caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania CAF yamwadhibu kocha wa Senegal – Pape Thiaw

    CAF imesema tabia hiyo ni “unacceptable behaviour”. Thiaw atasimamishwa (suspension), idadi ya mechi bado haijatangazwa. CAF inachunguza video zote, na kuna uwezekano wa adhabu zaidi kwa maofisa au wachezaji. My take: Senegal wanapaswa waondolewe ushiriki wa kombe la dunia maana walionesha...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda wakabidhiwa bendera na CAF

    Afrika Mashariki PAMOJA AFCON 2027 tayari imekabidhiwa kwa viongozi wa Tanzania, Kenya na Uganda tayari kwa Kombe la Mataifa 2027. Upande wa Tanzania umewakilishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda akiambatana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Wallace Karia.
  3. Inside10

    JamiiForums Tanzania Makonda kushindanisha wasanii wimbo wa AFCON 2027, mwambieni hayo ni mashindano ya CAF si Serikali wala TFF

    Tazama hii video naona kakurupuka kama kawaida yake anadhani hii ni SAMIA CUP au mapinduzi cup ======= Waziri wa Habari, Paul Makonda amesema serikali itaandaa shindano la wasanii kutunga wimbo bora utakaotumika rasmi kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027.
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania Samuel Eto’o afungiwa mechi nne, atozwa faini ya Tsh. 49.6 Milioni na CAF kwa utovu wa nidhamu AFCON 2025

    Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT), Samuel Eto’o, amefungiwa kuhudhuria uwanjani kwa mechi nne na kutozwa faini ya dola 20,000 za Marekani (Sh49.6 milioni), akidaiwa kufanya utovu wa nidhamu wakati wa mechi ya robo fainali ambayo Cameroon ilipoteza dhidi ya Morocco kwenye Kombe la...
  5. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Mashindano yote ya CAF kama Afcon yachezeshwe na marefa toka Ulaya. Afcon should use European referees

    Ili kuwepo na usawa na haki kwenye mpira wa Afrika. Mashindano yote ya CAF (Afcon, Chan, Caf Champions league, Caf Confederation league)yachezeshwe na marefa toka Ulaya kama Uingereza, Italia, Ujerumani. In order to improve African football, All Caf competition (Afcon, Chan, Caf Champions...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka Marefa wetu kutochezesha mechi za CAF.

    Udhaifu wa kutokujua lugha zaidi ya Moja hasa kifaransa na kiingereza ndiyo chanzo kikubwa cha marefarii wetu kutokupangwa kuchezesha mechi zinazoandaliwa na CAF. Itakuwa ni aibu tuandae mashindano ya AFCON halafu marefarii wetu wasiwe sehemu ya marefarii watakaokuwa wanachezesha mashindano hayo.
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tume ya uchaguzi ya CAF (Refarii)kainyima ushindi Taifa stars.

    Auae kwa upanga atauawa kwa upanga pia. Hatutaki kusikia kina Makonda wakilalamika kuwa Refarii kainyima Taifa stars penati. Mpira umeisha kwa Amani. Kazi na utu.
  8. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa CAF Champions League na CAF Confederation CUP

    Tupashane msimamo wa kila wiki kwenye mashindano haya japo inaonekana kuwa waarabu wanayatawala sana CAF Champions League CAF Confederation Cup
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tuzo ya CAF aliyopewa Rais Samia ni tuzo ya watanzania wote

    Msemaji mkuu wa Serikali Gerson amesema Tuzo ya heshima ya Rais ni Tuzo ya watanzania wote kwa jumla na si yake peke yake. Soma Pia: Samia atunukiwa Tuzo ya Maalum na CAF, kwa kutambua mchango wake katika mchezo wa soka Ameyasema hayo akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutua Tanzania...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia atunukiwa Tuzo ya Maalum na CAF, kwa kutambua mchango wake katika mchezo wa soka

    Goli la mama limelipa ndio tuseme hivyo, na timu nne kwenda hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho =================== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Maalum na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwa kutambua mchango...
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Hii Hapa Orodha ya Washindi wa Tuzo za CAF Kwa Mwaka 2025

    LIST NZIMA YA WASHINDI WA TUZO ZA CAF 2025 ✅Mshambuliaji wa Pyramids na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Kalala Mayele ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2025 barani Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka ndani ya bara la Afrika. ✅Beki wa Timu ya Taifa ya Morocco na PSG Achraf Hakimi ndiye...
  12. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Hongera Clement Mzize kushinda Goli bora (CAF)

    Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize amefanikiwa kushinda goli bora la mwaka Afrika
  13. T

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania bado ni salama kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 baada ya matukio ya uchaguzi mkuu?

    AFCON 2027 Nitashangaa sana kuona CAF inaicha Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 baada ya yote yaliyotokea Nashauri CAF waiondoe Tanzania mapema kabisa katika nchi mwenyeji wa AFCON 2027
  14. C

    JamiiForums Tanzania CAF Confederation fixtures 2025/2026

    Azam Tanzania Nairobi United Kenya Maniema Congo Wydad
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania FT: Simba Sc 0 - 0 Nsingizini hotspurs l CAF CL l second preliminary round l 2nd Leg l Benjamin Mkapa Stadium l 26-10-2025 l 16:00pm.

    Next Match : Simba SC vs Nsingizini hotspurs. Starting Xl ya Simba SC All the best Simba SC 🦁 #Nguvu moja.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Yanga yapangiwa Silver Strikers michuano ya CAF 2025 / 2026

    Baada ya Young Africans kuitoa klabu ya Angola ya Wiliete Sport Clube , sasa imepangwa kukumbana na klabu ya Malawi ya Silver Strikers TOKA MAKTABA : Silver Strikers vs FCB Nyasa Big Bullets https://m.youtube.com/watch?v=ZDJUtOcs7Hk
  17. DonDonald

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-0 Wiliete | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 27/09/2025

    Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Young Africans (Yanga) jioni ya leo wanaingia uwanjani kukipiga na Timu ya Wiliete kutoka Angola katika mechi ya marudiano. Katika mechi ya kwanza iliyofanyika Angola, Yanga walitoka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya wawakilishi hao wa Angola Je...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF yaitoza Simba SC faini nyingine, kuchangisha mashabiki

    Klabu ya Simba Sports Club imekumbana na adhabu mpya kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) huku ikijiandaa kucheza mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United Jumapili, Septemba 28, 2025, bila mashabiki na faini ya Dola 50,000 (takriban Sh123 milioni)...
  19. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Morocco kuwa kocha Simba washabiki wa Simba tususie mechi na tupaze sauti hatutavuka hii hatua CAF

    Moroko huyu anayebebwa na wenzake. Aliyeishindwa Namungo. Viongozi wanatukomesha tuchukue hatua
  20. Red black

    JamiiForums Tanzania Full Time: Gaborone United 0-1 Simba SC | CAF CL Obed Itani Chilume Stadium | Septemba 20, 2025

    Huku Maloid kule Jonathan Sowah.. Klabu ya Simba leo itakuwa dimbani kucheza na klabu ya Gaborone ya Botswana katika michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika, hatua ya awali. Mechi hiyo itafanyika katika Uwanja wa Francistown Stadium majira ya saa 2:00 usiku kwa muda wa Afrika Mashariki...
Back
Top Bottom