ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Shuhudia janja ya CCM, nimewavulia kofia!

    Hii ndiyo CCM, wahni wakubwa, Siku za nyuma, Walitoa tangazo la kuwataka vijana/watu watume maombi ya kusimamia/kuandikisha wapiga kura. Hawakuita hata moja walichofanya sasa, vijana waliojiandikisha kuomba kijikazi hicho wapate ka posho, kazi hiyo, wameambulia kupewa kadi/vitambulisho vya CCM!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mwanachama wa CCM ni raha tu. Ila ukiwa upande wa pili ni suluba tu

    Kufanya siasa ukiwa CCM ni raha na rahisi sana tu ila sasa nenda upande wa pili yaani upinzani especially Chadema. Utajuta kwanini umechagua upande huo. Taabu na subili vyote ni vyako. Polisi, kuumizwa, kupotezewa muda, kuharibiwa uchumi wako, kuonekana wewe ni gaidi, hayo yote kuwa tiyari...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Mjitafakari wananchi ndiyo hawawataki, Chadema mnawaonea bure tu

    Hivi Tatizo letu ni Chadema Kweli? Wana CCM wenzangu naomba tujiulize, hivi wanaotusumbua ni Chadema kweli au ni Wananchi? Waliotukataa ni Chadema au ni Wananchi? Chadema ni nani Hawa? Wako wangapi? Mbona takwimu zetu mara zote huonesha ni wachache wasio na madhara? Mbona hawana Jeshi...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Martha Karua kama anadhani anaweza kushughulika na migogoro, aende DRC au ashughulikie matatizo ya Kenya

    Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira amemkosoa vikali mwanasheria na mwanasiasa wa Kenya, Martha Karua, kwa kile alichokitaja kuwa ni kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, hususan kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu...
  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: 4R zisitumike kama kisingizo cha kuvunja sheria

    Rais Samia Suluhu Hassan anategemea kulihutubia Taifa saa mbili kamili usiku wa leo, Aprili 25, 2025. Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama! Updates.... Rais...
  6. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Babu kwa wanaCHADEMA katika Kipindi Hichi Kigumu: Mwenye Kusikia Asikie Lakini anayehitajika ni aliyeelewa

    Kama unashika bunduki na mimi nashika bunduki, tunaweza kuzungumzia sheria. Kama unashika kisu na mimi nashika kisu, tunaweza kuzungumzia kanuni. Kama wote tumekuja mikono mitupu, tunaweza kuzungumzia hoja. Lakini kama wewe una bunduki na mimi nina kisu, ukweli hauko tena katikati yetu—uko...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM itachaguliwa tena 2025 kwa sababu ya huduma ilizozifikisha kwa wananchi na sio tume, polisi wala katiba

    Naam zingatia mada tajwa hapo juu, Salaam, Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Sisi wataalamu wa hizi kazi tunafahamu kwamba, ili chama cha siasa kiweze kuendelea na kibaki kuongoza dola ni jambo moja tu itabidi lifanyike, nalo ni huduma za kijamii ambazo serikali itakuwa...
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali wapinzani wa Tanzania waelewe kuwa Polisi na CCM hawawapendi na hawapendi maisha yao

    Wapinzani wa Tanzania wale ambao kweli ni wapinzani wakishaelewa hivyo naamini wanaelewa nini wanachotakiwa kufanya. Jana mmeona wenyewe kuna watu waliumizwa kuna kifo na kuna ambae mpaka sasa hajarudi achilia mbali kuchukuliwa na polisi hadharani. Hili jeshi pamoja na CCM kamwe hawawapendi na...
  9. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania CCM Ndugu zangu, this is too much, halafu cha ajabu Watanzania wapo kimya

    Hebu cheki 1. CHAMATA Chawa wa Mama Tanzania 2. Samia Suluhu Serengeti Music Festival 3. Samia Boxing 4. Samia Kings 5. Samia Tunamsemea (Wanafunzi wa Chuo) 6. Samia .... 7. Samia ..... 8. Samia ...... 9. --- 100. Halafu sasa kuna hiii 👇👇👇 Bado kuna ..... 1. Bodaboda za Samia 2. Pen za...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira: Jeshi Lazima Lielewe Aina ya Itikadi ya Siasa za Nchi Wanayoilinda

