Mashindano ya Africa Cup of Nations (AFCON) kwa vijana wa umri chindi ya miaka 17, mwaka 2026 yameanza kutimua vumbi nchini Morocco kuanzia tarehe 13 May, 2026.
Sisi Tanzania, vijana wetu wa Serengeti Boys wako kundi C, pamoja na Mali, Angola na Mozambique.
Tushacheza mzunguko wa kwanza kwenye...