Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
1.Mijanaume na nguvu zao kabisa imevaa t-shirt za ccm.
2.saa 7 mchana wa jua kali mtu kavaa rain boots.
3.Chadema office zao zimefungwa nasikia ni mwezi wa nne huu sasa eti wameahindwa kulipa kodi ya pango ambayo ni elfu 15 kila mwezi
4.Maji ni changamoto
5.kuna lodge za hadi elfu 5 mpaka...
Kama nilivyoeleza hapo juu mimi ni mwana CCM na juzi niliona ilani ya CCM ikiwasilishwa mbele ya Mkutano Mkuu kule Dodoma.
Kwa kawaida na kwa utaratibu ilani inatakiwa ianzie kwenye ngazi za chini (grassroot) wakiulizwa maoni yao na hii inatakiwa iwe kwa nchi nzima na baadaye maoni haya...
Tuseme kweli na tusinyamaze kwa sababu kama tukinyamaza basi mawe yatasema na ukweli ni kwamba :
1. CCM ipo mbele sana ya muda kwenye maendeleo. CCM inabadilika na dunia inavyobadilika.
2. Mabadiliko ya kiuchumi ni nyenzo ya ukombozi kuliko mageuzi ya kisiasa katika Karne hii na CCM...
Ushahidi wa hili ni katika kupiga kura kwakuwa ni tendo la hiyari na halina kutafutana, hawapigi kura kabisaa na hawana fikra hizo za kupiga kura kwa hiyar yao wenyewe ndio maana
Ikiwa hakuta kuwa na kura za kupika zitakazo wekwa na wasimamizi wa vituo kwenye masanduku ya kupigia kura kama...
Friends and our Enemies,
Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu zake.
Kwa kauli ya MWENYEKITI WA CCM Jana,ni wazi kuwa huyo siyo miongoni mwa zao la mfumo wao,kwa...
Watu wengi wanajiuliza sana juu ya hili agizo kuwa Magwajima wasipktishwe kugombea ubunge na udiwani.
Swali la msingi , Magwajima wasipokuwepo CCM ndio itawafaa watanzania?
Magwajima ndio walipaswa kupitishwa ili kuisimamia na kuhoji masuala ya msingi kwa manufaa ya nchi yetu.
Chama...
Kitendo cha Rais Samia kulibeba suala la Gwajima yeye kama yeye bila ya kuwa sehemu ya agenda kamili ya mkutano mkuu wa ccm wa juzi na na jana, kuna leta maswali mengi juu ya uungwaji mkono ndani ya chama chake
Kwa kiswahili kisicho sawa, hapa mwenyekiti alitumia kiti chake kumhukumu Gwajima...
Gwajimalization - kimsingi hili linamaanisha kuwa na watu ambao wanaweza kudiriki kuukosoa uongozi wa CCM au Tanzania kwa ujumla, kwa faida ya Watanzania. Hili lina ubaya gani? Nyerere alisisitiza siku zote kuwa kukosoana ni sehemu ya kurekebishana. Leo raisi wa nchi anaongea kwa kujiamini...
Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!!
Hivi hii takataka bado ipo ofisini?
CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi?
Very sad !!
Wakuu,
Nimetafakari sana nguvu kubwa na ya makusudi inayotumika kuidhoofisha kabisa Chadema tena wahusika hawana tena hata soni waziwazi.
Haya yote lengo kuu ni kukilinda chama tawala, lakini huu ulinzi mbona hauna ulinzi? Public awareness kwa yanayoendelea mbona ni sawa na kuzungusha ukuta...
Sijui hizo suffixes "nized" ziko sawa gramatically au la!! Mliosoma HGL na "L" zingine mtanisahihisha kama nitakuwa nimechemka.
Naungana na wanaCCM wanaolaani press ya Gwajima. Lakini pia natofautiana nao kwenye mantiki ya hoja zake.
Kimsingi sina uhakika kama Askofu Gwajima hajawahi kusoma...
Kujiamini kwa Samia Suluhu Hassan, ni uthibitisho wa uhakika kwa amani, umoja na usalama wa Taifa letu, Lakini pia ni ishara ya wazi kwamba CCM inakwenda kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria October mwaka huu2025.
Dr.Samia Suluhu Hassan, amesimama vizuri sana kwenye...
Mwaka 2008 Zimbabwe ilifanya uchaguzi mkuu, chama cha upinzani cha MDC cha Morgan Tsavangirai kikashinda urais na viti vingi vya ubunge, kilichotokea tume ya taifa haikutangaza matokeo kwa miezi miwili baada ya uchaguzi.
Hatimaye matokeo yalipotangazwa tume ikamtangaza Morgan Tsavangirai...
😀😀
Ila CCM bana
Yaani mmeandikisha hadi watoto wa shule mmefika milioni 13
Sasa na Chadema kupitia uandikishaji wao wamefika mil 18 na mnaona umati wakati CCM wanasomba hadi wavuta bangi 🤣
Hii imekwisha! CCM kama mna wanachama milioni 3 serious mmejitahidi
Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii?
======================================
Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, Wananchi wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende wamedai hawawezi kupokea zawadi za Mbunge wao wakati...
Wanaupiga mwingi nje ya Uwanja Kapteni wao haeleweki anacheza nini kila pass anayopewa anabutua uelekeo wowote ule.
Hakuna aliyejibu hoja ya Gwajima. Maswali ya Gwajima yamekuwa Magumu sana kujibiwa. Wanapuyanga tu kama kuku alokatwa kichwa akaachiliwa akimbie..
Wanamshambulia Gwajima badala...
Nimeisoma ilani ya CCM ya mwaka 2025-2030 na kuna mambo mengi yanayoleta maswali, hasa kuhusu hali ya miundombinu nchini.
Kwa mfano, mradi wa ujenzi wa barabara ya lami kutoka Sanya Juu, wilaya ya Siha hadi Longido, umbali wa kilometa 65, haonekani kwenye ilani hii mpya. Hili ni jambo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.