Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
Kwa mujibu wa kanuni na mikataba ya uenyeji ya CAF, nchi inayopata nafasi ya kuandaa AFCON hulazimika kusaini makubaliano ya uenyeji yanayojumuisha majukumu mbalimbali ya kifedha. Miongoni mwa masharti hayo ni kulipa kile kinachoitwa “hosting” au “commitment fee”, ambacho ni ada ya makubaliano...
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetoa orodha ya Waamuzi wa Afrika na Maafisa wa VAR waliochaguliwa kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku maafisa kadhaa wenye uzoefu wakipata fursa ya kuwakilisha bara kwenye Mashindano makubwa zaidi ya Kandanda.
Michuano hiyo ya Kombe la Dunia...
Mwamuzi wa dabi ya tarehe 01 March ni Nassoro Mwinchui ingawa wote tunajua kuwa inaipenda sana Coastal Union na Simba ss na alishapewa adhabu mara nyingi kwa kuzipa upendeleo Simba na Coasta kwa vipindi vya karibukaribu vilivyofuatana. Alishawahi kutumwa mara nyingi kuchezesha mechi za Yanga...
Kamati ya Bunge ya Michezo na Utamaduni imekataa ombi la Wizara ya Michezo la kuongeza bajeti ya maandalizi ya AFCON 2027 kutoka Shilingi bilioni 3.5 hadi bilioni 5, ikisema sababu zilizotolewa hazitoshi.
Wabunge walibainisha kuwa Kenya bado haijalipa ada ya lazima ya bilioni 3.5 kwa CAF...
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea Hatua ya Robo Fainali katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika.
Simba SC na...
Timu ya Azam FC imekamilisha Michezo ya Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho kwa kufungwa Magoli 2-0 dhidi ya Wydad AC ya Morocco na hivyo kukwama kuingia Hatua ya Robo Fainali kwa kuwa imeshika nafasi ya 3 katika Kundi B.
Matokeo mengine ya Kundi hilo, Maniema Union ya DRC nayo imeingia...
Yanga inakutana na JS Kabylie kwenye mechi ya CAF Champions League, Group Stage, itakayofanyika kwenye uwanja wa New Amani, Zanzibar, leo Februari 15, 2026 kuanzia 1:00 usiku.
---
Kujiamini na matarajio vinaendelea kuongezeka kuelekea Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON), huku Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) likijaribu kuzima tetesi zinazoongezeka kuhusu utayari wa mashindano hayo.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Rais wa CAF, Patrice...
01 February 2026
Stade Alphonse Massamba-Débat in Brazzaville
Kutoka Uwanja wa Alphonse Massamba-Débat jijini Brazzaville, katika pambano muhimu la Kundi C la Kombe la Shirikisho la CAF. Katika pambano la mwisho kati ya timu hizo mbili, lililochezwa Januari 25, 2026 nchini Tanzania, Singida...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kali na zisizo za kawaida dhidi ya Senegal na Morocco kufuatia ukiukwaji wa nidhamu uliotokea katika fainali ya AFCON 2025. Senegal imepigwa faini ya jumla ya dola za Marekani 615,000, ikijumuisha dola 300,000 kwa utovu wa nidhamu wa mashabiki, dola...
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limewasimamisha wachezaji wawili wa timu ya Taifa ya Morocco, Achraf Hakimi (mechi mbili) na Ismaël Saibari (mechi tatu) baada ya kuonesha tabia isiyo ya kiungwana wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya...
25 January 2026
Nairobi, Kenya
Nairobi United 1 - 2 AZAM FC , Chiefs yapata ushindi Ndola
https://m.youtube.com/watch?v=eXeSXYEB-7s
Mechi za Kombe la Shirikisho la TotalEnergies CAF ziliendelea tena Jumapili alasiri 25 January 2026 huku mbio za kuelekea robo fainali zikiendelea kote barani...
25 January 2026
Amaan Stadium
Zanzibar Tanzania
MICHUANO KOMBE LA CAF SHIRIKISHO 2025 / 2026
Singida Black Stars SBS 1 - 0 Otôho d'Oyo ASO
Singida Black Stars SBS Timu ya Tanzania leo imepambana na klabu ya Otôho d'Oyo maarufu kama Association Sportive Otohô ASO ya kutoka Jamhuri ya Congo...
GAZETI LA MWANASPOT
SIMBA YAWEKA REKODI MPYA YA VIPIGO CAF TANGU ......
HATA HIVYO WANACHAMA WAMESEMA WAFANYE WAFANYAVYO WAO WANAITAKA ROBO FINALI
😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 NAPITATU
Match of the day ;al Ahly vs Yanga Africa CAF champion League imerejea tena macho yote ya wapenda football yapo misri leo,
Leo maji na mafuta yataanza kutengana.
#all the best AL AHLY.
Match Day
Al Ahly vs Young Africans
🏆 CAF Champions League
📆 23rd January, 2026
🏟️ Borg El Arab
🕰️ 🇪🇬 6pm | 🇹🇿 7:00pm
#TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
AL Ahly vs Yanga Leo Saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki Afrika itasimama yote kupisha mtanange mkubwa zaidi kati ya Al Ahly SC na Yanga SC Kaa nami katika Uzi huu kwa update zaidi
Kikosi kazi dhidi ya Al Ahly #cafcl
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Mpira umeanza
Dakika ya 14...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.