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira, amesema si jambo la ajabu kwa majeshi kufahamu siasa za nchi wanazozilinda. Akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM wa Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, Aprili 23, 2025, Wasira alisema kuwa taasisi yoyote ya ulinzi inapaswa kuelewa...
  11. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Katiba yetu ya CCM inaruhusu Mageuzi (Reforms), Hao Wana CCM Wanaopinga Reforms kwenye Sheria zetu za Uchaguzi Nchini ni Wanachama wa CCM gani ?

    Ndugu Watanzania, nianze kwa kuwasalimia kwa salamu ya chama changu pendwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Kidumu Chama cha Mapinduzi ..........................! Awali ya yote nitaomba radhi kwa kila Mwanachama wa CCM atakayekwazika kwa hiki ninachoenda kukifanyia uchambuzi. SIKU ZA HIVI KARIBUNI...
  12. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Siku moja watanzania watasahau kabisa kama kulikuwa na CCM

    Watatuua Leo ,watatutesa Leo watatukandamiza Leo lakini mungu Huwa hachelewi wala hawahi Bali hujibu kwa wakati. Watanzania saa ya ukombozi haipo mbali sana. Hauwezi ukaua watu hivyo ukabaki salama
  13. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Wanasema CCM ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA?

    Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.? Hapa lipo swali la kujiuliza Sana. Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana . Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.
  14. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Ukiona serikali inatisha Raia ,inapiga wake,ujue imepoteza uhalali wa uwepo wake

    Kwanini serikali inaogopa kukosolewa? Ukiona serikali inatisha RAIA,inapiga na kuua RAIA wake,ujue imepoteza uhalali wa uwepo wake. Mwanafalsafa John Locke anasema,serikali hiyo yafaa iondolewe madarakani.Serikali imegeuka haini dhidi ya RAIA wake. Serikali isiyojua wajibu wake,kazi makelele tu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA lazima iwe sauti ya haki na mabadiliko. CHADEMA inaweza kuongoza Watanzania

    Hali ya kisiasa Tanzania sasa ni ngumu, na CHADEMA iko kwenye wakati wa changamoto kubwa. Wananchi wanapigwa na polisi, viongozi kama Tundu Lissu na John Heche wanakabiliwa na ukandamizaji, na haki za msingi zinakiukwa. Hapa kuna ushauri wa kimkakati kwa CHADEMA, kwa uchungu na mwelekeo wa...
  16. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kuna raha sana, ila CCM ndio wanapaharibu

    Kuna sehemu hapa npo na mtoto aisee, Mali mpya kabisa Watu wa mikoan huko uzeni mashamba na mifugo mje mjini aisee
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

    Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani. Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea. “WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri shairi Wabunge wa CCM sio chaguo la wananchi tena

    Wengi wanalalamika sana. Kuwa huu ni ubaya na utaratibu huu sio ridhaa ya wanaCCM majimboni. Wanahoji kwa nini majina matatu yatoke Dodoma na kisha ndio yapigiwe kura?
  19. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Makamu Mwenyekiti wa CCM Steven Wasira kugombea Ubunge Bunda 2025

    Siyo umbea sikiliza mwenywe NCHI HII TUMELOGWA. NA HII NI KWA VILE ANAJUA ATAIBA KURA ATASHINDA! TUME IKO UPANDE WAKE ATAIBA KURA ATASHINDA
  20. R

    JamiiForums Tanzania TUJIKUMBUSHE: CCM msikilize Nyerere kuhUsu democracy na tabia ya umalaya malaya WA KISIASA

    CCM msikilize baba wa taifa kuhsu democracy na tabia ya mwanasiasa kununulika kwa fedha..umalaya malaya
Back
Top Bottom