cag

CAG stands for the Controller and Auditor General. In Swahili, this translates to Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

In Tanzania, the CAG is the head of the National Audit Office of Tanzania (NAOT) and serves as the supreme constitutional authority responsible for auditing and overseeing how public funds are collected and spent.

Here is a breakdown of what the CAG does; The CAG audits the financial statements of all government ministries, independent departments, executive agencies, local government authorities (LGAs), and public corporations. They check whether public funds were spent according to the law, approved budgets, and financial regulations. Beyond just checking the math, the CAG assesses whether government projects were executed efficiently and whether the public actually got "value for money" (e.g., if a road was built to the right standard for the price paid). The CAG's audits frequently uncover ghost workers, embezzlement, inflated procurement contracts, and other forms of financial mismanagement.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ataka PAC kuwahoji watendaji wa Tanesco, TRC, Muhimbili na Posta kwanini hawakupeleka mahesabu kwa CAG!

    Spika wa bunge ameyashangaa mashirika makubwa nchini kama Tanesco, TRC, Muhimbili, MOI na Posta kushindwa kuwasilisha mahesabu yao kwa CAG. Ndugai ameitaka kamati ya bunge ya mashirika ya umma PAC kuwaita watendaji wa mashirika hayo na ikiwezekana wataishauri serikali ivunje bodo za mashirika...
  2. JamiiForums Tanzania Mei Mosi imepita na ile report ya CAG imezibiwa masikio na karibu itafungiwa na kufuli. Hii ni Jamhuri yetu ya Umofia

  3. JamiiForums Tanzania Thamani ya Dawa na Vifaa Tiba Vilivyo Expaya MSD ni Zaidi ya Tsh 20 Billion; CAG Hajaripoti

    Wakati wananchi wanalalamika ukosefu wa dawa kwenye hospitali na zahanati, yasemekana kwenye Bohari Kuu ya Madawa (MSD) kuna dawa zilizo expaya za thamani ya zaidi Tsh Bilion 20. Nimepitia ripoti ya CAG ya mwaka 2019/20 kwa haraka haraka sijaona hoja ya ukaguzi kuhusu dawa zilizo expaya. Je...
  4. JamiiForums Tanzania Iko wapi Ripoti Maalum ya CAG iliyoagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan siku akiapisha mawaziri?

    Wadau siku Rais wa nchi Mama Samia Suluhu Hassan Akiapisha mawaziri aliagiza ukaguzi wa BOT kuanzia mwezi January hadi Machi , ambapo ripoti hiyo ilikuwa isomwe tarehe 20/04/2021 lakini haikusomwa, nini kinafichwa?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG ya 2019/2020 imepita na madudu yake na tumeshasahau, tunasubiri ya 2020/2021 tupige tena kelele kama mazuzu

    Huu ndio ukweli mchungu kuhusu wadanganyika watu wa maneno mengi mitandaoni pasipo uthubutu wa kutaka kuona wahusika wa madudu katika ripoti hizi wanachukuliwa hatua. Tusubiri na ripoti sijui ya kuchunguza madudu huko BOT tupige kelele kama tumewehuka then tujikalie kimya kama mandondocha...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CAG mstaafu Uttoh alikuwa sahihi kwamba kinacholipwa na baadhi ya mashirika siyo dividend bali ni kitu kingine

    Rais Samia amesema menejimenti na bodi za baadhi ya mashirika wamekuwa wakitafuta fedha huku na kule waweze kulipa gawio serikalini ili kulinda ajira zao. CPA Uttoh alisema dividend hulipwa kutoka kwenye faida na siyo vinginevyo. Ramadhan Kareem!
  7. JamiiForums Tanzania Watetezi wa 'Legacy' ni kipi katika haya mabadiliko msichokipenda?

    Nyie hamfurahii kurudi kwa uhuru wa habari na kutoa maoni kinzani kwa watu wote? Hamfurahii kuona redio na TV zikiwa zimechangamka na za moto kwa mijadala mbalimbali? Hamfurahii kuona magazeti yameanza kuvutia wasomaji tena? Hamfurahii kuona ada tata za YouTube zinaanza kuondolewa...
  8. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Yamtaka CAG Kukagua Fedha za Muungano

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) afanye ukaguzi maalum wa Akaunti ya Pamoja ya Fedha za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni fungamano baina ya nchi mbili huru, Tanganyika na Zanzibar, zilizoungana na kuweka...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mtihani: CAG mstaafu azitaka kamati za bunge PAC na LAAC zitembelee taasisi zenye hati chafu badala ya kukimbilia kwenye hati Safi!

