Full Time: CAF CHAMPIONS LEAGUE FINAL | 1st leg | Mamelodi Sundowns 1-0 AS far Rabat

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,373
Reaction score
3,586
Mtanange uko live
Mamelodi wanaongoza 1-0.
Kipindi Cha pili kinataka kuanza VAR haifanyi kazi.

Refa anasema tukipige bila VAR, Mamelodi wanasema sawa, ila AS FAR RABAT wanasema hapana. VAR itengenezwe kwanza.

Mechi imesimama mafundi wanashughulikia VAR.
AFRICA KIVYETU VYETU
 
VAR imeshatengemaa after a delay ya almost 9 minutes
Mtanange umeshaanza ....
 
Mtanange uko live
Mamelodi wanaongoza 1-0.
Kipindi Cha pili kinataka kuanza VAR haifanyi kazi.

Refa anasema tukipige bila VAR, Mamelodi wanasema sawa, ila AS FAR RABAT wanasema hapana. VAR itengenezwe kwanza.

Mechi imesimama mafundi wanashughulikia VAR.
AFRICA KIVYETU VYETU
Daaah kazi kweli kweli
 
Dakika ya 72 Bado mamelodi wanaongoza 1-0 ila watajilaumu nafasi kama mbili wamezikosa.
 
Mpira umekwisha. Mamelodi wanaondoka na ushindi mwembamba wa 1-0 mbele ya full packed stadium kwao huko Kwa Madiba.
Nani atachukua taji la champions league CAF?! Takribani week moja ijayo kwenye second leg final match tutajua bingwa ni nani watakapominyana Tena.
 
Mamelodi ni bingwa na bingwa ndo mamelodi sundowns a.k.a the brazilians,downs, masandawana, bafana ba style
 
Sijui kwa nini CAF wanapenda kupanga pambano la marudiano lazima lifanyike kwenye nchi ya kiarabu pale fainali ya mashindano ya vilabu Afrika inapofanyika huku fainali ikikutanisha timu ya kiarabu dhidi ya nyingine kutoka kusini mwa jangwa la Sahara.

Lakini kwa mechi ya jana Mamelodi itabidi wajilaumu wenyewe kwa kukosa nafasi kadhaa za wazi nafasi ambazo kwa waarabu wakizipata huko Morocco itakua ni kilio kwa Mamelodi Sundowns.
 
Kwanini final ichezwe mara 2,Africa hovyo kabisa
 
nyie jamaa bana, waafrica muna shida sana
 
Kwanini final ichezwe mara 2,Africa hovyo kabisa
Ukiangalia jumla ya mashabiki katika mechi ile utakuta 98% ni fans wa bafana ba style sasa CAF hueka fainali mbili kwa huku Afrika kwa kua mashabiki wa kiafrika bado hawawezi kusafiri weengii kwenda nchi nyengine sasa ndo mana wanaweka ivo ili kubalance

Mfano fainali ingeletwa kwa mkapa mashabiki wengi wa timu hizo wasingeweza kuja kuisapoti timu yao
 
hao jamaa wamezoea kukakariri tu bila ya kutumia akili zao
 
Back
Top Bottom