Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Wakati nikifungua akaunti hii nilikuwa na furaha sana tena sana kwani niliona hakika Taifa linaenda kuongozwa na brain. Ukiangalia tarehe ya kuanza kwa akaunti hii na tukio lililokuwepo wakati huo utanielewa vizuri. Kwangu SSH ni brain hata katika Bunge la Katiba alionesha hilo na alikuwa very...
Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..
Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh...
Wewe Si wa kusema Eneo la Mkutano wa CDM Lina wafanyabiashara, mara Kuna Wanachama hawakiungi mkono CDM, mara wapo wanao support na blaa blaa blaa za Hovyo hovyo !!.
Hayo hukuyajua wakati CCM wanafanya mikutano yao Kariakoo?? Mlishawahi wazuia CCM wasifanye mikutano hapo??.
Au CCM ikiwa na...
Mdogo mdogo mama anaendelea kufikiwa:
Kwamba ni nani asiyeweza kuelewa umuhimu wa mwamuzi huru?
Ni Kailima, Mama, Muliro, Majaliwa au Tulia?
Hii nchi mbona ni yetu sote?
Mungu fundi sana!
Polisi wakiendelea kutumiwa vibaya na CCM ambao wanawanyonya na kuwafanya waishi maisha magumu leo wamezuia Mkutano wa Chadema uliopaswa kufanyika pale Kariakoo
Angalia picha hapa chini👇
Cha kufurahisha zaidi Polisi hawahawa wamekuwa wanawaruhusu CCM kufanya Mikutano eneo...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Bunda aliposimama kuwasalimia akiwa njiani kuelekea Musoma Jumanne - tarehe 22 Aprili 2025. Balozi Nchimbi leo ameanza ziara ya siku tano katika maeneo mbalimbali ya wilaya za Mkoa wa Mara.
Ni Aibu kwa Raisi Samia na CCM kushidwa hoja kwa kiasi hiki. badala ya kujadili hoja wanakimbilia kuwashika na kuwafungulia mashtaka wapinzani.
Ni Mtanzania gani mwenye akili yake haoni yanayo endelea. Nani mwenye akili zake ataenda kupiga kura kwa mazingira haya!
Habari ndo hiyo. Kwenye uchaguz serikali za mitaa nilienda nipogekura nikaahirisha baada ya kuona mgombea mlengwa ameenguliwa eti hajui kujaza form. Strangely huyo ni mgombea aliyekua mwenyekiti wakati wa rais kikwete
Familia ya Katibu Mwenezi wa CCM Mbeya Mjini, Philimon Mng'ong'o, imekumbwa na hofu baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake usiku wa kuamkia Aprili 22, 2025 na kuchoma gari. Moto huo pia ulianza kushika sehemu za nyumba, lakini watu 11 waliokuwemo waliokolewa salama.
Mng'ong'o...
Wakuu!
Huyu ni Kondesta Sichwale, Mbuge wa Jimbo la Momba mkoa wa Songwe. Inasemekana baada ya Vijana maarufu Greengard kudai posho zao, madai yao yamepelekea Kondesta kuchukizwa na kumchapa kibao huku akitoa lugha chafu.
Je, huu si unyanyasaji na udhalilisha? Usawa uko wapi?
Mzee Malissa alifukuzw CCM bila hata kuitwa na kujitetea, na Alifukuzwa sababu tu kahoji Uhuni ulotokea DODOMA.
Hawa G-55 wanachofanya ni kutafuta Kufukuzwa, ili WAKIMBILIE Mahakaman, Cha kiwe na Kesi mara Kwa mara.
Kwa Bahati Mbaya, mshauri wao ni kakikundi kadogo ka Dola na CCM na ambao...
Tunapoelekea kwenye uchaguzi 2025 ni muhim ViJana wa CCM wakafaham kuwa kinacho waangusha ni kuendeleza Sana utamadudi wa ZIDUMU FIKRA za MWENYEKITI .
Kuna mda serikali inafanya utumbo lakini kwasababu ya UTAMADUNI huo vijana wanashindwa hata kupendekeza mbadala muafaka juu ya Mambo...
Kama Wana CCM Wana dini zao wanazoziamini, ni kwa nini huwa hawapendi ukweli usemwe?
Dini yoyote ile iwe ya kipagani, kibuddha, kiislamu, kibaniani, kikristo, karibu zote msingi wake mkuu ni kusema ukweli.
CCM dini yao ni ipi ambayo haitaki ukweli usemwe?
Ni dhahiri bila chembe ya shaka, Waislamu walikuwa msitari wa mbele kumng'oa mkoloni. Hilo halina ubishi, maana Tangu enzi za vita vya mababu zetu dhidi ya wakoloni, struggle nyingi zilifanyika kwenye ukanda wenye waislamu wengi, kuanzia kwa Mkwawa, Abushiri huko Pangani, Kinjekitile Ngwale huko...
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo na sintofahamu ya kukamatwa Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antiphas Lissu na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, swali ni je? nani anaharibu amani ya taifa letu Tanzania, anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule Lissu anayesema...
Viongozi wote wa CCM wanajua kabisa endapo watakubali uchaguzi wa Uhuru,uwazi na Haki basi watafurumushwa kutoka madarakani,
kwa hiyo wanatumia propaganda kuwaaminisha baadhi ya raia wajinga kwamba Chadema wanataka kuleta machafuko
Lakini it's to late kizazi cha sasa hivi siyo kile cha Nyerere...
Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu.
Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.