PreGE2025 CCM yarekebisha Katiba yake, kwanini ya nchi wanakwama?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Black Legend

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
211
Reaction score
368
Kwenye mkutano wa CCM leo, kumeadhimiwa kufanyika marekebisho ya KATIBA ya chama ya mwaka 1977.

Swali la kujiuliza ni "kwanini mabadiliko yanayohitajika kwenye KATIBA ya nchi yanapingwa? Taifa limekuwa katika mapito ya vipindi mbalimbali ya kimabadiliko...

Kufanya reform ya KATIBA ya nchi yetu ni kitu kinachohitajika saana kuliko kitu chochote kwa Sasa Ili tuliponye Taifa hili.

Viongozi wakiendelea kushipaza shingo na kiburi cha madaraka, muda utawakimbia na mambo yakiharibika watakuwa wa kwanza kubeba lawama. It's time for "CONSTITUTION REFORMATION".🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
CCM wamerekebisha katiba yao,katika ya nchi ilisharekebishwa mara nyingi tu,sema mnataka marekebisho ya uchaguzi (tume huru) mkiamini mtapata madaraka,mtafune nchi
 
I mean new constitution....sijaegemea chama chochote..acha kupotosha. Ndio maana WAKENYA wanatuona brainless coz hatujikiti kwenye msingi wa hoja. Poor you😡
 
Wakenya unawaona Wana akili,watu wanakula mirungi kutwa na kufunga kula wafe Ili waonane na yesu!!?..unadai hunaegemea chama, really!!?..huna chama unataka katiba ibadilike, ibadilike wapi!!
 
Kwenye mkutano wa CCM leo, kumeadhimiwa kufanyika marekebisho ya KATIBA ya chama ya mwaka 1977.

Swali la kujiuliza ni "kwanini mabadiliko yanayohitajika kwenye KATIBA ya nchi yanapingwa? Taifa limekuwa katika mapito ya vipindi mbalimbali ya kimabadiliko...

Kufanya reform ya KATIBA ya nchi yetu ni kitu kinachohitajika saana kuliko kitu chochote kwa Sasa Ili tuliponye Taifa hili.

Viongozi wakiendelea kushipaza shingo na kiburi cha madaraka, muda utawakimbia na mambo yakiharibika watakuwa wa kwanza kubeba lawama. It's time for "CONSTITUTION REFORMATION".🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Katiba ya nchi wameachiwa chadema, Lissu rais 2025-30. Hapo ndo katiba ya nchi itarekebishwa.
 
Kwenye mkutano wa CCM leo, kumeadhimiwa kufanyika marekebisho ya KATIBA ya chama ya mwaka 1977.

Swali la kujiuliza ni "kwanini mabadiliko yanayohitajika kwenye KATIBA ya nchi yanapingwa? Taifa limekuwa katika mapito ya vipindi mbalimbali ya kimabadiliko...

Kufanya reform ya KATIBA ya nchi yetu ni kitu kinachohitajika saana kuliko kitu chochote kwa Sasa Ili tuliponye Taifa hili.

Viongozi wakiendelea kushipaza shingo na kiburi cha madaraka, muda utawakimbia na mambo yakiharibika watakuwa wa kwanza kubeba lawama. It's time for "CONSTITUTION REFORMATION".🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ni wezi wanaogopa kwenda jela
 
Wakenya unawaona Wana akili,watu wanakula mirungi kutwa na kufunga kula wafe Ili waonane na yesu!!?..unadai hunaegemea chama, really!!?..huna chama unataka katiba ibadilike, ibadilike wapi!!
Mental malfunction......You still don't understand,,,,talk about the core of the presented issue....not a person.
 
Kwenye mkutano wa CCM leo, kumeadhimiwa kufanyika marekebisho ya KATIBA ya chama ya mwaka 1977.

Swali la kujiuliza ni "kwanini mabadiliko yanayohitajika kwenye KATIBA ya nchi yanapingwa? Taifa limekuwa katika mapito ya vipindi mbalimbali ya kimabadiliko...

Kufanya reform ya KATIBA ya nchi yetu ni kitu kinachohitajika saana kuliko kitu chochote kwa Sasa Ili tuliponye Taifa hili.

Viongozi wakiendelea kushipaza shingo na kiburi cha madaraka, muda utawakimbia na mambo yakiharibika watakuwa wa kwanza kubeba lawama. It's time for "CONSTITUTION REFORMATION".🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hujui kuwa katiba ikibadilishwa ndio anguko lao?!
 
CCM wamerekebisha katiba yao,katika ya nchi ilisharekebishwa mara nyingi tu,sema mnataka marekebisho ya uchaguzi (tume huru) mkiamini mtapata madaraka,mtafune nchi
You again!!!???
 
Marekebisho gani imefanya, maana unaweza kufanya marekebisho lakini si ya msingi.
 
CCM wamerekebisha katiba yao,katika ya nchi ilisharekebishwa mara nyingi tu,sema mnataka marekebisho ya uchaguzi (tume huru) mkiamini mtapata madaraka,mtafune nchi
Kwa taarifa yako ambao wanakataa marekebisho ya sheria mbovu za uchaguzi wamekopa trillions 30+ kwa miaka mitatu tu na taarifa ya CAG kwa mwaka jana walitumia billions 500+hovyo hovyo....na hela wanapitishia Zanzibar yenye idadi ya watu 1,300,000.
Nchi wameisha tafuna mbona na kila siku wanachouza ni rasilimali za Tanganyika siyo Zanzibar na wanatafuna hasa,kule mbuga ya wanyama mtandao unasoma EMIRATE ndani ya Tanganyika!
 
Back
Top Bottom