Komando kipen Member Joined Jul 13, 2021 Posts 56 Reaction score 53 May 18, 2025 #1 Wakuu za asubuhi naomba mwenye maelezo mazuri namuna ya kupata kazi canada anisaidie nimesoma course ya afya Tz
Wakuu za asubuhi naomba mwenye maelezo mazuri namuna ya kupata kazi canada anisaidie nimesoma course ya afya Tz
Traxtion JF-Expert Member Joined Dec 10, 2021 Posts 8,037 Reaction score 16,470 Oct 20, 2025 #2 Why no replies?
Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 10,700 Reaction score 15,531 Oct 20, 2025 #3 Mpaka ufike kule kwanza huwezi kufanya kazi Canada ukiwa Tanzania
Frontnn JF-Expert Member Joined Jan 19, 2019 Posts 288 Reaction score 421 Nov 21, 2025 #4 Nakushauri nenda YouTube kuna shule ya bure
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,657 Reaction score 197,310 Nov 24, 2025 #5 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,517 Reaction score 185,649 Nov 25, 2025 #6 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw Click to expand... Kila la kheri kwake