika watu juani na kuwanyeshesha mvua, huku ukiwa umewasitisha kufanya kazi kutwa nzima!!? Hali ni hiyo maeneo mengi...
  11. JamiiForums Tanzania WaTanzania wanaipenda na kuiamini sana CCM, kama ambavyo CCM inawapenda sana wananchi wote na kuwatumikia waTanzania kwa weledi na bila ubaguzi

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hilo kama taifa. Ushindi wa kishindo cha zaidi ya 90% alioupata mgombea ubunge wa CCM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Isimani, mkoani Iringa, ni uthibitisho tosha wa mapenzi mazito sana ya waTanzania kwa ccm, na imani kubwa sana walioyonayo kwa wagombea...
  12. JamiiForums Tanzania Miji Mingi Inacheleweshwa Maendeleo Na "Assets/Mali Za CCM"

    Mko poa wasoma uzi? Niende kwenye mada, baada ya uanzishwaji wa vyama vingi CCM ilichukua mali zilizokua na Umma na kuweka kwenye milki ya chama. Viwanja vya mpira kama Kirumba, Mwanza, Jamuhuri Dodoma, frame za biashara, stand za mabasi, nyumba na viwanja vingi vilivyokua mali ya umma...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenzenu Idu nipo kijiwe fulani Igunga nagonga balimi baridiiiii. Huku nikifuatilia CHADEMA namna wanavyoibagaza CCM

    Haya sio mashambulizi bali ni nia thabiti ya Chadema kuchukua dola. Mungu si Athumani. Maana Mungu hana ubaguzi wala choyo. Watanzania wamepata uelewa mkubwa sana. Hawaitaki CCM kwa namna yoyote ile. Leo hii Chadema wanaibagaza CCM kam vile wanakaanga samaki. Kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa...
  14. JamiiForums Tanzania CCM Ni utamaduni, ukilelewa kwenye vyama vya upinzani hutapaweza!

    Kama kunaeneo methali ya "samaki mkunje angali mbichi" inaishi, basi eneo hilo ni eneo la siasa. Juzi tumemsikia Alli Happy, katibu wa jumuia ya wazazi CCM, kufuatia kurudi kwa Msigwa CHADEMA, akisema kwa jinsi alivyomfahamu Msigwa alijua hawezi kukaa CCM. Jambo hili ni dhahiri sio kwa Msigwa...
  15. JamiiForums Tanzania Nikisema wabunge wa CCM hawajielewi, nitakuwa nawatukana?

    Fikiria huyu alikuwa Waziri
  16. JamiiForums Tanzania Wananchi kitaani wanataka Rais kama Magufuli CCM wanaogopa kuleta mtu kama Magufuli maana CCM wengi ni wezi wa mali za Umma

    Mimi ukinikuta mtaani ni kada wa chama kweli kweli huwa najitahidi kukusanya maoni ya wananchi wengi vijiweni kwa mabodaboda kwa mama ntilie machinga wafanya biashara maana Wakandarasi wanangu sana walimu kiasi kwamba Mimi wa mtaani akikutana na mimi JF watapigana sana...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Tunaomba Mamlaka zifike katika soko la Buhongwa kufuatilia tatizo la baadhi ya Wauzaji kuiba katika upimaji wa bidhaa

    Tunaomba mamlaka husika ziingilie kati tatizo hili haraka iwezekanavyo. Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi kuhusu bidhaa zinazouzwa kwa vipimo pungufu. Kwa mfano, mtu anaponunua kilo 15, akifika nyumbani na kupima upya anakuta kilo 11 tu; kilo 4 zinakuwa zimepungua. Jambo la...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna watu mpaka leo hawajui kwanini wanaohudhuria mikutano ya CCM huenda na mabegi mgongoni

    Niwasanue au niwaache tu. Dunia ina siri ila hii ya kwao tushaisanukia😁 yaani wanatoka na begi la nguo za kijani wakifika wanabadilisha mkutano ukiisha wanazivua na kuficha kwa mabegi.
  19. T

    JamiiForums Tanzania CCM imetengeneza serikali ya majizi na mifumo ya majizi na sasa kumeletwa machawa kuimarisha mifumo ya wizi!. Soma ushahidi hapa

    Hii nchi imeharibiwa sana na kutengenezwa kuwa pori kubwa sana yaani (the jungle of thieves,). Na walioshika mpini hawana mpango kabisa wa kutatua hii changamoto kwa sababu nyingi tofauti tofauti. Ushahidi wa haya mambo uko wazi na dhahiri sana, ikiwa ni pamoja na hiki kinachoitwa ziara za...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya CCM kumkana tamko lake la "Yuda", Simai lazima avuliwe uanachama

    Mambo yanaenda kasi sana. Waswahili wanasema mdomo ulikiponza kichwa. Madsi ya mwanasiasa asiyejulikana na wengi kutoka Zanxibar sitwaye Simai Mohammed, umeleta mtafaruku wa kisiasa ndani ya CCM, na hata Bungeni. Madai yake mazito ati kuna Yuda msaliti ndani ya serikali, si tu yamekosea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…