    CAG mstaafu mh Uttoh amezitaka kamati za bunge za PAC na LAAC kuwa strategic zinapoenda kukagua taasisi za serikali badala ya kujiendea tu kimazoea. Uttoh amesema ni vema bunge likatembelea taasisi zenye hati chafu na zile ambazo CAG ameshindwa kutoa hati ( disclaimer) au zile ambazo CAG...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ex - CAG Uttoh: Mashirika na Makampuni mengi yalikuwa yanatoa 'Gawio' Serikalini Kimakosa, Kinafiki, Kiuwoga na kwa Kujipendekeza

    " Siyo sahihi kwamba kila Shirika au Kampuni Kisheria linatakiwa kutoa Gawio kwa Serikali. Ni bahati mbaya mno Watu hatupendi Kusoma Sheria na Taratibu mbalimbali na tukitishwa tu tunalegea na kutoa. Mashirika na Makampuni mengi yalikuwa yakitoa Gawio kwa Makosa, Kinafiki, Kiuwoga na kwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

    CAG mstaafu mh Uttoh amesema hakuna shirika la ndege lolote duniani lililowahi kupata faida katika miaka ya mwanzo ya operations zake. Kuhusu gawio mh Uttoh amesema dividend hutolewa baada ya biashara kupata faida na huamuliwa na bodi kiasi gani cha faida kigawiwe kama dividends. Uttoh amesema...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wanaichambua hotuba ya Mbowe na hawaigusi kabisa ile ya Zitto kuhusu CAG?

    Ikumbukwe kuwa Zitto Kabwe na Freeman Mbowe walitoa hotuba zao siku moja ila walipishana masaa tu. Zitto Kabwe alijikita kwenye ripoti ya CAG na akaelezea ubadhirifu katika maeneo kadhaa ikiwemo ATCL. Freeman Mbowe yeye alijikita kuuelezea utawala wa awamu ya tano ulivyohitimika na kuanza kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wapinzani walidhani ripoti ya CAG itawapaisha lakini wameambulia patupu. Sasa wanatakiwa wasiwe wanakurupuka

    Mantiki ya kisiasa ya wapinzani wa kisiasa hapa Bongo hasa ACT wazalendo na Chadema kuwa ikitokea kuna suala fulani ndio iwe upenyo wa kupata kick za kisiasa sasa hivi halina nafasi tena. Maana watanzania wanafanya mambo yao kwa kutumia busara. Huwezi ukawq upo Dubai umejifungia na kudhani...
  14. T

    JamiiForums Tanzania CAG Kichere atishiwa kifo baada ya kutoa ripoti iliyoibua madudu mengi, aongezewa ulinzi nyumbani na ofisini

    MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, ametishiwa maisha, baada ya ripoti yake aliyoitoa hivi karibuni kuibua madudu mengi yaliyogusa baadhi ya watumishi wa umma, Raia Mwema imefahamishwa. Taarifa za ndani kutoka familia yake, zimethibitisha kuwapo vitisho dhidi...
  15. JamiiForums Tanzania Waliotajwa kwenye ripoti ya CAG washughulikiwe, wasiachwe

    Habari Wadau! Repoti ya CAG imemchafua sana Hayati JPM na kwa kuwa kashakufa hana pa kujitetea wapo tunaotamani hata tukamfufue ili aje kumjibu Kicheree. Lakini sasa hayupo hata tukimtuhumu ni kazi bure, tunajichumia wenyewe dhambi na malipo ya dhambi ni hapa hapa duniani. Ila sasa kwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Bunge si chombo sahihi kujadili na kuazimia kuhusu ripoti ya CAG,lipo biased

    Ukitafakari kwa kina utaona hakuna umuhimu wa ripoti ya CAG kupelekwa Bungeni. Spika wa Bunge amekuwa mtu wa Kwanza kudharau kazi ya CAG ambayo wapo wataalamu wanalipwa kuifanya. Aliikataa bila sababu za msingi ripoti ya Prof. Assad CAG mstaafu na leo ameonyesha wazi kutokubaliana na ripoti ya...
  17. JamiiForums Tanzania Maelekezo ya CHADEMA fedha za matibabu ya Mh.Ndugai hayakutekelezwa

    Kama mnakumbuka CAG Prof.Assad alihoji malipo ya matibabu ya Spika zaidi ya dola 12,000,000 mwaka 2017. Mpaka leo CAG hajajiridhisha na malipo Ndugai hajapeleka nyaraka kufunga hoja. Humu JF tunataka kuona nyaraka zote zinawasilishwa kwa CAG vyeti vya matibabu na madaktari walifanya...
  18. JamiiForums Tanzania CAG agundua ufisadi wa Tsh milioni 364 Halmashauri ya Bahi ambayo mke wa Spika Ndugai ni DED

    CAG hana huruma na mzaha kabisa. Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai. CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki. Someni vizuri ripoti, kuna madudu sana
  19. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

    Spika wa Bunge Job Ndugai, amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya CAG na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne, kwa kuwa inapotoshwa huku akimtaja Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuwa mmoja wapo Spika wa Bunge...
  20. JamiiForums Tanzania CAG Kichere alikuwa mkuu TRA, anayajua vizuri madudu yote ya TRA

    Huyu huyu CAG Kichere alikuwa Commisioner General TRA. Haya madudu tunayoyaona vile vile anahusika nayo. Ubambikaji kodi Kunyang'anya fedha za wafanya biashara benki. Kufungia biashara. Hawezi leo kuwa benchmark ya ukweli. (NB alikuwa mhasibu TANROADS)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…